Unyonge wa Wachezaji wa Yanga ndo umefanya timu kukosa nusu fainali

Unyonge wa Wachezaji wa Yanga ndo umefanya timu kukosa nusu fainali

Ukweli usemwe yanga sasa hivi ni mjadala mkubwa Sana na si ajabu timu yetu itapoteza wachezaji wengi Sana msimu ujao Kwa kuwauza.
Hawa wasioujua kupiga penalt. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una hoja usipuuzwe mkuu, wachezaji walipaswa wamuandame refa akaangalie mwenyewe. Lile goli limeniumiza sana.
 
Wachezaji wetu bado sana kwenye hizi hatua wanaamini kwenye kucheza tu mpira hawana mbinu mbadala.
Nadhani hawakuweza kutafsiri figisu nI changamoto ambayo jamii inapaswa kujifunza namna ya kuitafutia ufumbuzi,(adaptation skills),kutokuhoji nI tatizo ambalo linaanaza kwenye ngazi ya familia ambapo kuna vitu huwezi kuhoji utaambiwa uondoke ukajitegemee ama uende burundi, humu tunavyojadili kunawengine wanatuona tuwajinga, kumbe humu ni chimbuko la mawazo ya kutatua matatizo yetu na kwenye jamii zetu wengine kwakisoma tu Haya tunayoyajadili wanapata PhD
 
Nadhani hawakuweza kutafsiri figisu nI changamoto ambayo jamii inapaswa kujifunza namna ya kuitafutia ufumbuzi,(adaptation skills),kutokuhoji nI tatizo ambalo linaanaza kwenye ngazi ya familia ambapo kuna vitu huwezi kuhoji utaambiwa uondoke ukajitegemee ama uende burundi, humu tunavyojadili kunawengine wanatuona tuwajinga, kumbe humu ni chimbuko la mawazo ya kutatua matatizo yetu na kwenye jamii zetu wengine kwakisoma tu Haya tunayoyajadili wanapata PhD
Upo sahihi kiongozi
 
Kama mechi imepangwa, hata kama wangemlilia referee, isingesaidia. Referee huenda kuangalia VAR pale anapokuwa na wasiwasi na majibu ya VAR assistant officers. Kwahiyo Jana referee hakuona tatizo kutoka kwa wenzake, na ukisema umshinikize, unapigwa kadi. All in all tayari uongozi wa Yanga umechukua hatua. Wapo watu wanakejeli uamzi huo lakini baadae Africa na Dunia itafurahi kuona haki ikitendeka hata kama siyo kwa yanga. Hata viongozi wetu, wazee wetu walipoanza kidai uhuru wa nchi zao, wapo baadhi waliwakejeli kwasababu waliona kabisa ni kujitafutia kifo mwenyewe, lakini kwa movements zile, Leo tupo huru. Kudos uongozi wa Yanga [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Wangegoma kurudi uwanjani mpka refa akaangalie VAR
 
Salama mtasalimiwa na Refa.
Japo lawama zote zinaenda kwa refa na jopo lake lkn mimi nadhan tunapaswa pia kuwalaumu wachezaji wa yanga.Tujiulize;

1. Kwanini hawakukusanyika kwa referee na kumtaka akaangalie VAR?

2. Je walikosa uzoefu wa mashindano?Hawaoni hata wachezaji wenzao huko ULAYA ikitokea utata wa goli?

3. Wachezaji wa kimataifa nao walikosa uzoefu huo wa kumforce mwamzi?Pata picha angekuwepo mwehu MORRISON.

4. Hawakupata training namna ya kudeal na situations tata kama hizo?

Binafsi nilishangaa sana unyonge waliokuwa nao wachezaji wa Yanga wakati refa anasikiliza na kuamua lile siyo goli.
Captain alimfuata ila nahisi Captain lugha ya Malkia inampiga chenga
Tatizo ndio hapo
 
Kama mechi imepangwa, hata kama wangemlilia referee, isingesaidia. Referee huenda kuangalia VAR pale anapokuwa na wasiwasi na majibu ya VAR assistant officers. Kwahiyo Jana referee hakuona tatizo kutoka kwa wenzake, na ukisema umshinikize, unapigwa kadi. All in all tayari uongozi wa Yanga umechukua hatua. Wapo watu wanakejeli uamzi huo lakini baadae Africa na Dunia itafurahi kuona haki ikitendeka hata kama siyo kwa yanga. Hata viongozi wetu, wazee wetu walipoanza kidai uhuru wa nchi zao, wapo baadhi waliwakejeli kwasababu waliona kabisa ni kujitafutia kifo mwenyewe, lakini kwa movements zile, Leo tupo huru. Kudos uongozi wa Yanga 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mamelodi nao wakachukua mpira na kuendelea kucheza as if hamna kilichotokea,mind game inatakiwa sana ili refa ahakikishe goli,Aziz K anashangilia wao wanaangalia tu
 
Back
Top Bottom