Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Ina maana wao hamas hawafi sio?! Wanaokufa ni raia wa kawaida tu
We ndio naona umepanik. Mi nimesema uhalisia kwamba vita ni pamoja na propaganda ndio maana hamas wakiua kidogo tu wanarusha video kuonesha kwamba wanashinda ila kiuhalisia wana hali ngumu mno
I don't think lengo la Hamas ni kushinda per Se kwamba waipige Israel hadi wachukue Nchi , bali ni kujiweka katika Mazingira mazuri for future events.


srael kwake nafuu ni vita kuisha haraka as possible na Hamas wao ni kuvirefusha as possible, viki drag muda mrefu watakuwa na edge kama wataenda kwenye meza mazungumzo.

Analyst wengi wa naamini huu ni mwanzo wa 2 state solution.
 
Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia

A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza.

Hii ni unit nzima ya wanajeshi wa Israel waliouliwa wote na Kombora la Hamas hii imewafanya hadi wabunge Knesset ya Israel kulia kwa uchungu baada ya vijana wao kuangamizwa wote na wanamapambano wa Hamas

The Final Image of 10 Soldiers in the 84th “Givati” Brigade of the Israel Defense Force before they entered the Gaza Strip and were Killed last night by an Anti-Tank Guided Missile Attack on their “Namer” Heavy Armored Personnel Carrier

View attachment 2800481View attachment 2800482
Askari 14 hawawezi kuwa Unit, unajua Unit? Hapo unaongelea kikosi.
Askari 14 ni sec inategemea na.muundo wao wa kimapigano.FIBUA ni mapigano ya hatari sana
 
I don't think lengo la Hamas ni kushinda per Se kwamba waipige Israel hadi wachukue Nchi , bali ni kujiweka katika Mazingira mazuri for future events.


srael kwake nafuu ni vita kuisha haraka as possible na Hamas wao ni kuvirefusha as possible, viki drag muda mrefu watakuwa na edge kama wataenda kwenye meza mazungumzo.

Analyst wengi wa naamini huu ni mwanzo wa 2 state solution.
Ila hamas hawataki two state solution. Lengo lao ni kufuta dola ya Israeli.
Nadhani lengo ni kurefusha vita ili kuamsha hasira za waarabu/waislam ili waingie kwa pamoja kuichangia Israeli.
Kumbuka Israeli imezungukwa na maadui kila sehemu na wote wanamsubiri kwa hamu
 
Dawa ni kufyeka mtu yeyote...hao hadi wanawake na watoto ni magaidi.

Watangaze raia wahame kabla hawajaichoma moto Gaza
Watangaze mara ngapi?
Inaonakana haufatii hii vita, yani umekurupuka tu huko, kwakua ni wagalatia wenzio ndio wanaochezea kichapo basi ukaamua kuchangia, sio?
 
Walishatangaziwa wahame hapo wanafanya nini kama sio wao nao wako kitu kimoja na hamas?
Hamas na hao wagalatia wenzio wote ni waparestina wanao tetea ardhi yao, usicho kijua ni nini?
We utakua ni mtoto ulie zaliwa 2000+.
 
Mzayuni mtoto mdogo sana ,Hamas hizo harakati hajaanza leo , wengi wa watu humu ndio mara yao ya kwanza hata kuwasikia hao Hamas , ndio hao wanaoropka humu kama walevi " Israel anaifuta Hamas "
Shuhudieni mtiti
 
Kumbe....huyo hatakuwa mama yangu,! Yaani Imani za kipuuzi kama hizo bado mpo humohumo?!
Ya kwamba ww umepewa kibali cha kutukana wengine ila ww ukitukanwa unaona umeonewa sio?
 
Watu wanashangaza....hawafatilii historia....palestina Ina wakristo wakutosha...
Nimegundua humu wanaobisha bisha wengi wao ni watoto wadogo waliozaliwa 2000+.

Wengine wamenunuliwa smartphone na baba zao baada ya kuanza chuo mwaka wa kwanza 2022.

Mara ya kwanza nilijua wakristo wote wanaunga mkono Israil na kufurahiya jinsi waparestina wanavyo teseka, lakini sasa nimebadili mawazo.

Wakristo wenye akili zao, wengi wao hupita kimya kimya kulinda heshima zao, maana ni mwendawazimu tu atakae unga mkono kinacho fanywa na Israil hapo Gaza.
 
Mzayuni aendelee kuwaburuza wale mamluki wa kule westbank akina Fatah na palestine liberation army , Ila huo ukanda wa Islamic jihad and Hamas ,mzayuni ataumia sana na ataingia heavy losses .
Si rahisi kama watu wasiojua huu mgogoro wanavyodhani
 
Nimegundua humu wanaobisha bisha wengi wao ni watoto wadogo waliozaliwa 2000+.

