Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Muislam akifa ktk vita hivi peponi akimuua kafiri peponi. Wa kuonewa huruma mpaka hujaujua ukweli na ukasilimu

Bila kusahau peponi kuna mabikira 72 wenye macho kama vikombe na mito inayotiririka pombe!
Hongereni sana ndugu zetu katika imani, hakika pepo yenu ni nzuri sana
 
Waisraeli siyo wakristo. Tena ikumbukwe ni waua YESU KRISTO.
Hawana haja ya kujifanya ETI WAO NI KIZAZI CHA MWENYEZI MUNGU!
Kutesa, kuuwa, kunyanyasa, kuwanyima maji, chakula na mahitaji muhimu binadamu wenzao siyo UTU.
A two state solution ikubaliwe watu waishi kwa amani, kujifanya wana haki na kuwauwa Wapelistina kama wao walivyouliwa na NAZI siyo UTU.
Vita itam cost Israel mpaka ataelewa ukweli.
Mimi ni mkristo. Lazima tukemee maovu.
👺👿💢🗯️😠😡😤😾🤬🥹
 
Kwani hao Bikra 72 mtawazalisha!
Sasa siumelizwa kuwa nyinyi mlio wekeza kwenye elimu mmevumbua nn?

Alafu baba yako ange achana na bikra ww usingekuwa hapa duniani.
 
W
Muislam akifa ktk vita hivi peponi akimuua kafiri peponi. Wa kuonewa huruma mpaka hujaujua ukweli na ukasilimu
Wale mabikra walioko peponi ni dada zenu wa kiislamu au? Maake isije kuwa ni wakristo wenzenu mnawatolea macho. Naomba jibu kama vipi tumuombe Marekani akawakomboe dada zetu faster huko peponi
 
Kweli Aisee,
Afu raia wanawaficha Sana
Israeli kuingiza vikosi Gaza wamejichanganya,

Israeli Akumbuke vizur kilichomkuta marekani kule bhaghadi iraq, urban warfare walichakazwa Hadi bunge la seneti likaingilia Kati.
Eti walichakazwa😁
 
Mkuu Hamas hawaongei maneno matupu kila kitu wanarecord. Wameachia video za kutosha tu, video zina mb nyingi ila chache fupi fupi

View attachment 2800671

Hapo ki drone kinadondosha Bomu kwenye kundi la watu, sema Bomu lenyewe tu la kienyeji, ingekuwa Bomu la kisasa kikosi kizima kingekufa.

Hii wanaonesha mabomu ya kupandikiza Ardhini
Kifaru kimeganyaga kikalipuka.
View attachment 2800697
Kuna video nyengine Kubwa wanaonesha namna wanavyotoka kwenye shimo na kulipua vifaru.

Kuna video ya juzi hiyo ambayo hicho kikosi kizima kiliuliwa tena na watu watatu tu.

Kifupi IDF wanakufa vibaya mno, ndio maana kuna pressure kubwa Netanyahu ajiuzulu.
Tatizo watu wanaangalia propaganda za BBC na CNN tu
 
Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia

A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza.

Hii ni unit nzima ya wanajeshi wa Israel waliouliwa wote na Kombora la Hamas hii imewafanya hadi wabunge Knesset ya Israel kulia kwa uchungu baada ya vijana wao kuangamizwa wote na wanamapambano wa Hamas

The Final Image of 10 Soldiers in the 84th “Givati” Brigade of the Israel Defense Force before they entered the Gaza Strip and were Killed last night by an Anti-Tank Guided Missile Attack on their “Namer” Heavy Armored Personnel Carrier

View attachment 2800481View attachment 2800482
watu 9000 hata hamguswi ila mnashangilia kufa watu hawazidi hata 100
 
Ukiangalia IDF wanavyopigana na Hamas ni kama hawajajiandaa na urban war. Kuna Clip moja niliiona Twitter Wanajeshi wamejikusanya kama kumbikumbi wamevikimbia vifaru baada ya kuwa ambushed na Hamas.

Wachambuzi wanasema hamas wangekuwa na drone za fastarefaster kikosi chote kingegeuzwa mkaa maana wamepigwa picha kutokea juu.

Wanajeshi kama hawafuatilii SMO ya Russia na mabadiliko makubwa hasa ingizo la drone warfare watakuwa wanakufa kizembe.

Watashinda na kuiteka Gaza ila vita hivi vimeonyesha pia mapungufu yao mengi ambayo wasipoyafanyia kazi, hiyo nchi yenye maadui wengi kila gaidi atatamani kuitest.
wapigane bila kujificha nyuma ya raia , hv hv Japan alifanya kweny WW2 ila walishindwa
 
Kweli Aisee,
Afu raia wanawaficha Sana
Israeli kuingiza vikosi Gaza wamejichanganya,

Israeli Akumbuke vizur kilichomkuta marekani kule bhaghadi iraq, urban warfare walichakazwa Hadi bunge la seneti likaingilia Kati.
Macron naye kwa kujua yanayompaka kaskazini ya Afrika alimuonya sana Israel ili asiingie kwenye mtego.
Tamaa ya kuwamaliza Hamas na kuvunja serikali yao na kuiona Gaza kama sehemu nyengine kuja kuanza kuzichezea nchi za kiarabu,tamaa hizo zimemponza na akaingia kichwa kichwa.
Sauti za askari mashoga pale mpakani walioona wanacheleweshwa ziliwagawa viongozi wa Israel wengine wakiwasikiliza mashoga na wengine wakiona bora wasubiri Hamas wafe kwa njaa.
Mipango ya Mungu ni iliyo bora zaidi.Kusubiri kuingia ilikuwa inaigazwa serikali na kusababisha ugomvi kwa makambanda wa IDF.Kuingiza jeshi mapema nako kumewakuta Hamas wana hasira na nguvu za hali ya juu.Hakuna lenye kheri na wao katika maamuzi.
Mwisho ni kusambaratika Israel yote pamoja na Marekani.
 
Kweli Aisee,
Afu raia wanawaficha Sana
Israeli kuingiza vikosi Gaza wamejichanganya,

Israeli Akumbuke vizur kilichomkuta marekani kule bhaghadi iraq, urban warfare walichakazwa Hadi bunge la seneti likaingilia Kati.
Uongo
 
Usichanganye Hamas na Wapalestina wanaokufa kila mtu Ana Goals zake. Hamas wapo kwenye mahandaki huko hayo mabomu ambayo hata hayafukui msingi wa Nyumba hata hayawagusi, real loser wa vita ni IDF na Wananchi wa Palestina ila so Far Hamas hawajaathirika
Muda ni mwalimu mzuri acha tusubiri!!!
 
utani utani hii vita inaenda kula vichwa vya wanajeshi wa kutosha na inaweza badirisha historia ya nchi mojawapo
Nchi gani braza? the rule number one ya vita, fanya juu chini uwanja wa vita isiwe kwako, je nyie Hamas mnatambua hili?
 
Back
Top Bottom