Kama mechi imepangwa, hata kama wangemlilia referee, isingesaidia. Referee huenda kuangalia VAR pale anapokuwa na wasiwasi na majibu ya VAR assistant officers. Kwahiyo Jana referee hakuona tatizo kutoka kwa wenzake, na ukisema umshinikize, unapigwa kadi. All in all tayari uongozi wa Yanga umechukua hatua. Wapo watu wanakejeli uamzi huo lakini baadae Africa na Dunia itafurahi kuona haki ikitendeka hata kama siyo kwa yanga. Hata viongozi wetu, wazee wetu walipoanza kidai uhuru wa nchi zao, wapo baadhi waliwakejeli kwasababu waliona kabisa ni kujitafutia kifo mwenyewe, lakini kwa movements zile, Leo tupo huru. Kudos uongozi wa Yanga 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