Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

Kwa hiyo JPM angekuwepo leo tungekuwa katika giza hili la mgao lingemuangukia jumba lake bovu? ceteris peribus?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana Mheshimiwa....

Lakini hiyo ripoti haijaandikwa na Timu Msoga bali na CAG, na nyingine ni Ripoti ya Wizara ya Nishati!!

Narudia, pole sana!!
Ripoti ya cag iliandikwa upya baada ya kifo
 
I wish watu wangeacha ushabiki na kujiongeza ili wafahamu tunavyo underutilize gas resources wakati nchi bado ipo kwenye changamoto kubwa ya nishati ya uhakika!!
Tunachojua hatukuwa na Giza Wala ukosefu wa maji Wala ukame, hivyo vyote vilikuogopa JPM na vimeanza baada ya kifo chake ...
Porojo zenu mliziandaa kabla hamjamzika, baada ya kusema hizo propaganda zenu mtatujuza lini mnakodisha mitambo ili mjilipe na familia zenu maana miaka zaidi ya mitano ya wananchi kufurahia umeme na maji iliwatesa sana.
 
Waongo tu Hawa wamerudisha hadithi zao za megawats ili waendelee kutumaliza tu waneemeke na familia zao
 
Malizieni dili zenu watanzania malofa tu hawa nyie endeleeni
 
Kwani serikali iliyopo ni ya CHAUMMA?
 
Wizi mtupu hawana lolote timu wizi hawa
 
Wanahisi watu wanahitaji propaganda zao hizi
 
Kwanza tunashukuru umeelewa kuwa kilichokuwa kinaendelea wakati wa Magufuli sio utendaji bora,bali ni kusaka sifa za kijinga. Na sifa hizo za kijinga hazikuwa huko kwenye umeme tu, bali ni kwenye mambo mengi tena ya msingi.
Umeme ulikuwepo au alikuwa anatuwashia jua huyo mtaka sifa?
 
Huko kutokuwa na mgao mkubwa wakati huo,ndio kulikoleta hii cancer ya sasa. Sifa za kijinga mwisho chattle.
Na ule mgao wakati wa kikwete ni sifa za kijinga za Nani zilisababisha?
 
JPM aliipiga mkwara mitambo ikaacha kuzimika
 
Kama propaganda za kijinga zinasababisha tupate huduma za jamii nadhani tunazihitaji sana hizo propaganda kuliko huu ushuzi wenu mnaoutetea hapa hauna hata suluhu nyie mnatetea deals zenu tu
 
Mmmh, upungufu wa maji umesababishwa na nini?! Ukweli una tabia ya kuumiza. Magufuli alikuwa ni tapeli mwenye roho mbaya, hawa wa sasa ni matapeli wenye tabia za ujanja ujanja.
Utapeli wake haukutuletea Giza, utapeli wake haukutuletea kiu na njaa Wala mfumuko wa Bei, tunahitaji zaidi huo utapeli kuliko huu ushuzi wenu mpaka mvua zimewagomea majini nyie
 
Hakuna na sijaona sababu ya wewe kuukataa ukweli ila kilichopo na ninachokiona kwako ni maradhi which entered into the minds of the majority of people has also entered your mind.
Maradhi kwenye uhalisia?
Kwani tulikuwa tunawashiwa jua au umeme huo wa uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…