Siyo hivyo tu ilitakiwa wamkomalie refa aende akaangalie VAR ya mchongoSalama mtasalimiwa na Refa.
Japo lawama zote zinaenda kwa refa na jopo lake lkn mimi nadhan tunapaswa pia kuwalaumu wachezaji wa yanga.Tujiulize...
Wachezaji wetu bado sana kwenye hizi hatua wanaamini kwenye kucheza tu mpira hawana mbinu mbadala.Hata mi nimewaza hilo ilibidi wagome kuendelea kucheza mpaka goli liangaliwe,masandawana hawakuwa na namna make ingekuwa goli basi walishahesabu loss.
wewe hujui mpira nyamaza,unamzonga refa ili upigwe kadiSalama mtasalimiwa na Refa.
Japo lawama zote zinaenda kwa refa na jopo lake lkn mimi nadhan tunapaswa pia kuwalaumu wachezaji wa yanga.Tujiulize;
1. Kwanini hawakukusanyika kwa referee na kumtaka akaangalie VAR?
2. Je walikosa uzoefu wa mashindano?Hawaoni hata wachezaji wenzao huko ULAYA ikitokea utata wa goli?
3. Wachezaji wa kimataifa nao walikosa uzoefu huo wa kumforce mwamzi?Pata picha angekuwepo mwehu MORRISON.
4. Hawakupata training namna ya kudeal na situations tata kama hizo?
Binafsi nilishangaa sana unyonge waliokuwa nao wachezaji wa Yanga wakati refa anasikiliza na kuamua lile siyo goli.
Hii hata mm nilishangaa. Nii ilionekana kama Aziz Ki ni muongo na mwehu maana hata wahusika wenyewe hawakubaliani na goli maana hata benchi nje walinaki kimya tu badala ya kushangilia kuweka pressure huku wakimzonga refa. Kadi kitu gani wangepambana mbona waarabu eao inawezekana.Aziz alikimbia huku akishangilia huku kina Jonas na Bakari wanashangaa, wakati walipaswa wote kwenda kushangilia kwa pamoja ili kuingiza sintofahamu kwa mwamuzi
Yanga wamepata heshima kubwa zaidi barani afrika baada ya kuporwa goli zaidi ya vile ambavyo wangeendelea nusu fainali. Afrika nzima gumzo sasaivi ni Yanga kuwazuia sundown kuwafunga mara zote mbili na kwamba walitengeneza nafasi nyingi zaidi za kufunga na ile kuporwa goli, africa nzima wapo upande wa yanga na imejitangaza zaidi ya ambavyo ingejitangaza kama ingeendelea. hivyo msiumie sana, kupata au kukosa kote kwa usawa au kwa kuporwa kuna neema yake. Hata ndani ya south africa kwenyewe kumejaa gumzo la yanga tupu na goli lao.Salama mtasalimiwa na Refa.
Japo lawama zote zinaenda kwa refa na jopo lake lkn mimi nadhan tunapaswa pia kuwalaumu wachezaji wa yanga.Tujiulize;
1. Kwanini hawakukusanyika kwa referee na kumtaka akaangalie VAR?
2. Je walikosa uzoefu wa mashindano?Hawaoni hata wachezaji wenzao huko ULAYA ikitokea utata wa goli?
3. Wachezaji wa kimataifa nao walikosa uzoefu huo wa kumforce mwamzi?Pata picha angekuwepo mwehu MORRISON.
4. Hawakupata training namna ya kudeal na situations tata kama hizo?
Binafsi nilishangaa sana unyonge waliokuwa nao wachezaji wa Yanga wakati refa anasikiliza na kuamua lile siyo goli.
Kila mahali huwa kunakuwa na case study ya kwanza, labda wao ndio ingekuwa ya kwanzaWw ndo hujui kitu.Nipe case study ya wachezaji wote kupigwa kadi
Ingekuwa vizuri wapigwe wotewewe hujui mpira nyamaza,unamzonga refa ili upigwe kadi