Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana

Zimawekwa na makemiko huko na wala hazina hata expire date. Inaonekana hata hizo asilimia zilizoandikwa kwa nje ni za uongo maana wanywaji ukiwaona wanatia huruma sana, kundi kubwa la vijana limeangukia huko
Tatizo siyo hizo pombe. Tatizo kubwa ni "Addiction" ya Alcoholism waliyonayo.

Hizo pombe ni very addictive.

Mtu akiwa na 1,000 anaona ni bora anunue "Poa", Knockout au Banana mbili kuliko kununua Eagle bia moja.

Tena siyo hilo tu, wengi pia wanananua na "Spirits" za kupima kama Konyagi, Kvant, Kiwingu.

Na kibaya zaidi vijana wa huku mipakani hasa wilaya za Rombo, Moshi ( V) wanatafuna sana Mixer Mirungi, na bange.

Akiwa Alosto wizi nje nje, ili mradi akapate pombe.
 
Ukiinywa hii pombe then ukaenda chooni hio harufu utakayoiacha hapo ni balaa [emoji1787][emoji1787],na asubuhi mdomo kunuka
 
Unajua tunaweza kuwacheka lakini mtu akishaingia kwenye tatizo la alcohol addiction kujiondoa mwenyewe ni ngumu sana. Hakuna tofauti na dawa za kulevya. Zinahitajika juhudi za ziada kuondoa hili tatizo. Ila tatizo limeanza baada ya serikali kuruhusu utengengezaji na usambazaji holela wa pombe bila usimamizi mzuri. Cha kwanza kabisa inatakiwa hili tatizo (la utengenezaji na usambazaji holela) liondolewe ili kuokoa wahanga wapya. Hao amabao tayari wamekubuhu inatakiwa wapate ushauri na huduma za kitaalam ili kuondoka huko.
 
Hizi banana Huwa ni tamu Sana..utamu wa ndizi...ukiweza kumaliza 5 wew una capacity Sana...


Yaan unaweza ukazinywa leo usiku 3, ukalewa leo na kesho siku nzima ukawa umelewa ni pombe Moja hatare Sana ila Ina radha tamuu

Yes wanasema alcohol yake ni 10...who know inategemea na mkono wa mpishi....ni kilevi kimoja hatari sana kwa vijana na Taifa....

Cc.pierre liquid
 
Hebu tuwalinganishe walevi wa banana na wavuta bange wapi wapo vizuri!!
 
Hichi kinywaji Mimi nimetumia ila sijaona Kama kina alcohol 10% nazani itakuwa ni chini ya 5%
 
Ulikunywa wanzuki.
Banana wine habari nyingine hata mnazi Ni wine lakini haifikii banana wine.
Hiyo wanzuki nazani unazungumzia kitu kingine Mimi nimekunywa pombe hii banana wine chupa Kama hiyo aliyoipost kwenye uzi huu inauzwa shilingi 500 Kuna dada alikuwa anafungua taratibu sana ukikosea kufungua inagesi sana inamwagika nilikunywa chupa tano hazina hiyo alcohol 10 kama nilivyosikia hapa baada ya hapo nilitoka nikiwa bado empty nikaenda kujibust na konyagi ya kupima
 
Haina lolote hyo pombe ya kawaida sana kitu bia ya bingwa ukipiga zaidi ya 5 wewe n mwanaume.
 
"Ukinywa banana unaamka unanuka mavi." Alisikika mdau mmoja.
 
Mimi banana a.k.a naksi naweza piga mpaka name per day nikiwa nimekula mchemsho wangu wa ndizi na mbuzi nakalisha mpaka kumi
Asubuhi Niko fresh naingia mzigoni mwaka wa kumi huu sijaona madhara yoyote nazalisha watoto mpaka pesa!
Pombe yeyote ile ina madhara endapo hautazingatia mlo mzuri na kujishughulisha

Tena mtu akiniwekea naksi na pombe yoyote ya gharama nachagua banana Ina stimu tamu Sana!
Ila vijana wengi wanaokunywa bila kula msosi wa maana ndio maana inawakausha
 
"Ukinywa banana unaamka unanuka mavi." Alisikika mdau mmoja.
Mkuu. Mnazi ndio unaharibu harufu ya choo.
Enzi hizo tunapanga vyumba vyoo vilikua kule uani. Mnywaji wa mnazi akikutangulia kuingia chooni inabidi upigie mswaki nje na mavi yako uende nayo Hadi vyoo vya kazini.
 
😂😂
Nimekumbuka mbali aisee
 
Banana au pombe ya kijani ni mpango wa kijasusi kuwamaliza wanaume wa rombo taratibu
 
Siku hizi kuna aina nyingi za pombe na nyingi hazina chapa ya tbs, kuna Moja ilikuwa inaitwa machozi ya simba sijui bado ipo au lah, maana hiyo ilikuwa zaidi ya gongo
Alafu Kuna don bongo hii ukinywa inabidi uwe na mbususu pembeni[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…