Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

Kweli kuna watu mmeamuwa kujitowa akili au ni vichaa kamili.

Mradi wa umeme vijijini REA ni project ya awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete utekelezaji ukawa unafanyika kwa phases.

Kama siyo huyo kichaa shetani wenu mungu wa chato kuwakwjeri wafadhili leo hii kaya nyingi zaidi zingekuwa zimepata umeme, maana aliwatukana Wamarekani ambao ndio walikuwa watowe $milllion 700 kwenye fund ya MCC.

Kama Mungu angeweza kusikiliza maombi yetu huyu alikuwa ni wa kufufuliwa na kutandikwa mijeledi ya kutosha.

Na mlivyokuwa machizi mnajisahaurisha kwamba jina la tingatinga kalipata awamu ya 4 wakati Kikwete anasambaza rami za kuiunganisha nchi.
Sasa nchi si mmeichukua tuone nyie wenye akili maana mnamsema sana yule mzee tuone mtafika wapi
 
Iweje Magufuri pekeee awe ndo tatizo kwani kipindi cha kikwete umeme ulikua unakatika ovyo alivo kuja Magu swala hili likapungua leo kafa wanakuja na ngojera zile zile za kale huoni km kuna jambo...
Jibu ni very simple!!

Zamani tulikuwa na umeme kidogo sana ingawaje tuliambiwa "watu wanaziba maji ili mafisadi wauze majenereta"!

Kutokana na kutokuwa na ume wa kutosha, ndipo likajengwa lile Bomba la Mtwara ili lisafirishe gas hadi Dar es salaam na hatimae tuzalishe umeme na kuuingiza kwenye grid ya taifa!!

Kule Mtwara, gas ilikuwa under-utilized kutokana na uchumi mdogo wa mikoa ya kusini!!

Bomba lile limetuingizia zaidi ya 400MW za umeme kwenye grid ya taifa, umeme ambao wakati wa JK haukuwepo! Wakati huo haukuwepo kwa sababu, umeme wa Kinyerezi ulianza kutumika October 2015, na ndo maana wengi wanadhani tatizo la umeme limetatuliwa na JPM!!

Kwahiyo ukichanganya na Ubungo II, JK alimwachia JPM zaidi ya 500MW!!

JPM ameshindwa kuacha alama kama hiyo kwa at least for now, kwa sababu aliachana na miradi ambayo ingemalizika ndani ya muda mfupi, akahamishia nguvu Nyerere Dam, mradi ambao usingeweza kumalizika ndani ya muda mfupi, hasa ukizingatia ni mradi wa matrilioni ya shilings!

Sasa mistake aliyoifanya JPM ni moja!

Pale Kinyerezi palitakiwa kujengwa vituo vinne vya kuzalisha umeme... yaani Kinyerezi I, II, III, na Kinyerezi IV. Sasa yeye alipoingia madarakani, akajenga tu Kinyerezi II kwa sababu tayari mchakato wake ulishaanza. Kinyerezi III na IV ikawekwa kapuni na kuhamishia nguvu kwenye Mradi wa Bwawa la Nyerere!!

Mi nadhani, hata kama aliupenda sana mradi wa Bwawa la Nyerere bado hakuwa na sababu ya msingi ya kuachana na ujenzi wa Kinyerezi III na IV kwa sababu kazi yake ingekuwa nyepesi sana kulinganisha na Bwawa la Nyerere ambalo alitakiwa kuanza MOJA!!

Au labda aliambiwa tuna total installed capacity of 1600MW!! Sasa sijui aliambiwa nini maana ya total installed capacity!! Sasa kama hakuelimishwa, usikute akadhani total installed capacity ni sawa na kusema total power that's generated, na kwahiyo akaona unatosha tu bila kuzingatia suala la dharula au uwezekano wa kuongezeka kwa matumizi ya umeme kwa sababu kila siku wateja wapya wanazaliwa!!

Labda walimdanganya ujenzi wa Bwawa la Nyerere ungeweza kuchukua less than 3 years!!
 
Jibu very simple!!

Zamani tulikuwa na umeme kidogo sana ingawaje tuliambiwa "watu wanaziba maji ili mafisadi wauze majenereta"!

Kutokana na kutokuwa na ume wa kutosha, ndipo likajengwa lile Bomba la Mtwara ili lisafirishe gas hadi Dar es salaam na hatimae tuzalishe umeme na kuuingiza kwenye grid ya taifa!! Kule Mtwara, gas ilikuwa under-utilized kutokana na uchumi mdogo wa mikoa ya kusini!!

Bomba lile limetuingizie zaidi ya 400MW za umeme kwenye grid ya taifa, umeme ambao wakati wa JK haukuwepo kwa sababu, umeme wa Kinyerezi ulianza kutumika October 2015, ndo maana wengi wanadhani tatizo la umeme limetatuliwa na JPM!!

