baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Ina maana wao hamas hawafi sio?! Wanaokufa ni raia wa kawaida tu
I don't think lengo la Hamas ni kushinda per Se kwamba waipige Israel hadi wachukue Nchi , bali ni kujiweka katika Mazingira mazuri for future events.We ndio naona umepanik. Mi nimesema uhalisia kwamba vita ni pamoja na propaganda ndio maana hamas wakiua kidogo tu wanarusha video kuonesha kwamba wanashinda ila kiuhalisia wana hali ngumu mno
srael kwake nafuu ni vita kuisha haraka as possible na Hamas wao ni kuvirefusha as possible, viki drag muda mrefu watakuwa na edge kama wataenda kwenye meza mazungumzo.
Analyst wengi wa naamini huu ni mwanzo wa 2 state solution.