KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Salama mtasalimiwa na Refa.
Japo lawama zote zinaenda kwa refa na jopo lake lkn mimi nadhan tunapaswa pia kuwalaumu wachezaji wa yanga.Tujiulize;
1. Kwanini hawakukusanyika kwa referee na kumtaka akaangalie VAR?
2. Je walikosa uzoefu wa mashindano?Hawaoni hata wachezaji wenzao huko ULAYA ikitokea utata wa goli?
3. Wachezaji wa kimataifa nao walikosa uzoefu huo wa kumforce mwamzi?Pata picha angekuwepo mwehu MORRISON.
4. Hawakupata training namna ya kudeal na situations tata kama hizo?
Binafsi nilishangaa sana unyonge waliokuwa nao wachezaji wa Yanga wakati refa anasikiliza na kuamua lile siyo goli.