Kwahiyo ukichanganya na Ubungo II, JK alimwachia JPM zaidi ya 500MW!! JPM ameshindwa kuacha alama kama hiyo kwa sababu aliachana na miradi ambayo ingemalizika ndani ya muda mfupi, akaenda Nyerere Dams mradi ambao usingeweza kumalizika ndani ya muda mfupi, hasa ukizingatia ni mradi wa matrilioni ya shilings!

Sasa mistake aliyoifanya JPM ni moja!

Pale Kinyerezi palitakiwa kujengwa vituo vinnevya kuzalisha umeme... yaani Kinyerezi I, II, III, na Kinyerezi IV. Sasa yeye alipoingia madarakani, akajenga tu Kinyerezi II kwa sababu tayari mchakato wake ulishaanza. Kinyerezi III na IV ikawekwa kapuni na kuhamishia nguvu kwenye Mradi wa Bwawa la Nyerere!!

Hata kama aliupenda sana mradi wa Bwawa la Nyerere bado hakuwa na sababu ya msingi ya kuachana na ujenzi wa Kinyerezi III na IV kwa sababu kazi yake ingekuwa nyepesi sana kulinganisha na Bwawa la Nyerere ambalo alitakiwa kuanza MOJA!!

Kwa bahati mbaya sana, kwavile labda aliambiwa 1600MW tulizonazo zinatosha sana, na ziada inabaki, akashindwa kuzingatia suala la dharula au uwezekano wa kuongezeka kwa matumizi ya umeme kwa sababu kila siku wateja wapya wanazaliwa!!

Labda walimdanganya ujenzi wa Bwawa la Nyerere ungeweza kuchukua less than 3 years!!
Heshima nyingi sana nazitoa kwako mkuu.
 
Umesomeka mkuu 'Chige', tena kwa uangalifu mkubwa sana.

Kutokana na hizi hoja makini unazoziwasilisha humu, itakuwa ni mjinga tu atakayeweza kuzirukia na kuzijibu bila ya tafakuri makini.

Umejipambanua vyema sana na kueleza unaposimamia. Ni jambo jema, lakini usisahau pia kwamba kuna wengine wanaoona mambo katika mwanga tofauti na wako. Unayoyaweka hapa hayatoki kwenye msahafu, ni mambo yanayojadilika. Tutayajadili (niongeze, "kwa makini", kwa sababu naona unaweka umakini mkubwa kwa unayoyawasilisha.
Mkuu Kalamu1,

Mimi sina tatizo na mijadala!!

Mimi sioni taabu mtu kutokubaliana nae kwa 100%, na kila siku tuwe tunapishana kwa hoja... sina tatizo ili mradi huyo anayepinga hoja, basi nae awe anapinga kwa kutumia hoja!!

Lakini wengi, hususani wale Praise Team, huwa hawapingi kwa hoja!! Hivi mimi na wewe ni mara ngapi tunapishana kwa hoja! Ingawaje ni kweli wakati mwingine huwa na-quit mijadala kwa sababu na wewe una "Uluguru" fulani kama Kobello (jamaa mbishi huyu), lakini kwangu na-feel happy sana kubishana kwa hoja!!

Hata huyo Kobello, pamoja na ubishi wake wote wa asili (asikuambie mtu, Waluguru ni wabishi balaa! Sasa sijui jina lake linaasili kabila lake) lakini nae huwa anabisha kwa hoja!

Ujinga wa ubishi wa hoja kwa hoja, halafu mkakutana wabishi tupu, basi huo ubishi huwa hauishi hadi mmoja ajifanye mjinga na ku-quit but at peace!!
 
Tatizo la umeme litapungua kwa kiasi kikubwa ONLY IF one or the combination of the 2 happens:-

1. Endapo Kinyerezi III na IV itajengwa na hivyo kuongeza kiwango cha umeme kwenye national grid, and/or
2. Bwawa la Nyerere litakamilika na kuanza kuingiza umeme kwenye grid ya taifa!

Kinyume na hapo, upungufu utaendelea kuwepo kwa sababu kila siku wateja wapya wanazaliwa, na matumizi yanaongezeka!! Sasa haiwezekani kila siku wateja wapya wanazaliwa, na kiwango cha umeme kinabaki kile kile halafu tutarajie tatizo la upungufu wa umeme litaisha!!
Mikataba ya gasi ilishaleta utata akina JK na genge lake walishajimilikisha ndo maana JPM, alitumia option no. 2 kukwepa mtego wa gasi. Hivyo swami ya sita under lubber stamp ya JK wanata kutumia option no 1. Watafaidika na gas yao.
 
Mikataba ya gasi ilishaleta utata akina JK na genge lake walishajimilikisha ndo maana JPM, alitusaidi option no. 2 kukwepa mtego wa gasi. Hivyo swami ya sita under lubber stamp ya JK wanata kutumia option no 1. Watafaidika na gas yao.
Mikataba ya ges ipi?!

