Unyonge wa Wachezaji wa Yanga ndo umefanya timu kukosa nusu fainali

Kwani wewe hujui kwamba Tanzania ni ya wanyonge? Unadhani utaoewa huruma kwenye competition 😁😁😁

Ndio utaelewa sasa kwamba unyonge ni upumbavu
 
Maelezo ya kijinga.Barua zitakusaidia nini?
 
Aziz alikimbia huku akishangilia huku kina Jonas na Bakari wanashangaa, wakati walipaswa wote kwenda kushangilia kwa pamoja ili kuingiza sintofahamu kwa mwamuzi
Acheni upotoshaji utadhani Mechi ilichezwa gizani. Nakuwekea picha hapa, Mwamnyeto, Mkude na Max wakimshinikiza refa aende kwenye VAR huku Mudau akipinga.
 
hapa umesema ni dunia nzima inataka kuijua yanga kwa sasa
 
hapa umesema ni dunia nzima inataka kuijua yanga kwa sasa
Ukweli usemwe yanga sasa hivi ni mjadala mkubwa Sana na si ajabu timu yetu itapoteza wachezaji wengi Sana msimu ujao Kwa kuwauza.
 
Wachezaji wa Yanga wakiliona hili bandiko wataconclude ule msemo wa mzungu kuhusu wenye akili hapo utopoloni
 
KUKOSA UZOEFU.
 
Kapteni Mwamnyeto unategemea nini?Yule jamaa rojorojo sana sidhani kama wenzake kama hawa M Pdd.!!
 
Aziz alikimbia huku akishangilia huku kina Jonas na Bakari wanashangaa, wakati walipaswa wote kwenda kushangilia kwa pamoja ili kuingiza sintofahamu kwa mwamuzi
Reaction ya kina Mwamnyeto ni kama Yanga ndo ilikuwa imefungwa goli la kushtukiza. Au walihisi Aziz Ki kajifunga? Waliniudhi sana
 
Nadhani tatizo la hii issue siyo VAR bali ukosekanaji wa GLT (Goal Line Technology), teknolojia ya mstari wa goli kwa msaada wa kamera, hiyo ndiyo iliyomfanya hata muamuzi kutokwenda kuangalia VAR. Nina uhakika mfumo wa GLT utatumika sambamba na VAR kwenye mechi zijazo.
 
Yani pale kocha Gamondi angemzonga mwamuzi mpaka apewe kadi
 
Usiwalaumu wachezaji 97% wachezaji wa NYUMA MWIKO FC English ni zero..
Wangeongea lugha gani?
 
Aziz alikimbia huku akishangilia huku kina Jonas na Bakari wanashangaa, wakati walipaswa wote kwenda kushangilia kwa pamoja ili kuingiza sintofahamu kwa mwamuzi
[emoji23][emoji23][emoji23] yule refa unamjua au unamsikia? Mbona angewafurahishaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…