[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mkuu,
Walikimbia nchi kwa sababu ya Magufuli; mwaka wa pili sasa tangu afariki ila hawajarudi.
Walipiga kelele Magufuli ni dikteta kwa kuwa aliwazuia kufanya mikitano ya kisiasa nje ya maeneo waliyoshinda; mwaka wa pili sasa tangu afariki, mikutano ya kisiasa haijaruhusiwa na hatusikii kelele za serikali ya kidikteta, n.k.
Hii nchi hatuna chama cha upinzani cha kizalendo, tuna magenge ya wapigaji tu. Ni mara 1,000 tuendelee kutawaliwa na CCM.
Mifano hiyo haina uhalisia na hailingani.Kuna vitu huwa tunajitoa ufahamu,, mfano Rais wa marekani anaweza ku okay Termination hata ndani ya US,, hawa marais kama wafalme walivyokua zamani wana power kubwa sana tu,,
Mfalme daud alitamani mke wa mkuu wa jeshi lake,, akam terminate huyo mkuu wa jeshi ,,
Lakini huu utamaduni sisi hatuna,, uchunguzi ufanywe na majambazi waliomshambulia lisu wakamatwe🤷🏼♂️
..Polisi wangekuwa na nia ya kumhoji wangefanya hivyo siku Lissu amekwenda kwa Rpc Dodoma.
..Au wangemchukua maelezo baada ya uchaguzi mkuu siku waliyomkamata akiwa nje ya ubalozi wa Ujerumani.
Hilo liko wazi, alijaribu kutishia nafasi ya mwenyekiti akasahau kwamba sumu haionjwi kwa ulimi; yakamkuta ya kutukuta.Lisu kama Chacha
Kwamba yy ni maalumu kiasi gani?
Mpaka wamfate na kunyenyekea?
Alienda Kwa RPC dodoma kufata gari yake
Ulitaka rpc amfunge kamba kumhoji?
..Lissu sio maalum na ndio maana alijipeleka mwenyewe ofisini kwa RPC wa Dodoma.
..kinachoshangaza ni Polisi kutokutumia nafasi hiyo kumhoji na kumchukua maelezo.
..pia baada ya uchaguzi mkuu, Polisi walimkamata Lissu nje ya ubalozi wa EU na kwenda naye Central police station. Hawakumhoji wala kumchukua maelezo kuhusu shambulizi dhidi yake.
..Ukiona Polisi wa Tanzania hawachunguzi tukio kubwa la uhalifu ujue kuna kitu wanajaribu kuficha.
Ha ha ha ha aisee Tunabishana hata taarifa sahihi Una
Ndio shida ya chadema
After uchaguzi lisu si alikuwa anakaa kwenye ubalozi? Alikamatwa lini?
Wewe na nani?Mkuu,
Walikimbia nchi kwa sababu ya Magufuli; mwaka wa pili sasa tangu afariki ila hawajarudi.
Walipiga kelele Magufuli ni dikteta kwa kuwa aliwazuia kufanya mikitano ya kisiasa nje ya maeneo waliyoshinda; mwaka wa pili sasa tangu afariki, mikutano ya kisiasa haijaruhusiwa na hatusikii kelele za serikali ya kidikteta, n.k.
Hii nchi hatuna chama cha upinzani cha kizalendo, tuna magenge ya wapigaji tu. Ni mara 1,000 tuendelee kutawaliwa na CCM.
Magufuli was a ruthless killer. Ndiyo maana anatukanwa kwenye mkutano mkuu wa ccm DodomaWalikimbia nchi kwa sababu ya Magufuli; mwaka wa pili sasa tangu afariki ila hawajarudi.
Ndo maana nikitaka kumpinga Mzee Makamba ninasita. Ubaya utalipwa iwe Kwa Muda mrefu au mfupi.Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili yote hii kuutetea uongo, uongo ni dhambi na mgumu sana kuiishi nao kwani ni lazima uendelee kudanganya mwishoe ukweli utajitenga tu.
Haya sasa hivi wana power yote, vyombo vyote vya Ulinzi na usalama wanavi-command, kwa nini hawaanzishi uchunguzi yakinifu wa lililotokea kwani hakuna jambo ambalo lingemchafua na kumuondolea Magufuli umaarufu kwa wananchi kama hilo sasa kwanini wanazunguka huku na kule kwa nini wasiseme waliopmpiga Tundu Lisu risasi kwa ushaidi live na kuchukuwa hatua?
Uongo ni dhambi na ni mgumu kuutetea, …
Mbona alisema wazi kuwa aliyemtwanga ni Kisanduku, kwa usimamizi wa Bashite, kwa maagizo ya JPM. Na ni ukweli ulio dhahiri kwa kila mwenye akili.Lisu anajua walimtwanga ndio maana hata baada ya kifo Cha jpm na kulipwa pesa za kuja bongo kuanzia maisha hawezi kuja
USSR
Mbona alisema wazi kuwa aliyemtwanga ni Kisanduku, kwa usimamizi wa Bashite, kwa maagizo ya JPM. Na ni ukweli ulio dhahiri kwa kila mwenye akili.
Lisu hawezi kurehea sasa wakati hakuna mpango wowote wa dhamira njema ulioandaliwa kwaajili ya kujikimu.
Kwa io zile walizompiga walitaka kumjeruhi na wala sio kumuua si ndioYan kweli serikali na manguvu yake yote itake kumuua lisu na washindwe? Ww inakuingia akili?
Si wangepiga Bomu kwenye gari lake au nyumba yake?
Lisu huyu alikuwa anakaa Royol pub pale usiku ndio serikali imtake ishindwe kumpata?
Gari yake inaoshwa CBE pale si wangeweka hata Bomu?
Mnadanganywa kijinga kabisa
Kama wameacha kuchunguza hao polisi, Kwa Nini mhanga asipeleke malalamiko yake kwakuwa Yuko hai?
Kupiga kelele inje ya mahakama na huko ugaibuni hakutomsaidia, Mimi nilidhani akienda kufungua kesi ya madai Kwa nini mahakama haishugulikii upelelezi wa shambulio lake Mimi niombe nyinyi mliokaribu naye, mshaurini atoke uko aliko aje afuatilie kesi yake hapa nyumbani kwake tanzania
Hapo sasa ndio ujue sio serikali ni waahalifu kama waalifu wengineKwa io zile walizompiga walitaka kumjeruhi na wala sio kumuua si ndio
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mbona mama yako alikufaWatu wazuri.
Hujui chochote zaidi ya kutetea igizo la jamaa yenuHakika aliewaita mataga hakukosea,et mie nadhan !!!unaleta dhana ktk uhalisia????