wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ukilinywa kwa muda mrefu huwa linatoa kakitambi na Nywele zinakuwa laini.
Hahahah kale kakitambi kanakuaga ni ka figo kuvimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukilinywa kwa muda mrefu huwa linatoa kakitambi na Nywele zinakuwa laini.
Tatizo siyo hizo pombe. Tatizo kubwa ni "Addiction" ya Alcoholism waliyonayo.Zimawekwa na makemiko huko na wala hazina hata expire date. Inaonekana hata hizo asilimia zilizoandikwa kwa nje ni za uongo maana wanywaji ukiwaona wanatia huruma sana, kundi kubwa la vijana limeangukia huko
Unajua tunaweza kuwacheka lakini mtu akishaingia kwenye tatizo la alcohol addiction kujiondoa mwenyewe ni ngumu sana. Hakuna tofauti na dawa za kulevya. Zinahitajika juhudi za ziada kuondoa hili tatizo. Ila tatizo limeanza baada ya serikali kuruhusu utengengezaji na usambazaji holela wa pombe bila usimamizi mzuri. Cha kwanza kabisa inatakiwa hili tatizo (la utengenezaji na usambazaji holela) liondolewe ili kuokoa wahanga wapya. Hao amabao tayari wamekubuhu inatakiwa wapate ushauri na huduma za kitaalam ili kuondoka huko.Tatizo siyo hizo pombe. Tatizo kubwa ni "Addiction" ya Alcoholism waliyonayo.
Hizo pombe ni very addictive.
Mtu akiwa na 1,000 anaona ni bora anunue "Poa", Knockout au Banana mbili kuliko kununua Eagle bia moja.
Tena siyo hilo tu, wengi pia wanananua na "Spirits" za kupima kama Konyagi, Kvant, Kiwingu.
Na kibaya zaidi vijana wa huku mipakani hasa wilaya za Rombo, Moshi ( V) wanatafuna sana Mixer Mirungi, na bange.
Akiwa Alosto wizi nje nje, ili mradi akapate pombe.
Hizi banana Huwa ni tamu Sana..utamu wa ndizi...ukiweza kumaliza 5 wew una capacity Sana...Pombe hii ina kiwango cha kilevi asilimia kumi(10%)tu lakini wanywaji wa pombe hii ukiwaona hata kwa macho utajua tu huyu ni wa banana.
Pombe hii imekuwa ikiuzwa kwa bei rahisi tu ya sh 500 ndo mana vijana wengi wanaweza kumudu kuinunua,lakini ulevi wake sio wa kawaida kwani vijana wengi wanaotumia pombe hizo miili yao imechoka choka muda wote na haina nguvu kabisa kwenye kufanya kazi ngumu,.
Idadi kubwa ya wanywa banana hawaoi na haijulikani kwanini.
View attachment 2013026
Wengi wanywaji wa pombe hii ngozi zao zimefifia sana, na kukosa nuru kutokana na kunywa asubuhi hadi usiku
Maduka karibu yote mtaani pamoja na grocery zote zilizopo Arusha na moshi huwezi kosa hii pombe.
Serikali Ipitie upya ubora wa hivi vinywaji vinavyozalishwa nchini na nyingi hazina viwango.
Hebu tuwalinganishe walevi wa banana na wavuta bange wapi wapo vizuri!!Pombe hii ina kiwango cha kilevi asilimia kumi(10%)tu lakini wanywaji wa pombe hii ukiwaona hata kwa macho utajua tu huyu ni wa banana.
Pombe hii imekuwa ikiuzwa kwa bei rahisi tu ya sh 500 ndo mana vijana wengi wanaweza kumudu kuinunua,lakini ulevi wake sio wa kawaida kwani vijana wengi wanaotumia pombe hizo miili yao imechoka choka muda wote na haina nguvu kabisa kwenye kufanya kazi ngumu,.
Idadi kubwa ya wanywa banana hawaoi na haijulikani kwanini.
