WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Basi tuseme Gaza atashinda vita hivi so tukae pembeni tuone mshindi etSio kuuwawa tu na wanajeshi wao wametekwa yani idadi ya mateka inazidi kuongezekaView attachment 2800558
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tuseme Gaza atashinda vita hivi so tukae pembeni tuone mshindi etSio kuuwawa tu na wanajeshi wao wametekwa yani idadi ya mateka inazidi kuongezekaView attachment 2800558
Hii picha ni ya tarehe 07/10/2023 walipovamia wakati ule kwa kushitukiza. Si ya sasa hivi ndani ya Gaza.Sio kuuwawa tu na wanajeshi wao wametekwa yani idadi ya mateka inazidi kuongezekaView attachment 2800558
Kambi ina wanajeshi 14? muislam akili hauna🤣🤣🤣🤣🤣🤣Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia
A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza.
Hii ni unit nzima ya wanajeshi wa Israel waliouliwa wote na Kombora la Hamas hii imewafanya hadi wabunge Knesset ya Israel kulia kwa uchungu baada ya vijana wao kuangamizwa wote na wanamapambano wa Hamas
The Final Image of 10 Soldiers in the 84th “Givati” Brigade of the Israel Defense Force before they entered the Gaza Strip and were Killed last night by an Anti-Tank Guided Missile Attack on their “Namer” Heavy Armored Personnel Carrier
View attachment 2800481View attachment 2800482
Hiyo picha wanaweka humu ya nini? Si wamesema Yemen na Iran wametangaza vita? wanaharakati wakae kwa mbali tuone mtanange
Unafahamu Hamas sio jeshi kamali? Ni baadhi ya watu tu waliokataa usenge na kuamua kupambana na linalosemekana ni jeshi bora zaidi dunianiNchi gani braza? the rule number one ya vita, fanya juu chini uwanja wa vita isiwe kwako, je nyie Hamas mnatambua hili?
Basi tuseme Gaza atashinda vita hivi so tukae pembeni tuone mshindi et
[/QUOTE
Wewe kilaza ili kujua nani kashinfa vita inaangaliwa nini yalikuwa malengo ya vita, marengo ya Israel ni kuifuta Hamas, unafikiria hilo lengo litawezekana?
Wakat Nyatanyau anataka kuonyesha ushujaa kwa kuwadunda vilivyo wapalestina lkn anajikuta anatengeneza tatizo lingine kwa wanajesh wengi kuuawa jambo ambalo litamuweka ktk hali mbaya kisiasautani utani hii vita inaenda kula vichwa vya wanajeshi wa kutosha na inaweza badirisha historia ya nchi mojawapo
Mbona mama yako alikuzaa au yeye alizaliwa bila bikra?Kwani hao Bikra 72 mtawazalisha!
Hao jamaa hawawezi kupigana na Hamas kwa ground war. Watashinda lkn hasara pia itakua kubwa, kwanza hawataki kufa unapigana na mtu ambae he has nothing to loose kama hao hamas ni hatali sanaUkiangalia IDF wanavyopigana na Hamas ni kama hawajajiandaa na urban war. Kuna Clip moja niliiona Twitter Wanajeshi wamejikusanya kama kumbikumbi wamevikimbia vifaru baada ya kuwa ambushed na Hamas.
Wachambuzi wanasema hamas wangekuwa na drone za fastarefaster kikosi chote kingegeuzwa mkaa maana wamepigwa picha kutokea juu.
Wanajeshi kama hawafuatilii SMO ya Russia na mabadiliko makubwa hasa ingizo la drone warfare watakuwa wanakufa kizembe.
Watashinda na kuiteka Gaza ila vita hivi vimeonyesha pia mapungufu yao mengi ambayo wasipoyafanyia kazi, hiyo nchi yenye maadui wengi kila gaidi atatamani kuitest.
Hii picha ni ya tarehe 07/10/2023 walipovamia wakati ule kwa kushitukiza. Si ya sasa hivi ndani ya Gaza.
Uzazi wa nini peponi kijana!Kule kila kitu ni free,shughuli ni moja tu ya kuzichakata mbususu.[emoji39][emoji39][emoji39]Kwani hao Bikra 72 mtawazalisha!
