Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
You guys sio kwamba Nina-support ila Kwa nature ya Jeshi letu sio wote wanaouliwa ni Panyaroad, get me right, shida Iko Wapi? Mbona concern yangu Iko very straight?Hao "wahuni" siku wasipokuwapo hautaupata hata huo usingizi kwenye hiko kitanda unachotypia hizi comment. Ni kawaida ya binadamu ku-take something for granted pale kinapokuwepo.
Siku hao Panyaroad watakapo-take over utajua "mhuni" zaidi ni nani, maana hata hiyo simu ya kutypia na kupost humu hutakuwa nayo, achilia mbali mikono.
Narudia kushauri waacheni Polisi wafanye kazi yao.
Hawa watoto wenu wameua na kujeruhi watu vibaya sana.
Kaeni kwa kutulia....
Lazima mjue Serikali yoyote makini haitakubali...
Kwanza unasema wanavuta bangi...bangi inaruhusiwa kuvutwa kwa sheria ipi?..hapo hapo unaomba procedure ifuatwe....procedure ipi kwa wavuta bangi.
Katika hili Mungu wabariki PT.
Siku wakija kwako wakikupiga panga mbili alafu wakagegenda my baby wako na watoto wako wakishuhudia na wakitamani kusikia ukitetema lakini ukabaki kutetemeka. Hiyo ndo siku utakayopata akili.Sitetei uhalifu,vnakataa POLICE kiruhusiwa kufanya KAZI ya mahakama.
Tufuate utawala wa Sheria, we huoni Hilo?
Hawa wanachukua pesa zetu Kwa nguvu kwenye miamala ya kibenki mbona hatuwauwi tunaviachia vyombo husika???😠😠😠
Hawa watoto wa ushuani gari zao zitamfuata nani Chumbani, Kuwa maskini haimaniishi ukajeruhi na kuua watu kwa sababu unata smart phone, TV nk. Hatupaswi kutetea ujinga toa tahadhari kwa mwanao kwamba ajihadhari kipindi hiki. Lakini usichanganye mambo kwa habari ya watoto wa ushuani. Kwanza ushuwani panya road hatii mguu, anaanzaje nyumba ina fensi ya ukuta, juu yake umeme, kuna mbwa, kuna mlinzi na bado mshua ana mguu wa kuku? Panya road wanaua hao hao unaowaita maskini. Saga tokomeza panya road, hatuhitaji mapambio ktk hiliYaa i watu wanatetea uvunjwaji wa sheria kisa tu yanayowakuta ni watoto wa maskini! Hivi tukisema mtu akifanya kosa auawe bila kufuata sheria wangapi watauawa. Mfano hao watoto wa ushuani wakichukua gari za baba zao na kwenda nazo kwenye sherehe za birthday za ulevi kisha kutokana na kuendesha gari wakiwa wamelewa wakisababisha ajali nao wauawe papo hapo au wazazi wao watakuwa wa kwanza kutaka sheria ifuatwe? Au watoto wao humo ndani wakibaka housegirl mbona wanajitahidi kuyamaliza kimya kimya? Je nao wauawe bila kuhukumiwa mahakamani?
Ni vyema tutatue matatizo ya jinai mbalimbali kwa kufuata sheria.
Kanuni ya Ops ni kwamba if the law doesnt work, ELIMINATE ukijua hilo hutosumbua akili yako. Kama mtu yuko nje dhamana anayenda tena kufanya tukio lile, mtu amemaliza kifungo anarudi kosa lile lile, Soln ni kueliminate. Pole kwa mlioguswa na hii ops, sisi tulioguswa na panya road tunaomba Papa wakaze kidogoKwa hiyo bw Robert, ukikutwa na na panya road, adhabu yako ni kifo?
Huwa nasoma makala zako nakuona kama ni mtu mbobevu,
Kumbe unashabikikia uuwaji wa watuhumiwa,?
