Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

Sasa nchi si mmeichukua tuone nyie wenye akili maana mnamsema sana yule mzee tuone mtafika wapi
 
Iweje Magufuri pekeee awe ndo tatizo kwani kipindi cha kikwete umeme ulikua unakatika ovyo alivo kuja Magu swala hili likapungua leo kafa wanakuja na ngojera zile zile za kale huoni km kuna jambo...
Jibu ni very simple!!

Zamani tulikuwa na umeme kidogo sana ingawaje tuliambiwa "watu wanaziba maji ili mafisadi wauze majenereta"!

Kutokana na kutokuwa na ume wa kutosha, ndipo likajengwa lile Bomba la Mtwara ili lisafirishe gas hadi Dar es salaam na hatimae tuzalishe umeme na kuuingiza kwenye grid ya taifa!!

Kule Mtwara, gas ilikuwa under-utilized kutokana na uchumi mdogo wa mikoa ya kusini!!

Bomba lile limetuingizia zaidi ya 400MW za umeme kwenye grid ya taifa, umeme ambao wakati wa JK haukuwepo! Wakati huo haukuwepo kwa sababu, umeme wa Kinyerezi ulianza kutumika October 2015, na ndo maana wengi wanadhani tatizo la umeme limetatuliwa na JPM!!

Kwahiyo ukichanganya na Ubungo II, JK alimwachia JPM zaidi ya 500MW!!

JPM ameshindwa kuacha alama kama hiyo kwa at least for now, kwa sababu aliachana na miradi ambayo ingemalizika ndani ya muda mfupi, akahamishia nguvu Nyerere Dam, mradi ambao usingeweza kumalizika ndani ya muda mfupi, hasa ukizingatia ni mradi wa matrilioni ya shilings!

Sasa mistake aliyoifanya JPM ni moja!

Pale Kinyerezi palitakiwa kujengwa vituo vinne vya kuzalisha umeme... yaani Kinyerezi I, II, III, na Kinyerezi IV. Sasa yeye alipoingia madarakani, akajenga tu Kinyerezi II kwa sababu tayari mchakato wake ulishaanza. Kinyerezi III na IV ikawekwa kapuni na kuhamishia nguvu kwenye Mradi wa Bwawa la Nyerere!!

Mi nadhani, hata kama aliupenda sana mradi wa Bwawa la Nyerere bado hakuwa na sababu ya msingi ya kuachana na ujenzi wa Kinyerezi III na IV kwa sababu kazi yake ingekuwa nyepesi sana kulinganisha na Bwawa la Nyerere ambalo alitakiwa kuanza MOJA!!

Au labda aliambiwa tuna total installed capacity of 1600MW!! Sasa sijui aliambiwa nini maana ya total installed capacity!! Sasa kama hakuelimishwa, usikute akadhani total installed capacity ni sawa na kusema total power that's generated, na kwahiyo akaona unatosha tu bila kuzingatia suala la dharula au uwezekano wa kuongezeka kwa matumizi ya umeme kwa sababu kila siku wateja wapya wanazaliwa!!

Labda walimdanganya ujenzi wa Bwawa la Nyerere ungeweza kuchukua less than 3 years!!
 
Heshima nyingi sana nazitoa kwako mkuu.
 
Mkuu Kalamu1,

Mimi sina tatizo na mijadala!!

Mimi sioni taabu mtu kutokubaliana nae kwa 100%, na kila siku tuwe tunapishana kwa hoja... sina tatizo ili mradi huyo anayepinga hoja, basi nae awe anapinga kwa kutumia hoja!!

Lakini wengi, hususani wale Praise Team, huwa hawapingi kwa hoja!! Hivi mimi na wewe ni mara ngapi tunapishana kwa hoja! Ingawaje ni kweli wakati mwingine huwa na-quit mijadala kwa sababu na wewe una "Uluguru" fulani kama Kobello (jamaa mbishi huyu), lakini kwangu na-feel happy sana kubishana kwa hoja!!

Hata huyo Kobello, pamoja na ubishi wake wote wa asili (asikuambie mtu, Waluguru ni wabishi balaa! Sasa sijui jina lake linaasili kabila lake) lakini nae huwa anabisha kwa hoja!

Ujinga wa ubishi wa hoja kwa hoja, halafu mkakutana wabishi tupu, basi huo ubishi huwa hauishi hadi mmoja ajifanye mjinga na ku-quit but at peace!!
 
