baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Hamas 3 wametoka kwenye Shimo wakawalipua wakarudi zao kwenye Shimo.Hao watatu walipigwa au walikimbia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamas 3 wametoka kwenye Shimo wakawalipua wakarudi zao kwenye Shimo.Hao watatu walipigwa au walikimbia ?
Mwamini Yesu Kristo, mkiri kwa kinywa chako kuwa ni mwana wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu nawe UTAOKOKA.Unajidanganya wewe, nenda Israel ukafe ukaingie ktk moto wa Jahannam
Hamas ilivyoshambulia raia wa Israel October 7 ikawaua kwenye sherehe na wale walioko manyumbani na ikawateka raia wa Israel ilikuwa inakubalika upande wa Hamas kwanini waislamu wakitenda hakuna malalamiko ila wakitendewa mnalalamika sanaHamna anaye taka kuonewa huruma hapa acha kujitoa akili, bali kinacho semwa ni kuheshimiwa kwa sheria za vita ambazo zipo kwa mujibu wa sheria za kimataifa ambapo Israel yenyewe ilisaini kuzifuata.
Israel kushambulia na kuua hovyo hovyo watoto na wanawake badala ya kupambana na hamas haikubaliki.
Shame on youDawa ni kufyeka mtu yeyote...hao hadi wanawake na watoto ni magaidi.
Watangaze raia wahame kabla hawajaichoma moto Gaza
Kwa hiyo inabidi Tusiamini uwepo wa Mungu ili Tugundue na Kuvumbua zaidi ?????Ww ukimuona mtu anaitwa Josefu basi huyo ni mkristo ?
Sasa ni kwambie tu ni kuwa asilimia kubwa ya wavumbuzi hapa duniani ni watu wasio amini katika mungu.
😁😁 Hongera kw hiyo mtaanza maisha upya ...wake 72 ! Aisee mnatisha...au Ndio maana Kila pembejeni ya Msikiti kunauzwa Alkassusu...ni maandalizi ya kutoa bikira ! Huku mkiogelea kwenye Amarura na Pilsner Ice!Mbona mama yako alikuzaa au yeye alizaliwa bila bikra?
Hao wanaamini kuna mabikra 72 watapewa. Wehu saana. Wanawaza wafe wakale mabikra😆😆😆😆 Malaria 2 ni kichaaa wa dini. Na kuna anajiita sijui rits au ITR kama sijakosea huyo ndio matusi kama amezaliwa na kukulia chooni. Maana yeye na matusi tena matusi makubwa afu alivyo mjinga anaamina kuwa ataenda kupewa mabikra 72 na mvinyo unaotiririka
Shida ni kwamba nyinyi wagalatia mnajiingiza katika vita ambayo hauwahusuDawa ni kufyeka mtu yeyote...hao hadi wanawake na watoto ni magaidi.
Watangaze raia wahame kabla hawajaichoma moto Gaza
Sasa mtu akimbaka mkeo basi na ww ukaenda kulipa kwa kubaka familia yake nzima, utakuwa na utofauti gani na huyo mbakaji?Hamas ilivyoshambulia raia wa Israel October 7 ikawaua kwenye sherehe na wale walioko manyumbani na ikawateka raia wa Israel ilikuwa inakubalika upande wa Hamas kwanini waislamu wakitenda hakuna malalamiko ila wakitendewa mnalalamika sana
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
point kabisa sijui kwanini?Waislamu Kote Duniani hawana Akili. Ndio maana vumbuzi nyingi.. ni za wakristu.
Ikikuuma chomoa.Waisraeli siyo wakristo. Tena ikumbukwe ni waua YESU KRISTO.
Hawana haja ya kujifanya ETI WAO NI KIZAZI CHA MWENYEZI MUNGU!
Kutesa, kuuwa, kunyanyasa, kuwanyima maji, chakula na mahitaji muhimu binadamu wenzao siyo UTU.
A two state solution ikubaliwe watu waishi kwa amani, kujifanya wana haki na kuwauwa Wapelistina kama wao walivyouliwa na NAZI siyo UTU.
Vita itam cost Israel mpaka ataelewa ukweli.
Mimi ni mkristo. Lazima tukemee maovu.
[emoji84][emoji49][emoji96][emoji2791][emoji34][emoji35][emoji36][emoji82][emoji2959]🥹
Israel imelalamika mara nyingi magaidi ya Hamas wamejenga kambi zao chini ya misikiti,kanisa, hospital,kambi za wakimbizi wanawatumia raia kama ngao mnategemea nini ilimje kutafuta huruma ya duniaSasa mtu akimbaka mkeo basi na ww ukaenda kulipa kwa kubaka familia yake nzima, utakuwa na utofauti gani na huyo mbakaji?
Sasa kama Israel kama anauwa raia kama hamas hiyo mantiki ya kuwaita Hamas magaidi inatoka wapi,basi tukubaliane kuwa hamas na Israel wote ni magaidi kwa sababu wanafanya mambo yanayo fanana.
Amin aliivamia kagera akauwa watu kibao lakini jeshi la Tz halikuenda Uganda na kuanza kuuwa raia hovyo hovyo na makusudi bali tuli pambana na Amin na jeshi lake mpaka tukashinda.
Ikikuuma chomoa.Shida ni kwamba nyinyi wagalatia mnajiingiza katika vita ambayo hauwahusu
Waisrael sio ndugu zenu wa kiimani Wala damu waisrael hawamkubali Yesu Wala hawaitaki dini ya ukristo
Jews believe Jesus did not fulfill messianic prophecies that establish the criteria for the coming of the messiah. Judaism does not accept Jesus as a divine being, an intermediary between humans and God, a messiah, or holy.
🙊Wewe ni Myahudi? Nauliza tu mkuu maana Jf kama hadi wayahudi wapo humu basi tujipongeze kwakweli.
Ushashiba maandazi yako hapo Mtambani unaanza kujifariji na habari za kutunga.Tupe source ya habari yako tuiverify.Wana mgambo wa Hamas wameshambhulia na kuuwa Askari zaidi ya 14 kwa mkupuo kwenye msafara wa jeshi la Israel Kaskazini mwa Gaza
View attachment 2800661View attachment 2800493View attachment 2800494View attachment 2800495
Netanyahu Hali tete Hamas wame release video kibao, Wanapigwa kiboya, mfano hicho kikosi kimepigwa na watu watatu tu wamechakaza kikosi kizima na mavifaru yao. Siku yoyote nahisi watampindua ama kumtoa madarakani.
Palestina haina cha kupoteza... Resistance ipo kwenye damu.. wakimalizwa Hamas sahiv, hao wakimbizi unawaona vitoto vya kipalestina ndo Hamas wa kesho.
Halafu siri moja ni kwamba, wanawake wa Kipalestina wanafyatua watoto sio mchezo.
Ndo maana hii vita mpaka sasa ni ushindi mkubwa wa Palestina. Maana two state solution inaenda kutokea wala sio siri, maana hata Israel haamini macho yake.
Hapo bado ijumaa sijui Hassan Nasrallah atasema nini.
Kabla ya hata vita havijaanza wanaishi nusu ya maiti.Hamas has nothing to lose, so far washafanikiwa kwa zaidi ya Asilimia 100.