Mahakama zifutwe ili police watoe hukumu kwa watuhumiwa,
Sure sema kuna watu wajinga watasapoti ujingaYan kiufupi anamaanisha si jukumu la polisi kuyoa adhabu, ni jukumu la mahakama, sheria ndo inataka hivyo, kwenye sheria huwa wanasema ni vyema kuwaachia huru watu mia waliokuwa na makosa kuliko kumuadhibu mtu asiye na hatia, yani polisi wanapoamua kuchukua kundi la watu pasipo kufanyika uchunguzi ni dhahiri kabisa kunawatu wasio na hatia wataonewa, istoshe kama mtu amekamatwa anavuta bangi apelekwe maakamani na kuhukumiwa kwa kosa la kuvuta bangi na si polisi kujichukulia amri ya kuwaadhibu kwa kuwaua kitu ambacho si jukumu la polisi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
hahahaaaa usisahau kumpa namb yang 0754xxxxxxKale ka dada ka chuo kalikouliwa kalikuwa mithiri ya. Hivi View attachment 2367159
aseeeee dah muda huu ka nngekuwa natoka nako ningekuwa nakala nyapu aseeee , sema hii pisi (pichani) nimeipatia telegram tuuuu 80k inanitoka usiku huuu
kwann mnapenda watu tuish kwa mawazo ya kufukirika , mm nlikuww field , ukisikia mtu kafa ni mtu ambae hata ww ungemuua , polisi hawakurupuk , nlikuwa naish chamaz nmehama alhamis hii kisa hao panya road , wale watoto vifo wanajitakia wenyew , polis hukusimamisha na kukuomba ujieleze ww ni nan na unatoka wap unaenda wap , pia watakuhoji maswali madogo kuhus uongoz wa huo mtaa unaoish , ila hao panya road wamekuwa wakiwatishia polis kuwadhuru pind wanapoambiww kusimama na vifo vyao vinaanzia hapo , pia ukisikia mtu kafuatwa nyumban ujue huyo ni mhusika , mm nina rafik yang ni polis wa rank ya juu kila siku usiku huwa anapewa repoti za vituo vidogo vya wilaya yake , ukisikia hizo ripot ndo utaeleww kwann hapo juu wamesema waharifu hujulikana ila ni timing za kuwakamata tu , Kama ndugu yako ni mharifu bas mtetee ila juwa hiyo siyo solution , solution ni kumwambia aache kuiba mali za watu na kuwadhuruMnaotetea huu uhuni wa polisi subirini siku yakiwakuta mtatia akili, polisi wa bongo hawana tofauti na panya road, lile jeshi linatakiwa kufumuliwa lote maana bado linaendeshwa kwa sheria za kikoloni kuwalinda watawala na sio usalama wa raia, ndio maana wezi wakubwa wa kura ni jeshi la polisi
nimekutana nao mara tano mida ya usiku hawajawai kunidhuru , waambie ndugu zako waache uhalifu , njia za kupata ela zipo nyingi , polisi ni watu kama wewe sio kwamba polisi ni mazombie yanaua tu mtu wasiemjua wakizania ni sifa , nyiny mnaopotosha umma TUNAMASHAKA NA NYINYI , MNAWALEA NDUGU ZENU WANAOTUVAMIA NA KUTUIBIA NA MNALETEWW MALI ZA WIZ ZENYE ROHO ZA WATU WALA HAMJALI ILA ROHO ZA WATU WENU NDO MNAZIONA ZINA THAMAN , MALALAMIKO YAKO SIJUI ULITAKA TUWAACHE HAWA WAHUNI WAENDELEE KUVUNJA MILANGO KUUA NA KUTIA WATU UKILEMASawa, I am sorry sipo hapa kubishana Wacha yatukute
Hapa ndipo ninaposhindwa kumuelewa ndg #sandal, bora anayeiba bila kuumiza mtu...!hawa wanaua kwa ajili ya simu ya kitochi.“hakuna kitu kinauma Kama unatafuta kwa jasho alafu mtu anakuja kukupora, kukusababishia ulemavu au kukuua kabisa ili tu akunyang'anye mali yako”
acheni siasa chafu kwenye usalama wa nchi , mnataka kutupeleka libyia sasa , tuwaache hawa majambaz watuue kisa hao wahuni ni ndugu zenu , enz za mwalimu watu kama nyiny mlikuwa hamoo dunian sabab ndo chanzo cha uhalifuHakika
kwahiyi hoja yako ipi ? mnalea panyaroad ili muishi kwa roho za watu , na ndio maana mnafurahi watu wauliwe na kuibiwa na kubakwa na hao panyaroad , ila panyaroad wasiuliwe sabab roho zao ni muhimu sana, sio ? ningekuwa polis ningekutafuta na ww ulambe mchanga , nyiny hamjali usalama wa nchi kisa mihemko yenu ya kisiasa , walibyia wenye akili kama hz waliingiza libyia kweny machafuko mpk kesho wanajutaKwa komenti au post za wachangiaji wanaunga mkono police kuua watuhumiwa kisa wakifika polisi wanatoka huku wakisahau kuwa kama rushwa ndio chanzo cha kuwatoa nje hao police ndio huwashika wahalifu ili wapate pesa na wakipata huwaacha huru bila kuwapeleka mahakamani ili uwe mchezo endelevu.