View attachment 2013026
Wengi wanywaji wa pombe hii ngozi zao zimefifia sana, na kukosa nuru kutokana na kunywa asubuhi hadi usiku
Maduka karibu yote mtaani pamoja na grocery zote zilizopo Arusha na moshi huwezi kosa hii pombe.
Serikali Ipitie upya ubora wa hivi vinywaji vinavyozalishwa nchini na nyingi hazina viwango.
Kumbe hii kinywaji ni ya long time, na sio kama mbegeNiliinywa kwa Mara ya kwanza na ya mwisho 1991 pale Ubungo opposite na ofisi za TBS karibu na daraja.
Sitarudia tena
Hichi kinywaji Mimi nimetumia ila sijaona Kama kina alcohol 10% nazani itakuwa ni chini ya 5%Hizi banana Huwa ni tamu Sana..utamu wa ndizi...ukiweza kumaliza 5 wew una capacity Sana...
Yaan unaweza ukazinywa leo usiku 3, ukalewa leo na kesho siku nzima ukawa umelewa ni pombe Moja hatare Sana ila Ina radha tamuu
Yes wanasema alcohol yake ni 10...who know inategemea na mkono wa mpishi....ni kilevi kimoja hatari sana kwa vijana na Taifa....
Cc.pierre liquid
Mkuu banana ni kali Sana Tena siku zinavyo zidi ndio ukali unaongezekaaa....ukimaliza 5 kwa mkupuo wew mwanaumeHichi kinywaji Mimi nimetumia ila sijaona Kama kina alcohol 10% nazani itakuwa ni chini ya 5%
Ulikunywa wanzuki.Hichi kinywaji Mimi nimetumia ila sijaona Kama kina alcohol 10% nazani itakuwa ni chini ya 5%
Hiyo wanzuki nazani unazungumzia kitu kingine Mimi nimekunywa pombe hii banana wine chupa Kama hiyo aliyoipost kwenye uzi huu inauzwa shilingi 500 Kuna dada alikuwa anafungua taratibu sana ukikosea kufungua inagesi sana inamwagika nilikunywa chupa tano hazina hiyo alcohol 10 kama nilivyosikia hapa baada ya hapo nilitoka nikiwa bado empty nikaenda kujibust na konyagi ya kupimaUlikunywa wanzuki.
Banana wine habari nyingine hata mnazi Ni wine lakini haifikii banana wine.
Haina lolote hyo pombe ya kawaida sana kitu bia ya bingwa ukipiga zaidi ya 5 wewe n mwanaume.Hiyo wanzuki nazani unazungumzia kitu kingine Mimi nimekunywa pombe hii banana wine chupa Kama hiyo aliyoipost kwenye uzi huu inauzwa shilingi 500 Kuna dada alikuwa anafungua taratibu sana ukikosea kufungua inagesi sana inamwagika nilikunywa chupa tano hazina hiyo alcohol 10 kama nilivyosikia hapa baada ya hapo nilitoka nikiwa bado empty nikaenda kujibust na konyagi ya kupima
Mkuu. Mnazi ndio unaharibu harufu ya choo."Ukinywa banana unaamka unanuka mavi." Alisikika mdau mmoja.
Alafu Kuna don bongo hii ukinywa inabidi uwe na mbususu pembeni[emoji3]Siku hizi kuna aina nyingi za pombe na nyingi hazina chapa ya tbs, kuna Moja ilikuwa inaitwa machozi ya simba sijui bado ipo au lah, maana hiyo ilikuwa zaidi ya gongo
Serengeti sipendi ladha yake ila wametoa spirit inaitwa don bongo iyo ni zaidi ya mkuyati.....!!!Beer tamu wewe. Ila avoid Serengeti Kama una girl friend au mke.
Kwann serengeti imefanyaje?Beer tamu wewe. Ila avoid Serengeti Kama una girl friend au mke.