Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Source please.

Mnapenda kujifariji ndo maana Allah kawakimbia na kujificha
Mkuu Hamas hawaongei maneno matupu kila kitu wanarecord. Wameachia video za kutosha tu, video zina mb nyingi ila chache fupi fupi

Your browser is not able to display this video.

Hapo ki drone kinadondosha Bomu kwenye kundi la watu, sema Bomu lenyewe tu la kienyeji, ingekuwa Bomu la kisasa kikosi kizima kingekufa.

Hii wanaonesha mabomu ya kupandikiza Ardhini
Kifaru kimeganyaga kikalipuka.
Your browser is not able to display this video.

Kuna video nyengine Kubwa wanaonesha namna wanavyotoka kwenye shimo na kulipua vifaru.

Kuna video ya juzi hiyo ambayo hicho kikosi kizima kiliuliwa tena na watu watatu tu.

Kifupi IDF wanakufa vibaya mno, ndio maana kuna pressure kubwa Netanyahu ajiuzulu.
 
Kwani uliambiwa vita ni sherehe? Pande zote hupoteza maisha, muhimu ni kupima upande upi wanaisha sana
 
Vita ya kipigana na gaid haijawah kuwa rahisi. Ogopa mtu asiye na sare na yupo pamoja na raia wengne.

Hapo hamna front line
Kweli Aisee,
Afu raia wanawaficha Sana
Israeli kuingiza vikosi Gaza wamejichanganya,

Israeli Akumbuke vizur kilichomkuta marekani kule bhaghadi iraq, urban warfare walichakazwa Hadi bunge la seneti likaingilia Kati.
 
Sio na wewe kila kitu unapiga tu bila kwanza kufatilia ukajua ukweli hiyo taarifa wametoa wenyewe idf bbc aljazeera ccn france24 wote wameitoa hiyo tayari pole sana
Hamna hiyo habari we harubu wa vigwaza,huko kote ni majeruhi waliofanikiwa kutoroshwa,wahanga ni watoto na wamama km kawaida na wazee.
 
Muislam akifa ktk vita hivi peponi akimuua kafiri peponi. Wa kuonewa huruma mpaka hujaujua ukweli na ukasilimu
Pepo yenu ipo basi?
Mlidanganywa mjitoe muhanga enyi mazuzu😂😂😂
 
Kweli Aisee,
Afu raia wanawaficha Sana
Israeli kuingiza vikosi Gaza wamejichanganya,

Israeli Akumbuke vizur kilichomkuta marekani kule bhaghadi iraq, urban warfare walichakazwa Hadi bunge la seneti likaingilia Kati.
Dawa ni kufyeka mtu yeyote...hao hadi wanawake na watoto ni magaidi.

Watangaze raia wahame kabla hawajaichoma moto Gaza
 
Hamna hiyo habari we harubu wa vigwaza,huko kote ni majeruhi waliofanikiwa kutoroshwa,wahanga ni watoto na wamama km kawaida na wazee.
Unabishana na mtu;
1. Kavaa ka suruali cha mtoto
2. Kibaraghashia kameshonwa na mkono

3. Kanzu yenye viraka

4. Kobazi imechoka

5. Kijumba cha nyasi
Ana hasira ya msisha lazima akutusi tu😂😂😂
 
Dawa ni kufyeka mtu yeyote...hao hadi wanawake na watoto ni magaidi.

Watangaze raia wahame kabla hawajaichoma moto Gaza
Tatizo hawaelewi washaambiwa ondokeni
kilichobaki halali yetu.
Hawataki,na hao magaidi wanajificha humo ndani mwao.
Mnapigwa wote mnalialia.
Wayahudi hata hawapo mtandaoni sana ni kimyakimya tu huko watu wanamalizwa.
Hawa wakuja wanatupa taarifa sijui za wapi,
Waisrael kadhaa watakufa ndiyo we unahesabu 20-50.
Wenzio wanahesabu 2000-5000+ na bado wanaendelea.
Watu hawaelewi hapo.
Hatuungi mkono mauaji ya raia wema.
Hata wayahudi sidhani km wanafanya makusudi.
Tatizo ni gaidi kakumbatia na familia moja alahu akibaru alahu akibaru sekunde jamaa wanafagia wote.
Sasa hapo tumlaumu nani?
Na timbwili wamelianzisha wenyewe.
 
Muislam akifa ktk vita hivi peponi akimuua kafiri peponi. Wa kuonewa huruma mpaka hujaujua ukweli na ukasilimu
Mudy kawalisha tango pori. Hiyo pepo ya aina hiyo haipo,mungu wa dunia hii amewadanganya na kweli ni Yesu pekee na bila huyo ni motoni moja kwa Moja huko motoni ndio mkaoe wale bikira 72 wenye macho ya duara na vifua vyenye TV na mito ya ulevi.
 
Ndio gharama za vita mkuu!

Ili Israeli iendelee kudumu pale Middle East lazima watu wajitolee mhanga kupambana kufa kupona.
Kupambana na magaidi sio shughuli ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…