Mikataba ya gasi ilishaleta utata akina JK na genge lake walishajimilikisha ndo maana JPM, alitumia option no. 2 kukwepa mtego wa gasi. Hivyo swami ya sita under lubber stamp ya JK wanata kutumia option no 1. Watafaidika na gas yao.
 
Mikataba ya gasi ilishaleta utata akina JK na genge lake walishajimilikisha ndo maana JPM, alitusaidi option no. 2 kukwepa mtego wa gasi. Hivyo swami ya sita under lubber stamp ya JK wanata kutumia option no 1. Watafaidika na gas yao.
Mikataba ya ges ipi?!

Hivi una habari Gesi ya Mnazi Bay ambayo ndo imepelekwa Kinyerezi uchimbaji wake ulifanyika wakati wa Mkapa?!

FYI, wenye shares nyingi kwenye ile gesi ni Mabeberu ya Kiingereza na Kifaransa ambayo yalianza kumikili hisa wakati wa Mkapa, huku TPDC wakiwa na 20% stake!

Na ule mradi Kinyerezi ni wa TANESCO!!
 
Baada ya maelezo yako marefu, je wanatuhakikishia kuwa kwa vile sasa wanaweza kufanya matengenezo inavyotakiwa Tanzania haitakuwa na tatizo la upungufu wa nishati ya umeme? Je, matengenezo ya muda na kiasi gani yataondoa tatizo la mgao?
Wako busy kuja-stify tatizo badala ya kuja na suluhisho.

Ifike kipindi tuhitaji Viongozi na sio Watawala.
 
Tulia wewe mjane.

Hii shida ya umeme inayolalamikiwa hapa ni enzi za nani?View attachment 2016824
Nnachokushauri tafuta mume mwengine.

Mme wako magu hawezi fufuka tena.

He is no more.
Idiot, mti anatoa point zake ambazo ni vivid wewe unapiga pulling,



 

Attachments

  • VID-20211118-WA0119.mp4
    2.1 MB
  • VID-20211119-WA0090.mp4
    8.7 MB
dawa ni kununua dreamliner kumi mpyaaaa!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Hizo nchi nyingine ambazo umeme huwa haukatiki hovyo inamaana huwa mashine zao hazifanyiwi maintenance??

What a lame reason.

Haya ndio matatizo ya kuwapa watu wenye uwezo mdogo kuendesha nchi.

Mambo yapo juu ya uwezo wao wanaanza kutoa sababu ambazo hazina mantiki kabisa.
 
Wizi wa kutumia namba, simple logic inamaliza utapeli wa hizo namba.
 
Baada ya maelezo yako marefu, je wanatuhakikishia kuwa kwa vile sasa wanaweza kufanya matengenezo inavyotakiwa Tanzania haitakuwa na tatizo la upungufu wa nishati ya umeme? Je, matengenezo ya muda na kiasi gani yataondoa tatizo la mgao?
wapi mtoa mada amesema kuna umeme wakutosha?
 
Ccm hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi, wananchi wakitaka kubadili uongozi nyinyi mnafanya mapinduzi kwa kupinduwa matokeo, matokeo yake mnalaaniwa kama hivi.

Ccm wote ni ukoo wa panya.
 
Moja ya hoja za kipumbavu kabisa...

Mimi nimejadili taarifa ya CAG na Wizara ya Nishati!

Sasa suala la eti sijui Magufuli alinifanya nini linatoka wapi?

Hivi nyie watu mbona wapuuzi hivi?! Yaani watu wasijadili issues zinazohusisha utawala wake, kisa?!

Kwamba eti tatizo liliisha, umeshawahi kujiuliza lililisha vipi?!

Bomba la Mtwara, ambalo umeme wake ulianza kutumika October 2015, linachangia zaidi ya 400MW!

Alipoingia JPM, TANESCO wakatengeneza plan ambayo, kwa mujibu wa CAG, inasema:-


Je, unaweza kutuambia zimezalishwa MW ngapi out of 4,915 MW walizokusudia kuzalisha?! Unaweza kutaja mradi mpya ulioanzishwa over the past 5 years ambao tayari umeme wake upo kwenye grid ya taifa?
 
Jibu swali langu kwanza
Swali lako lipi?

Lile unaloanza kwa kuniambia nahalalisha kwa data ili niibe wakati hunifahamu?

Mimi ni mumeo kiasi kwamba unafahamu hadi vyanzo vya mapato yangu including vyanzo vya wizi ambavyo inaelekea unavifahamu sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…