Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

Wao wanavyoua usiku watu majumbani mwao wanatoa maelezo. Ngoja tuwashughulikie kwanza. Jana nimeua watatu leo natarajia kuua watano, mpaka waishe hawa panya wamekula sana nguo zangu
Natamani niwaelekeze sehemu nyingine ya hao mbwa mwitu, Vingunguti maeneo ya shule ya msingi Tapa mtaa wa wapendanao kule kula chimbo la kuhifadhi vitu vya wizi ,kuna nyumba special ya hao watu!iko bondeni km unaeleka spenko..niliibiwaga Kila kitu ndani nkaambiwa ntoe laki3 nirudishiwe fenicha zangu!!
 
Ni kweli nikikumbuka mauaji waliyofanya dhidi ya Yule kijana Kule Mtwara naumia Sana ,majitu yanaua na kupora sasa Yana tofauti gani na panya road ?
 
Kuna watu katika jamii wakishaharibika dawa ni kuwaondoa tu, na wazazi watakuwa serious
 
Kama wewe ni kijana pia nakusihi kwa hichi kipindi achana na makundi yasiyo na maana
 
Ufikiri kwanini hujakamatwa wewe au mwanao?
 
HILI LA KUUA PANYA ROaD SIO SAHIHI.. kila mtu asikilizwe na ahukumiwe na sheria mahakamani. Mtu akifa unaweza kumpa hatia yeyote hata kama aliuliwa kwa makosa...
Ile tume ya kuangalia Jeshi letu ifanye kazi kwa haraka..
Mama mkanye mwanao
 
Raisi wetu mpendwa Samia aingilie kati kuzuia huu unyama.

Haya Maturubali hapa TMK sio ya kawaida.

Au hii ni ile sera ya "shoot first ask questions later?"

Vijana wanaangamia Mayo! [emoji26]
wabakie hai watuue ?
 
wewe pia ni panya road , kuna vifo ving baada ya kile cha kawe havijtangazwa , vimesababishwa na panya road , mm mtaan kwenu huko wilaya ya temeke wameua watu watano , kwann wao wasiuliwe ,na kizur wanajulikana vzr tu
 
Upuuzi wangu ndio pona yako na Ndugu zako, who said tuwaache?? Mbona unajitoa akili dogo?? Au unapenda ligi??
akil zako sio za kuniita dogo , hujielew ,unaezaj sapoti panya road , au kwa vile hutangaziw kweny media wameua sana baada ya tukio la kawe licha ya kuambiwa waache uharifu , leo hii unatetea watu wa hv ? au na ww ni mwenzao ? kizur hawa watoto wanajulikana , mm naeza sema nimeishi maeneo ya vingungut , airport , nmefanya kaz yombo vituka , wilayan temeke na mbagala zakhiem , na nmeish chamaz pia , kwa miaka miwili baada ya JPM kufa hawa watoto walikuwa wanafanya matukio huko vingunguti , airport hadi kiwalan hadi yombo , wameua sana na kujeruhi watu sana hasa siku za sikukuuu , nmeshuhudia wahanga wa mapanga ya hawa wahuni, wanajulikana vzr tu ila ndo kuwataja watu walikuwa wanaogopa hata wiki iliyopita Rpc alienda chamaz saku ilulu akakaaa kikao na wananchi aliambiwa hao wahuni wanajulikana ila ukiwataja wanaenda polisi wanarud halaf ugomv unakuwa umeununua tyr , ndio maana sasa hv ukitambulika ww ni panya bas unalambishwa mchanga , halaf leo mtu unatetea waendelee kuwepo hai ? hiz ndo tabia za kimalaya Nyerere alikuwa anasema mnanunulika
 
Kwani kuna mtu amesema panya road ni wazuri? Panya road ni hatari sana lakini haiwezekani polisi ifanye mauaji ya kadamnasi kwa kisingizio cha kupambana na panya road. Historia inaonyesha watakaouawa wengi siyo wezi.
mtaje mtu mmoja kauliwa na una uhakika sio panya road , maana muda mwingine mnajitia uchiz tu
 
nyiny mnaounga mkono panya road kuachwa hai tuna mashaka na nyiny , polis kama mpo humu fanyeni tracing , kupitia hawa watu tunaeza gundua mtandao mpya
 
Ah kabisa....

Watoto hawasikiiii kuna watoto watukutu bila mkono wa chuma
Hawatuliiii
Eti umkamate ukimuweka ndani
Tu kesho kaachiwaaa

Ova
uko sahihi kabisa!
tena tunaliomba Jeshi letu la lisiwachekee wle wano hatarisha Amani na uslama wa nchi yetu.
dawa ya moto ni moto tuu, Raia wamechoshwa na hawa wahalifu wacheni watangulie maana hawafai kabisa kuishi hapa duniani na anaye tetea uhlifu huyo pia ni muhalifu.
 
Panya road walikuwa hawamwag damu ? tupo tunawafuatilia wote wanufaika wa huu uhuni mtalamba mchanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…