Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

Swali langu ni kwamba akioa wa nne ndio hachepuki? Kinachomfanya asiridhike na mmoja ni nini. Utasingizia akiwa kwenye siku zake?

Tatizo mnapenda ngono sana. Siku tatu tuu mnashindwa kuvumilia huku nyie mkioa wake wengi mnatuacha hata siku tano mnalala pengine na sisi tumekituliza tuu mbona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo uyasikie tu yasikutokee

Hivi nyie baadhi ya wanaume mnafikili kila mwanamke ni kama wake wa Dr mwaka?

Angewachoma wote mume na huyo mwanamke
 
Hii plan mujarabu kabisa@Jay One
 
Hivi siyo kwamba lazima mke wa kwanza aridhie kwanza ndipo mme unaongeza mke wa pili? Na kama ndivyo iweje jamaa aongeze mke bila kupata ridhaa ya mke mkubwa?

Achilia mbali tu kuridhia, pia sio lazima yeye kujua mke wa kwanza kwamba naenda kuongeza mke.

Ila ukishaoa lazima umpe taarifa sababu ya zamu.
 

Tukiamua wote kuwa na akili kama za wanyama sijui kama kutakalika. Ukiweza kuwa na self control ndio utajua tofauti ya mnyama na binadamu
 
Ukristo hauna huo upuuzi wa kuendekeza uasherati na zinaa kwa kigezo cha kuongeza wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa bibie ukiongeza mke hapo hakuna zinaa wala uhasherati, zinaa na uhasherati ni nje ya ndoa. Kwahiyo hapa umekosea unatakiwa kurekebisha ulichokiandika.
 
Mume wangu nitamruhusu kuoa mke wa pili iwapo tu akiwa na pesa za kutosha, sio mimi sili vizuri, sivai vizuri, silali pazuri halafu aongeze balaa lingine hell no,, patachimbika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amejitahidi😷😷😷
 
Mume wangu nitamruhusu kuoa mke wa pili iwapo tu akiwa na pesa za kutosha, sio mimi sili vizuri, sivai vizuri, silali pazuri halafu aongeze balaa lingine hell no,, patachimbika

Sent using Jamii Forums mobile app

Akiwa na hela za kawaida ila unaishi vizuri, unakula na huduma nyingine unapata vizuri ?

Kwanza umruhusu kuoa wewe kama nani au hilo sharti umelipata wapi ?

Hakuna ruhusa ya mke katika kuongeza mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…