Wengine wamenunuliwa smartphone na baba zao baada ya kuanza chuo mwaka wa kwanza 2022.

Mara ya kwanza nilijua wakristo wote wanaunga mkono Israil na kufurahiya jinsi waparestina wanavyo teseka, lakini sasa nimebadili mawazo.

Wakristo wenye akili zao, wengi wao hupita kimya kimya kulinda heshima zao, maana ni mwendawazimu tu atakae unga mkono kinacho fanywa na Israil hapo Gaza.
Yah ! Wengi walikuwa hawajui hata historia ya huu mgogoro na trend za matukio tangia mwaka 1947 meli ya kwanza ya wahamiaji haramu toka Ulaya walipoingia pale ,enzi za utawala wa mkoloni mwingereza
 
Waislamu Kote Duniani hawana Akili. Ndio maana vumbuzi nyingi.. ni za wakristu.
Usiwadharau waislamu wamegundua mafuta kwenye nchi zao na kwenye teknolojia Vumbuzi nyingi sana hapo Marekani na duniani ni za wahindi, jews,koreans, japans and Chinese na usisahau wa watu wa asili ya Afrika kama Katherine Johnson
 
Shida ni kwamba nyinyi wagalatia mnajiingiza katika vita ambayo hauwahusu

Waisrael sio ndugu zenu wa kiimani Wala damu waisrael hawamkubali Yesu Wala hawaitaki dini ya ukristo

Jews believe Jesus did not fulfill messianic prophecies that establish the criteria for the coming of the messiah. Judaism does not accept Jesus as a divine being, an intermediary between humans and God, a messiah, or holy.
Wakristo wenye akili wanalijua hilo, tatizo kuna watoto waliozaliwa 2000+, hao ndio huwaambii kitu wakakuelewa.

Sasa we mtu anaabudu sanamu, ataelewa hilo?
Mtu kila jumapili anauziwa papai kutoka kimanzichana, anaambiwa limetoka kwa bwana (mungu) atakuelewa kweli.

Mtu kanisani kwake kuna nabii wa kike kavaa kisuruali kimemmbana, tena usishangae yuko mwezini lakini kuna msomi wa phd anamuamini kua huyo ni nabii.

Kiufupi kuna kundi la wakristo feki limeibuka hapa kati ambalo akili zao na mbuzi hazitofautini.

Ni bora mkatoliki utamuambia kitu atakuelewa, lakini sio hayo makanisa mengine.
 
Mzayuni mtoto mdogo sana ,Hamas hizo harakati hajaanza leo , wengi wa watu humu ndio mara yao ya kwanza hata kuwasikia hao Hamas , ndio hao wanaoropka humu kama walevi " Israel anaifuta Hamas "
Shuhudieni mtiti
Hii muvi tam.

Waarabu wanadharau, Israel kapewa Hamas ahangaike NAO.

Kuna Hezbollah,Iran,na Hawa Wachechnya wataalam WA vita ya kitanda Kwa kitanda kama kampeni za CCM,Hawa Wachechnya Putin mwambie akuhadithie.Hao wote wapo pembezoni wanasubiri Hamas achemke waingie.

Huu mwaka Israel hatoboi.
 
Kumbe mnajiweza kupigana hadi mnamaliza unit nzima sasa mnalia lia nini Palestine inaonewa? Mnatafuta huruma ya nini kutuwekea picha za watoto

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Sasa ukipiga bomu raia unataka uachwe!!!, mbona Ukraine kutwa analia lia raia kushambuliwa na Urusi, wakati kapewa silaha za kisasa tu za kujilinda
 
Ndugu yangu, wakati mwingine kuweni na akili jamani!

HAMAS wamekufa kwa mamia, pia wengi wao wamejificha kwenye mahandaki, ila IDF alichofanya ni kubomoa miundombinu yote hasa majengo kisha anachokifanya sasa hivi anaizunguka hiyo Gaza yote, alafu sasa amethibiti hakuna supply ya maji wala chakula wala umeme!

Soon hao HAMAS watachagua moja ama wajifie kama kunguni kwa kukosa chakula na maji huko kwenye mahandaki au watoke wakutane na moto wa IDF.

IDF imesema hiyo vita itachukua kati ya miezi 5 hadi 6 hapo jua ana target zake.

Ameigawa hiyo vita kwenye level hii ya sasa ni level 3

Kuna vitu nyie wafuasi wa Muhammad hamuwezi kuviona kwa macho ya kawaida.
Gaza sio bustani
 
Back
Top Bottom