Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Sheria za nchi zinasemaje mtu akikutwa anavuta bangi? Auwawe?Kwanza unasema wanavuta bangi...bangi inaruhusiwa kuvutwa kwa sheria ipi?..hapo hapo unaomba procedure ifuatwe....procedure ipi kwa wavuta bangi.
Katika hili Mungu wabariki PT.
wanakulipa tsh ngap ? kutetea uhalif , je wanauliwa mida gan , mazingira gan ? vyote hujui umechukua kasentens kamoja ili upotoshe uma , hlf ndo nyiny mnasema aman ya dunia inachafuliwa na mabeberu kumbe nyiny mnawalea wahalifuSheria za nchi zinasemaje mtu akikutwa anavuta bangi? Auwawe?
Sawa
Hawa wwnaounga mkono kuuliwa Watanzania wenzao ipo siku nao watauliwa kwa sababu nyingine.Niliandika juzi nikajibiwa kashfa, hata wale waliouwawa wakasema ni Panya road hawakua panyaroad
Nilijibiwa kashfa mnooooo kwamba ninatetea wahuni ila najua Tanza-nia Polisi ndio wahuni zaidiHawa wwnaounga mkono kuuliwa Watanzania wenzao ipo siku nao watauliwa kwa sababu nyingine.
Yawezekana watakuwa wanadai haki au maslahi yao polisi watapita nao
Sawa kabisa ila siku Moja Polisi watatuua Tena na watatumia Sababu hizodah ukute upo kigoma upo hapa kupotosha watu , mm npo field naona najua , wanaouliwa asilimia kubwa ni wahusika au watu wa krb wa wahusika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mi kuna demu wangu anakaa buza aisee kanipnaga uko sa hv hakufai hata kwenda kumtembelea naona jau naskia wametangaziwa kma una ndugu yko hujamuona sku 3 na zaidi uende polisi au mochwari temek hosptaL au muhimbili
Ufumbuzi wa kudumu ni kupiga risasi tu wote wenye tabia za ujambazi, uwezi kuumiza na kuua watu then usubirie huruma, halali yako ni shaba ya kichwa tu!!Pole sana, bt kuua so Suluhu, JAMII na Serikali ,wazazi tukae kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa changamoto hizi.
Uaaaaa piga bulletMie. Nilihumia sana kale kadada ka kawe kalikouliwa yaaani dah katoto kazuri mithili ya kangekuwapo hapa kitandani nikikala nyapu , mara ghafla just 22 yrs kameuliwa kisa dah ,....... Hao wote uweni tuuu tena huweni aseeeeeeeee. Yaaaani type za panya road uweni tuuuu wala hakuna shida
sio kizembe hivo , mm nlikuwa maeneo husika nmekutana nao mara5 ila hawajawai hata nikunja , ww unaleta siasa na visasi kweny inshu za usalama , Libyia iliharibiwa na walibyia wenye upeo mfupi km wako , huko chamaz waliitwa kikao cha usalama na waliambiwa kila kitu juu ya hali ya usalama kwasasa na utaratibu wa kuimarisha usalama maeneo husika , usiku saa 7 mtu unakuwa unaenda wap wkt unajuwa kuna panya roada maeneo husika , unasimamishwa hlf hutak unakimbia au unaanza warushia mawe polisi , ss huyu mtu wa hv ndo unamtetea , kwa akil zako kuwa polisi km walitaka kumuua mtu wangeshindwa mpk wasubir skendo ya panyaroad , je mtu ambae ni panyaroad hana sifa zinazomuonesha kuwa ni panya road , demokrasia ulikuwa mtego wa kumpa uhuru mjinga kukwamisha mipango Iliyo juu ya akilI zao wajingaSawa kabisa ila siku Moja Polisi watatuua Tena na watatumia Sababu hizo
hahahaaaa mzee umeimis nyapu ?Mie. Nilihumia sana kale kadada ka kawe kalikouliwa yaaani dah katoto kazuri mithili ya kangekuwapo hapa kitandani nikikala nyapu , mara ghafla just 22 yrs kameuliwa kisa dah ,....... Hao wote uweni tuuu tena huweni aseeeeeeeee. Yaaaani type za panya road uweni tuuuu wala hakuna shida
dah,hao mbwa ni wakuua kabisawamemuua jamaa mmoja chamaz alikuwa anarud kulala wakamlazimsha awabebe kukimbia polisi jamaa akakataa wakampiga mapanga mpk kifo
Dahkwan nan hajui , jifunz kuuliza , huko chamaz tumekuwa tunasikia risas kila mara watoto wanawatunishia polis , polis wakifanya km unavyotaka wanakufa wao , saa 7 usk hata km ni kuvuta bangi ni uongo
Inasikitisha sanaHabari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.
Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.
Sasa polisi wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama. Misiba ni mingi mitaani, inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.
Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai. Upelelezi wa kutosha umefanyika? Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia. Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.
Rais Samia utakuwa na mwisho mbaya. Police wamegeuza Kitonga Dar kuwa machinjio ya binadamu. Hata familia zenu zina vijana wa hovyo, wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road. Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.
NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu, ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, huzuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda uswahilini Tandika na Buza ni huzuni.