Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Hamas ilivyoshambulia raia wa Israel October 7 ikawaua kwenye sherehe na wale walioko manyumbani na ikawateka raia wa Israel ilikuwa inakubalika upande wa Hamas kwanini waislamu wakitenda hakuna malalamiko ila wakitendewa mnalalamika sana

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Ww ukimuona mtu anaitwa Josefu basi huyo ni mkristo ?
Sasa ni kwambie tu ni kuwa asilimia kubwa ya wavumbuzi hapa duniani ni watu wasio amini katika mungu.
Kwa hiyo inabidi Tusiamini uwepo wa Mungu ili Tugundue na Kuvumbua zaidi ?????
 
Africa tumetengwa kwenye dini na imani! Na hapo tutazidi kutawaliwa milele ukifikiria nje ya box huwez kuwa mlevi wa dini kihisi hiki, yaani tunashindwa kupambania maslahi yetu kwa umoja tukaungana tukaishi kama wa moja lkn ni kila siku vita vya kidini na vinarudisha sana maisha yetu nyuma na kutufanya kuwa maskini zaidi
 
Mbona mama yako alikuzaa au yeye alizaliwa bila bikra?
😁😁 Hongera kw hiyo mtaanza maisha upya ...wake 72 ! Aisee mnatisha...au Ndio maana Kila pembejeni ya Msikiti kunauzwa Alkassusu...ni maandalizi ya kutoa bikira ! Huku mkiogelea kwenye Amarura na Pilsner Ice!
 
Tena huyo Malaria 2 atakuwa kuni kuzimu.
kimsboy ndio atakuwa wa pili kuchomwa😂
Hao wanaamini kuna mabikra 72 watapewa. Wehu saana. Wanawaza wafe wakale mabikra😆😆😆😆 Malaria 2 ni kichaaa wa dini. Na kuna anajiita sijui rits au ITR kama sijakosea huyo ndio matusi kama amezaliwa na kukulia chooni. Maana yeye na matusi tena matusi makubwa afu alivyo mjinga anaamina kuwa ataenda kupewa mabikra 72 na mvinyo unaotiririka
 
Dawa ni kufyeka mtu yeyote...hao hadi wanawake na watoto ni magaidi.

Watangaze raia wahame kabla hawajaichoma moto Gaza
Shida ni kwamba nyinyi wagalatia mnajiingiza katika vita ambayo hauwahusu

Waisrael sio ndugu zenu wa kiimani Wala damu waisrael hawamkubali Yesu Wala hawaitaki dini ya ukristo

Jews believe Jesus did not fulfill messianic prophecies that establish the criteria for the coming of the messiah. Judaism does not accept Jesus as a divine being, an intermediary between humans and God, a messiah, or holy.
 
Sasa mtu akimbaka mkeo basi na ww ukaenda kulipa kwa kubaka familia yake nzima, utakuwa na utofauti gani na huyo mbakaji?

Sasa kama Israel kama anauwa raia kama hamas hiyo mantiki ya kuwaita Hamas magaidi inatoka wapi,basi tukubaliane kuwa hamas na Israel wote ni magaidi kwa sababu wanafanya mambo yanayo fanana.

Amin aliivamia kagera akauwa watu kibao lakini jeshi la Tz halikuenda Uganda na kuanza kuuwa raia hovyo hovyo na makusudi bali tuli pambana na Amin na jeshi lake mpaka tukashinda.
 
Ikikuuma chomoa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Israel imelalamika mara nyingi magaidi ya Hamas wamejenga kambi zao chini ya misikiti,kanisa, hospital,kambi za wakimbizi wanawatumia raia kama ngao mnategemea nini ilimje kutafuta huruma ya dunia

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Ikikuuma chomoa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Netanyahu Hali tete Hamas wame release video kibao, Wanapigwa kiboya, mfano hicho kikosi kimepigwa na watu watatu tu wamechakaza kikosi kizima na mavifaru yao. Siku yoyote nahisi watampindua ama kumtoa madarakani.

Vita ni pamoja na propaganda. Hizo video zinatolewa kimkakati ili kushusha morali ya wanajeshi wa Israeli Ila kiuhalisia hali ni mbaya zaidi kwa magaidi ya hamas
 

Sidhani kama kuna two state solution maana hamas na Iran wana lengo moja ya kuwafuta Israeli hapo Middle East. Na muisraeli hatakubali
 
Hamas has nothing to lose, so far washafanikiwa kwa zaidi ya Asilimia 100.
Kabla ya hata vita havijaanza wanaishi nusu ya maiti.
Lile shambulia waliltegesha muda muafaka sana.
Nchi nyingi za wenzao zilikuwa zimeshazujgwa kurudisha uhusiano.Kue ukingo wa magharibi ardhi iliyobaki ilikuwa iko mbioni kumalizwa.
Wasingekuwa na muda wa mbeleni kujitetea wala kulalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…