Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Vita ni pamoja na propaganda. Hizo video zinatolewa kimkakati ili kushusha morali ya wanajeshi wa Israeli Ila kiuhalisia hali ni mbaya zaidi kwa magaidi ya hamas
Afadhali useme vita ni kali kwani kwa hasara wanayoipata Israel haikutarajiwa.
 
Muislam akifa ktk vita hivi peponi akimuua kafiri peponi. Wa kuonewa huruma mpaka hujaujua ukweli na ukasilimu
Huo ndiyo Uongo uliojaa Kwenye Vichwa vya ma terrorist baada ya kudanganywa kuwa watakutana na bikira mreeeeeefu Kama mti Kumbe wakifika huko wanakutana na kipigo cha moto .

 
normal cost of wars....at the end, HAMAS na wapalestina ndo wanapoteza zaidi
 
Kwa hiyo inabidi Tusiamini uwepo wa Mungu ili Tugundue na Kuvumbua zaidi ?????
Hakuna aliye sema hivyo mm nilkuwa namuelewesha huyo mshamba ya kuwa huitaji kuwa dini fulani ili uweze kuwa mvumbuzi.
 
Ya kwamba ww umepewa kibali cha kutukana wengine ila ww ukitukanwa unaona umeonewa sio?
 
Sasa kama mnajua kambi ziko chini huko juu mnakuwa mnashambulia ili iweje?
 
Ndugu yangu, wakati mwingine kuweni na akili jamani!

HAMAS wamekufa kwa mamia, pia wengi wao wamejificha kwenye mahandaki, ila IDF alichofanya ni kubomoa miundombinu yote hasa majengo kisha anachokifanya sasa hivi anaizunguka hiyo Gaza yote, alafu sasa amethibiti hakuna supply ya maji wala chakula wala umeme!

Soon hao HAMAS watachagua moja ama wajifie kama kunguni kwa kukosa chakula na maji huko kwenye mahandaki au watoke wakutane na moto wa IDF.

IDF imesema hiyo vita itachukua kati ya miezi 5 hadi 6 hapo jua ana target zake.

Ameigawa hiyo vita kwenye level hii ya sasa ni level 3

Kuna vitu nyie wafuasi wa Muhammad hamuwezi kuviona kwa macho ya kawaida.
 
Vita ni pamoja na propaganda. Hizo video zinatolewa kimkakati ili kushusha morali ya wanajeshi wa Israeli Ila kiuhalisia hali ni mbaya zaidi kwa magaidi ya hamas
Punguza panic maana naona mishipa imekutoka utadhani una undugu wowote na wayahudi kumbe ww ni kama mavi tu mbele yao.

Israel imekili na picha za walio uawa zimewekwa sasa ww unabisha kama nani?

Alafu kingine wanajeshi kufa vitani ni jambo la kawaida hivyo tuliza kimuhe muhe kuuawa kwa hao wana jeshi haimaanishi Israel imeshindwa vita.
 
Ya kwamba ww umepewa kibali cha kutukana wengine ila ww ukitukanwa unaona umeonewa sio?
Umepata chai kwanza maana ukiwa na njaa huwa unatukana tu bila sababu. Matusi yako bora upigwe bann la maisha naanza kukusagia kungini wakutie bann
 
Waarabu hamna kitu kinamuumiza kama kupokonywa ardhi na Israel ashajua hicho, anachofanya ni kupokonya zaidi mpaka wawe na adabu
 
Sawa sisi hatuoni ila Nyie magenious mnaoona hamuoni within Israel mwenzenu Netanyahu anavyowekwa kikaangoni, viongozi Wakubwa wakubwa wametoka hadharani kupingana nae na Israel haina unity ile tulioizoea

 
Ww ukimuona mtu anaitwa Josefu basi huyo ni mkristo ?
Sasa ni kwambie tu ni kuwa asilimia kubwa ya wavumbuzi hapa duniani ni watu wasio amini katika mungu.
Umeongea uongo mchana kweupe, skiza nianze na mifano ya Hawa wa juzi hapa Steve Jobs na Stephen Hawking Hawa wakiwa watoto wamekuzwa wakiwa wakristo na hata ibada walihudhuria, sijui Nini kinawapata mwisho mwingine anasema hajui kama Mungu yupo au la...
 
We ndio naona umepanik. Mi nimesema uhalisia kwamba vita ni pamoja na propaganda ndio maana hamas wakiua kidogo tu wanarusha video kuonesha kwamba wanashinda ila kiuhalisia wana hali ngumu mno
 
Afadhali useme vita ni kali kwani kwa hasara wanayoipata Israel haikutarajiwa.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni ngumu sana tena ukiwa unapambana na adui aside na uniform halafu anajichanganya katikati ya raia.
Hata kule Iraq wanajeshi wengi wa Marekani walikufa kwenye vita ya mtaa kwa mtaa baada ya kumpindua Sadam Hussein
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…