Mkuu ni chuo kipi graduate anaondoka na joho lake? Maana vyuo vingi unalipia kuanzia 50k- 80k na hapo unalikodi inatakiwa uridishe baada ya sherehe kuishaMimi nilipata undergraduate degree wakati wa Mwalimu. Tulikuwa tunaweka caution money Sh 100; na baada ya graduation unarudisha joho lao na kupata cheti cha digrii yako. Siku hizi graduate anaondoka na joho lake kwa hiyo ni lazima alilipie.
Tena nasubiri kwa hamu cake yako coca. Nitatuma boda aifwate kokote πππGraduu sio lazima, achana nayo fanya mambo menginee.
Lol
Ulitisha dear, ππππIliniuma sababu mimi sikuvaa kwenda kwenye sherehe, nilichukua kwaajili ya kupigia picha tu π₯Ή
Sitaki mkomolewe, nilikuwa najaribu kukumbuka tu.
Dear T, chuo nimemaliza mwaka juzi 2023.Tena nasubiri kwa hamu cake yako coca. Nitatuma boda aifwate kokote πππ
Hivi Ndivyo serikali tulivu inavyotufumba midomo pindi tunapodai haki zetu.Mnapenda kulalama tu
Mi bana mambo ya kukaa kwenye sherehe siyawezi, Harusi yenyewe inanipa mawazo basi tu! πUlitisha dear, ππππ
Dear T, chuo nimemaliza mwaka juzi .Tena nasubiri kwa hamu cake yako coca. Nitatuma boda aifwate kokote πππ
Una harusi lini dear, nije nile kuku. ππMi bana mambo ya kukaa kwenye sherehe siyawezi, Harusi yenyewe inanipa mawazo basi tu! π
Au nyie kuna mtu anawagawia hizo hela? Mnazitafuta wenyewe kweli?Joho ni 50K kuendelea. UOI bado wanawadekeza sana!
Hili ndo jambo la msingi.Ishi humo mkuu kama ndio huna connection na ushaanza kuomba kushushiwa bei ya joho hadi elfu 8, jipange na mtaa.
Kabisa.. Halafu wanalazimisha elfu arobaini. Huu ni wizi ambao umehalalishwa. Natamani rais apige marufuku kulipisha majoho.. Uwezo haulinganiKuna ulazima gani wa kufanya mahafali? Cheti ndio muhimu
Naona umeniamkia na matusii. Kipi nimekukosea?Tafuta hela kenge wewe.
Lazima atalipia tu kwenye kuchukua chetiUzuri wake sio lazima, achana nalo fanya mambo mengine
Na kile kimfuko cha kuliweka joho unalipia Ukipoteza tena benki mbona utajutraa!πTena kuna chuo kama SAUT unalipia joho na unapewa siku 2 za kukaa na joho baada ya graduu, ukichelewa kurudisha siku husika unapigwa fine 10000 kila siku. Ukichelewa siku 7 utalipa fine 70000.
Hakuna namna toa tuu ufurahie moment.
Aiii mdogo wangu sijasema ivo⦠unanilisha maneno ..Dear T, chuo nimemaliza mwaka juzi .
Hadi nimesahau na Joho enyewe nilovaa.
πππππ
Una harusi lini dear, nije nile kuku. ππ