Ukristo hauna huo upuuzi wa kuendekeza uasherati na zinaa kwa kigezo cha kuongeza wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatoa taarifa ya kulala na mwanamke mwingine kwa mkeo ambaye hajaridhia wewe kulala na mwanamke mwingine ila umemtaarifu tu na HAPASWI KUPINGA,Kitu ni kile kile tu ila uislamu ni dini ya uadilifu na maumbile.
Akichepuka huko akipata watoto hawatambuliki kisheria sasa hapo watoto wa kichepuko wamedhulumiwa.
Ila uislamu ukiwa na watoto wengi kwa wake wanne wote wanatambulika.
Sent using Jamii Forums mobile app
UISLAM unanyanyasa na kuwaonea sana Wanawake.
Sijawahi kumsikia Mwanamke anayependa aidha kuolewa akiwa ni mkemweza au kuletewa mkwe mwenzie.
Watakuja kubisha tu bila sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huko ulipoenda aliyeandika muoe wake wanne ni Mungu au?.Ndio Mana nimebadili dini na kuwa muislamu, mi habari za kujibana bana sizitaki. Maisha yenyewe mafupi niache kuoa wake zaidi ya mmoja nijilie raha za dunia eti kisa sijui mathayo, Elia, yosefu etc kaandika kitabu nioe mke mmoja tu. Hahahaha hapana kwa kweli, nimewaachia dini yao na kitabu Chao, yanini nijibaneeee!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huko ulipoenda aliyeandika muoe wake wanne ni Mungu au?.
Huko huko ndio panakufaa, huku kila Adam na Eva wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhalisia wa wakazi wa dunia wanachotaka?Maandiko ya huku nimeyapima nimegundua yanaendana na uhalisia wa nini wakazi wa dunia wanataka. Narudia tena ,siwezi jibana hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Au angechoma kojoleo la mmeweBora alivyochoma gari..maana mwingine angechoma hata huyo mke mwenzie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora alivyochoma gari..maana mwingine angechoma hata huyo mke mwenzie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhalisia wa wakazi wa dunia wanachotaka?
Haujui watu wa dunia wanapenda yale yaliyo maovu tuu? Mfano pombe, na uzinzi nakadhalika.
Kweli hiyo dini uliyoenda ni ya shetani. Baki huko huko ambapo maandiko hayakubani kufanya unachopenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhulma unaitafsiri kama nini wewe ?Unatoa taarifa ya kulala na mwanamke mwingine kwa mkeo ambaye hajaridhia wewe kulala na mwanamke mwingine ila umemtaarifu tu na HAPASWI KUPINGA,
Je hiyo sio dhulma kwa Mkeo? Kwanini usijali hisia zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pacha wa babywalkerna bahati nzuri sio gari ni ka spacio
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nayeye utamu angeukosa..kaona Bora achome gari tuAu angechoma kojoleo la mmewe
Akiwa na hela za kawaida ila unaishi vizuri, unakula na huduma nyingine unapata vizuri ?
Kwanza umruhusu kuoa wewe kama nani au hilo sharti umelipata wapi ?
Hakuna ruhusa ya mke katika kuongeza mke.