Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana

Bora hizi pombe zipigwe marufuku kwa kweli kwa faida ya kizazi kijacho
 
Uzoefu:
Vijana wengi hivi sasa wana misongo mikali sana ya mawazo. Wanapopata kilevi wanaona wanapata relief fulani hivi. It is true, kilevi kinaleta relief lakini kikitumiwa katika njia ipaswayo.
 
Ipo "dengerua" niliinywa pale Dangsi - Tengeru Ilinilaza kwenye shamba la mikahawa usiku kucha inkazinduka alfajiri. Siwezi inkasahau jamani.
Pale Sang'si bwana sio Dang'si ile mitaa ukipanda naile barabara ya vumbi juu kidogo pale hapafai ipo kila kitu hadi wanzuki
 
Bora hizi pombe zipigwe marufuku kwa kweli kwa faida ya kizazi kijacho
Serikali inapata kodi , pia washaona wanapata pesa nyingi suala la kizazi kijacho waafrika wachache sana wanajali kuhusu yajayo [emoji3][emoji3] Tuko selfish sana .
 
Hiyo Pombe ipo mikoa mingi tu hata isiyolima ndizi ila huko kwingine wala haifungashwi bali inanywea vichochoroni tu.
 
Uzoefu:
Vijana wengi hivi sasa wana misongo mikali sana ya mawazo. Wanapopata kilevi wanaona wanapata relief fulani hivi. It is true, kilevi kinaleta relief lakini kikitumiwa katika njia ipaswayo.
CCM hio.
 
Wanywaji wa hii pombe wengi wao hawataki hata wengine wajue wanainywa, maana wanaona aibu sijui kwanini maana mara nyingi huwekewa kwenye vikombe
Kuna dogo alijaribu na mwenzake.
Yaani walilewa huku wanacheka cheka.
Na kutembea hawawezi.kila wakitaka kusimama wanaanguka tena banana 1 tu
 
Na hicho ndicho kilichomkausha dogo mmoja pale bunju b.kanywa double Kiki alafu hajala.
Simsemi marehemu vibaya.ila natoa fundisho tu.kuwa pombe hazifai.
Kuna dogo mwingine alikunywa double kick anakwambia joto usiku mzma hajalala na feni lipo.mara alale sebuleni,Mara akalale jikoni anahangaika tu
 
Ipo "dengerua" niliinywa pale Dangsi - Tengeru Ilinilaza kwenye shamba la mikahawa usiku kucha inkazinduka alfajiri. Siwezi inkasahau jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…