Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

Hii nchi imefikia pabaya saana!! Bila hekima ya Kikwete na Mkapa taifa linakwenda shimoni..!!
 
Kama kiongozi wa chama oops Kampuni anafikiri nchi inaongozwa kama kampuni unafikiri itatokea nini?
 
Hii nchi imefikia pabaya saana!! Bila hekima ya Kikwete na Mkapa taifa linakwenda shimoni..!!
Kikwete au Mkapa kuna mmojawapo atakamatwa siku yoyote , jini limetoka kwenye chupa .
 
Nyie Chadema tafuteni "allies" nasikia vijana wako tayari kwa kazi
 
Chilemba wamela pamputi,
Huyo askari anayeongoza hao wengine anaonekana kuwa ni tutusa sana. Halafu wanapenda kutumia nguvu bila hata ya kufanya simple and quick assessment kama nguvu yao inajitosheleza,

Ona askari wote watatu walivyoshindwa kumuondoa hiyo bodyguard.
Nguvu ya askari ni pamoja na eneo la Diplomasia na Ushawishi. Wanashindwaje kutoa maelekezo kwa utulivu?
Askari wa Tanzania ni 0.
 
Back
Top Bottom