Ni dada zenu wakristo.W
Wale mabikra walioko peponi ni dada zenu wa kiislamu au? Maake isije kuwa ni wakristo wenzenu mnawatolea macho. Naomba jibu kama vipi tumuombe Marekani akawakomboe dada zetu faster huko peponi
Vita visikie tu vikilipotiwa huko DW,BBC,ALJAZEERA E.t.cUnits nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia
A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza.
Hii ni unit nzima ya wanajeshi wa Israel waliouliwa wote na Kombora la Hamas hii imewafanya hadi wabunge Knesset ya Israel kulia kwa uchungu baada ya vijana wao kuangamizwa wote na wanamapambano wa Hamas
The Final Image of 10 Soldiers in the 84th “Givati” Brigade of the Israel Defense Force before they entered the Gaza Strip and were Killed last night by an Anti-Tank Guided Missile Attack on their “Namer” Heavy Armored Personnel Carrier
View attachment 2800481View attachment 2800482
Kumbe mnajiweza kupigana hadi mnamaliza unit nzima sasa mnalia lia nini Palestine inaonewa? Mnatafuta huruma ya nini kutuwekea picha za watotoUnits nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia
A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza.
Hii ni unit nzima ya wanajeshi wa Israel waliouliwa wote na Kombora la Hamas hii imewafanya hadi wabunge Knesset ya Israel kulia kwa uchungu baada ya vijana wao kuangamizwa wote na wanamapambano wa Hamas
The Final Image of 10 Soldiers in the 84th “Givati” Brigade of the Israel Defense Force before they entered the Gaza Strip and were Killed last night by an Anti-Tank Guided Missile Attack on their “Namer” Heavy Armored Personnel Carrier
View attachment 2800481View attachment 2800482
Hao watatu walipigwa au walikimbia ?Netanyahu Hali tete Hamas wame release video kibao, Wanapigwa kiboya, mfano hicho kikosi kimepigwa na watu watatu tu wamechakaza kikosi kizima na mavifaru yao. Siku yoyote nahisi watampindua ama kumtoa madarakani.
Wale tuliambiwa ni 363 jumla.Kwanini waomboleze hawa 11 tuView attachment 2800935
Hata hawa pia walikufa 7/10/2023 kwa kushtukiza
Wewe ni Myahudi? Nauliza tu mkuu maana Jf kama hadi wayahudi wapo humu basi tujipongeze kwakweli.Tunawaonea huruma mnavyokufa kumbe mna Jeuri hivi ee,ok sawa....time will tell mkuu
Mkuu kwenye vita sio Disco utacheza mziki unaoupenda na usio upenda hautacheza, hapo vitani ni piga nikupige na kuwahiana kwa ufundi mbali mbali, kwahiyo vitani hasara mbali mbali zipo sio ajabu kabisa.Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia
A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza.
Hii ni unit nzima ya wanajeshi wa Israel waliouliwa wote na Kombora la Hamas hii imewafanya hadi wabunge Knesset ya Israel kulia kwa uchungu baada ya vijana wao kuangamizwa wote na wanamapambano wa Hamas
The Final Image of 10 Soldiers in the 84th “Givati” Brigade of the Israel Defense Force before they entered the Gaza Strip and were Killed last night by an Anti-Tank Guided Missile Attack on their “Namer” Heavy Armored Personnel Carrier
View attachment 2800481View attachment 2800482
Hamna anaye taka kuonewa huruma hapa acha kujitoa akili, bali kinacho semwa ni kuheshimiwa kwa sheria za vita ambazo zipo kwa mujibu wa sheria za kimataifa ambapo Israel yenyewe ilisaini kuzifuata.Kumbe mnajiweza kupigana hadi mnamaliza unit nzima sasa mnalia lia nini Palestine inaonewa? Mnatafuta huruma ya nini kutuwekea picha za watoto
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Christians who live in Gaza are about 20% while the most of Palestinians are Muslims 60% and remaining 20% considers Paganism, Atheists, Rastafarians, Hinduism, Buddhism...so calculate and equalize it by using your common sense who are massively perished in this battle?Wanao kufa ni wapalestina wakiwemo wakristo wenzio huyo unaye msimanga ni mmatumbi mwenzio. View attachment 2800505