Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete au Mkapa kuna mmojawapo atakamatwa siku yoyote , jini limetoka kwenye chupa .Hii nchi imefikia pabaya saana!! Bila hekima ya Kikwete na Mkapa taifa linakwenda shimoni..!!
Aheri ungekuwa unakaa kimya uwe unasoma tu comments za wenye akili.Acha uchochezi mbowe nani amuue analipi kwa sasa chama kimeshakufa hana sumu tena
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Askari wa Tanzania ni 0.Chilemba wamela pamputi,
Huyo askari anayeongoza hao wengine anaonekana kuwa ni tutusa sana. Halafu wanapenda kutumia nguvu bila hata ya kufanya simple and quick assessment kama nguvu yao inajitosheleza,
Ona askari wote watatu walivyoshindwa kumuondoa hiyo bodyguard.
Nguvu ya askari ni pamoja na eneo la Diplomasia na Ushawishi. Wanashindwaje kutoa maelekezo kwa utulivu?