unahisi wewe ndo unajua huyu ni panya road na huyu sio panya road ? hv unahisi hao wanaouiwa hawana ndugu polisi , au unahisi polisi hawajui pia kuwa hao wanowaua wana ndugu polis , panya road watufuate ndan ila wao wasifuatwe ndan sio ? WEWE NI MHARIFU NA UNAONEKANA UMETUMWA KUJA KUPOTOSHA UMMAWatu wanafuatwa ndani usiku wa maneno.
Police jamii au sungusungu wakisema tu au kupeleka list ya wahuni wa mtaa polisi basi hapo kifo unacho.
ww ni mpumbavy sijawai ona , panyaroad unahis hawajulikani ? au unahisi wanaish kuzimu ? au unahis hv vikund haviish na jamii au unahisi jamii haina macho ? kuna muda mwingine vitu mnavyoshabikia vitakuja kuwapotezea uhai , mm nmekutana na kadhia ya hao panya road bora wauawe maana wanajulikana mitaani , alhamis nyuma ya iliyopita tulikuwa kikao na wenyej wa chamaz walisema hawa watoto wanajulikana ila zaman walikuwa wakitajwa bas wanapelekwa polisi simu za wakubwa zinawatoa ,pia nmeishi vingunguti nmeona the same story nlikuwa nakaa na boda boda wanasema panya road wanajulikana ila kuwataja wanahofia usalama tu , hapo vingunguti mwisho wa lami kipind cha hayati palikuwa hapakaliki baada ya kupelekwa list bas walianza kuangushwa chini mmoja mmoja , nmehamia pale natembea mpk saa 8 kafa tu mzee Chuma , siku tatu mbele watoto wakaua mtu na kumpora laki 3 za mauzo duka la dawa , siku iliyo fuatia wakapiga matukio matatu usiku njia ya maji ya chai na njia ya sahara , pia siku iliyofutia wakachafua mitaa ya airport upande wa msikitini , hali imendelea vile nkahamia chamaz napo sasa hv hakukaliki wameua mtu ninane mjua kabisa alikuwa ananipelekea kazin , na wote wanasema hao madogo wanajulikana kabisa sio siri , NASHANGAA KUKUONA UPO HAPA KUPINGANA NA WANAOISHI NAO , KAMA SIO UCHIZ NI NIN ?Wengi hawajui kinachoendelea huko mitaani.
Kijana anafuatwa kwao usiku wa manane. Baada ya siku mbili tatu ndugu wanafuata maiti Muhimbili.
Hebu watu tuwe na utu. Kwanini tunakuwa kama wanyama
panya road lin wamepewa authority ya kuua ,kuvunja nyumba za watu na thamani zao , kuiba mali za watu na kubaka ?Naona uko mbali na mada.
Police ni lini wamepewa authority ya kuua?
Ni chombo kipi kina idhini ya kutoa hukumu ya kifo?
Kama kila mkosaji auawe je, kibaka na fisadi wa mabilioni yupi alipaswa kuwa wa kwanza kuuawa?
Sasa hivi sungusungu wakipeleka jina lako polisi kata kuwa ni miongoni mwa vijana wavuta bangi basi utafuatwa na ndugu zako wataifuta maiti yako Muhimbili.
Haya endeleeni kushangilia mauaji.
Hata siku moja sitashangilia mauaji maadamu nina akili timamu