Mkuu Hamas hawaongei maneno matupu kila kitu wanarecord. Wameachia video za kutosha tu, video zina mb nyingi ila chache fupi fupi
View attachment 2800671
Hapo ki drone kinadondosha Bomu kwenye kundi la watu, sema Bomu lenyewe tu la kienyeji, ingekuwa Bomu la kisasa kikosi kizima kingekufa.
Hii wanaonesha mabomu ya kupandikiza Ardhini
Kifaru kimeganyaga kikalipuka.
View attachment 2800697
Kuna video nyengine Kubwa wanaonesha namna wanavyotoka kwenye shimo na kulipua vifaru.
Kuna video ya juzi hiyo ambayo hicho kikosi kizima kiliuliwa tena na watu watatu tu.
Kifupi IDF wanakufa vibaya mno, ndio maana kuna pressure kubwa Netanyahu ajiuzulu.