Unywaji wa vinywaji hivi nini matokeo yake miaka 10 ijayo?

Hakuna tunachokula kilicho salama kwa sasa mkuu, hizo mbogamboga tu zina chemicals za kutosha. Ukisema tuache kula na kunywa chemicals labda wote turudi shamba tukalime wenyewe kwa mbolea ya mboji/samadi.
Punguza ubishi jombaa mchicha, mnafu, spinach au tembele hata kama vina chemicals huwezi kuzilinganisha na energy drinks. Mbogamboga kwanza zina fibers ambazo ni muhimu sana, achilia mbali vitamins.
 
Acha uongo wewe chukua coca kunywa afu chukua na chai yenye vijiko 7 unywe ka utainywa
 
Unaona hiyo?? Janga kubwa sana mkuu..
 
Ndo maana nasema watanzania wauza mti shamba wata watapeli sana ona hili
 
Tukinywa na kula kwa kiasi haina matatizo kabisa. Tatizo watu hata bia anataka ajisifu kafuta kreti zima. Kwa mfano ukanywa coka moja leo na kesho ukanywa azam energy moja sio mbaya. Tatizo watu wanafakamia kila kitu siku hiyohiyo. Kuna watu unakuta anafuta chupa nzima ya chai peke yake. Wengine utakuta kashashiba zake ugali lakini akionyeshwa kuku afakamia bila kujali. TUACHE TAMAA
 
Bia ni bora kuliko soda
ova
 
Wewe usinywe Hayo maeneji na masoda yao,,,lakini utadedi tuu hata kwa ajali au kuliwa nyama na wale simba waliomuua babu junior!!
 
Punguza makasiriko dogo!!kwani akifa kwa changamoto za kiafya wewe inakuhusu na kukuuma nini??mbona watz tunapenda kupangiana maisha,,,Wewe jali ya kwako ya watu yatakupotezea mda wako bure na wala hayatakusaidia lolote,,,tunaomba uwe mtulivu dogo!!###NyokooMbiliWewe###
 
Hakuna shida kwa wanaofanya kazi juani na kunywa soda hata 6. Kwasabb. Sukari yote inatumika wakati wa kufanya hiyo kazi ya juani.

Ishu ni wale wanaokunywa hata soda moja kwa wiki lkn sukari haifanyiwi kazi yoyote, badala yake inarundikana mwilini
 
Safi mkuu umeandika point na si ushabiki
 
Ninamfhamu mama mmoja,yeye alikuja kupata kisukari,ila ktk mazungunzo naye alikiri kuwa kabla ya hapo siku ilikuwa haipiti bila ya soda mbili au tatu...
 
Hakuna shida kwa wanaofanya kazi juani na kunywa soda hata 6. Kwasabb. Sukari yote inatumika wakati wa kufanya hiyo kazi ya juani.

Ishu ni wale wanaokunywa hata soda moja kwa wiki lkn sukari haifanyiwi kazi yoyote, badala yake inarundika a mwilini
Wewe ndo unaelewa hongera sana
 
Hakuna shida kwa wanaofanya kazi juani na kunywa soda hata 6. Kwasabb. Sukari yote inatumika wakati wa kufanya hiyo kazi ya juani.

Ishu ni wale wanaokunywa hata soda moja kwa wiki lkn sukari haifanyiwi kazi yoyote, badala yake inarundika a mwilini
Mh hapa unaingiza watu chaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…