Unyonge wa Wachezaji wa Yanga ndo umefanya timu kukosa nusu fainali

Ukweli usemwe yanga sasa hivi ni mjadala mkubwa Sana na si ajabu timu yetu itapoteza wachezaji wengi Sana msimu ujao Kwa kuwauza.
Hawa wasioujua kupiga penalt. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una hoja usipuuzwe mkuu, wachezaji walipaswa wamuandame refa akaangalie mwenyewe. Lile goli limeniumiza sana.
 
Wachezaji wetu bado sana kwenye hizi hatua wanaamini kwenye kucheza tu mpira hawana mbinu mbadala.
Nadhani hawakuweza kutafsiri figisu nI changamoto ambayo jamii inapaswa kujifunza namna ya kuitafutia ufumbuzi,(adaptation skills),kutokuhoji nI tatizo ambalo linaanaza kwenye ngazi ya familia ambapo kuna vitu huwezi kuhoji utaambiwa uondoke ukajitegemee ama uende burundi, humu tunavyojadili kunawengine wanatuona tuwajinga, kumbe humu ni chimbuko la mawazo ya kutatua matatizo yetu na kwenye jamii zetu wengine kwakisoma tu Haya tunayoyajadili wanapata PhD
 
Upo sahihi kiongozi
 
Wangegoma kurudi uwanjani mpka refa akaangalie VAR
 
Captain alimfuata ila nahisi Captain lugha ya Malkia inampiga chenga
Tatizo ndio hapo
 
Captain alimfuata ila nahisi Captain lugha ya Malkia inampiga chenga
Tatizo ndio hapo
Hahaha game kama hizo unahodha apewe anayejua lugha
 
Mamelodi nao wakachukua mpira na kuendelea kucheza as if hamna kilichotokea,mind game inatakiwa sana ili refa ahakikishe goli,Aziz K anashangilia wao wanaangalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…