Unywaji wa vinywaji hivi nini matokeo yake miaka 10 ijayo?

Inaweza kuwa ni kweli!...lakini ni chakula gani sasa iv kiko salama?matunda na mboga za majani zinapigwa sumu mpaka zinachanganyikiwa,nafaka zinahifadhiwa kwa sumu,sasa wapi tutaponea?tunakunywa soda kwa sababu ni afordable+upatikanaji wake hauna kona kona!...MBELE KWA MBELE DEREVE KANYAGA WESE
 
Sababu kubwa ni ufinyu wa uelewa elimu lishe. Miaka ya nyuma nikiwa kijana mdogo na mwenye uelewa finyu juu ya elimu lishe nilikuwa nawashangaa sana marafiki zangu wazungu ambao mkienda kugonga bia jamaa zangu hao unakuta wanakunywa bia moja au ikizidi sana mbili. Wakikuona unakunywa redbull ya kopo miaka hiyo wanakushangaa. Baadae ndiyo nikagundua umuhimu wa kuwa makini kwa kila unachotia tumboni, kama unataka kupunguza safari za kwenda hospitalini. Jamii zetu kiukweli zina shida kubwa sana kwenye kudhibiti ulaji na unywaji. Unakuta kijana anapiga MO energy 4 tena anapiga mix na konyagi au vile vi smart gin daaah...
 
Za kijiweni eti yule mkata umeme wa hospitali kubwa hali chochote zaidi ya matunda na mboga. huu ni unyama sana ila mimi ningeweza mana napenda sana mboga mboga
Decoded CEO wa MNH, Janabi
 
Soda nimekunywa toka nikiwa na miaka 2 hadi leo.

Spirits ndo mbaya, soda hazina tatizo
 
Wenye viwanda wanaweka kemikali za kujenga dependency
 
Mteja mtarajiwa wa Mloganzila huyo, juzi juzi tuu nimeuguza ndugu yangu kwa matatizo ya ini na Figo, akafanyiwa dialysis kwa gharama kubwa sana but still Mungu akampenda zaidi. Nikapata muda wa kujifunza kuhusu hili tatizo la Figo aiseeee kumbe mgonjwa kabla ya kufanyiwa hiyo dialysis anachanganyikiwa na kuongea kama amedata kabisa, baadae jinsi wanavyomsafisha Figo hiyo hali inapotea.
 
Inaitwa...wajaze hofu na mwisho wauzie suluhisho
 
Hata kama kwa sasa ni zaidi ila miaka 10 ijayo itakuwa zaidi maana hizo pombe kali zinamaliza vijana
Hizo pombe kali zinaizidi gongo
Haya nambie gongo imekuwepo kwa miaka mingapi
 
iyo coca ya mililita 350, ina sukari zaidi ya vijiko 7(suger) samr time unakula chapati nne (sugar) ilipikiwa mafuta ambayo hayajasafishwa(saturated fatty,fat=^sugar unakunya supu ya kongoro ngo'mbe amekuwa kwa booster, huyo msopo wote ni uchafu plus supu ime ongezwa maji machafu ya duwasa muda si mrefu unakunywa wadudu, wajitaidi waweka chlorine nayo inaharibu pinel gland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…