Hivi una habari Gesi ya Mnazi Bay ambayo ndo imepelekwa Kinyerezi uchimbaji wake ulifanyika wakati wa Mkapa?!

FYI, wenye shares nyingi kwenye ile gesi ni Mabeberu ya Kiingereza na Kifaransa ambayo yalianza kumikili hisa wakati wa Mkapa, huku TPDC wakiwa na 20% stake!

Na ule mradi Kinyerezi ni wa TANESCO!!
 
Baada ya maelezo yako marefu, je wanatuhakikishia kuwa kwa vile sasa wanaweza kufanya matengenezo inavyotakiwa Tanzania haitakuwa na tatizo la upungufu wa nishati ya umeme? Je, matengenezo ya muda na kiasi gani yataondoa tatizo la mgao?
Wako busy kuja-stify tatizo badala ya kuja na suluhisho.

Ifike kipindi tuhitaji Viongozi na sio Watawala.
 
Tulia wewe mjane.

Hii shida ya umeme inayolalamikiwa hapa ni enzi za nani?View attachment 2016824
Nnachokushauri tafuta mume mwengine.

Mme wako magu hawezi fufuka tena.

He is no more.
Idiot, mti anatoa point zake ambazo ni vivid wewe unapiga pulling,

Screenshot_20211120-075825.png


Screenshot_20211120-080132.png
 

Attachments

  • VID-20211118-WA0119.mp4
    2.1 MB
  • VID-20211119-WA0090.mp4
    8.7 MB
Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:-

View attachment 2015968
Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019.

Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema hadi kufikia mwishoni mwa 2019, tulikuwa tunazalisha ONLY 1,565.72 MW... ni takribani 33% TU ya malengo!

View attachment 2015977
Kutofikiwa huko kwa malengo kulitokana na kuhamishia nguvu ZOTE kwenye Bwawa la Nyerere, na hata zile Kinyerezi III na Kinyerezi IV, zikatekelezwa!!!

Of course, labda waliamini kwamba 1,602.32 zingetosha kutufikisha hadi kuanza kutumia Bwawa la Nyerere!! Sasa sijui walizingatia kila siku kuna wateja wapya wa umeme, na kwamba kuna kuharibika kwa mitambo... only God knows!!!

Tuje kwenye Ubungo II ambayo tunaambiwa ni mbovu, huku wengine wakihoji ikiwa ubovu umeanza baada ya JPM kufariki!!! Au ni janja janja tu ya kutaka kuhujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!!!

Je, maintance ilikuwa inafanyika?! Jibu lipo kwenye ripoti kwamba:-
View attachment 2015999
Utaona hapo, Mashine #1 na #2 zilipitisha zaidi ya saa 10,000 tangu siku zilipotakiwa kufanyiwa maintanance!! Yaani Machine #1 iliendelea kuburuzwa kwa mwaka 1 na miezi tangu ilipotakiwa kufanyiwa ukarabati, huku Mashine #2 ikiburuzwa kwa zaidi ya miezi 18 bila kufanyiwa maintanance tangi siku ilipotakiwa kufanyika!!

Je, ikiwa hiyo ni ripoti iliyoandikwa kutoka kwenye takwimu za 2018, je maintance ilifanyika? Na kama ilifanyika, ilifanyika lini?

TANESCO wenyewe, hawa hapa chini:-
View attachment 2016022

Kumbe, hata baada ya miaka 3 baadae, bado Ubungo II ilikuwa haisomeki!!!

Sasa ikiwa tatizo lililopo miaka na miaka, ni mjinga tu ndie anaweza kuamini kwamba hivi sasa Ubungo II ipo operational, lakini sie wapiga deal za kuuza majenereta tunafahamu mambo bado si shwari!!!

Ina maana shida ni kukosekana kwa vifaa peke yake ndo maana haya mambo ya maintanance yanachelewa namna hii?!

Again, CAG's Performance Audit Report iliyotolewa March 2019 inasema:-

Kumbe, jamaa ilikuwa wakitaka kufanya maintanance, wanapigwa STOP, na matoke yake mitambo ikawa inaburuzwa tu hivyo hivyo!!!

View attachment 2016037

Wadau walipozungumzia hilo suala, wakaitwa majina yote ya ovyo ili mradi tu....!!

Ndipo tunarudi pale pale, mbona hilo tatizo la upungufu wa umeme halikuwepo wakati wa JPM!!!

Swali ambalo nimekuwa nikiwauliza wanaotoa hiyo hoja ni kwamba nyie wenzetu mlikuwa mnaishi Tanzania ipi ambayo haikuwa na matatizo ya umeme!!

Anyway, inawezekana wenzetu ni watoto wa kishua mnaoishi kwenye viunga vya Ikulu... lakini sie tulio huku Ushenzini, hususani kwenye miji na vitongoji vikongwe vyenye uchakavu wa miundombinu, kwetu tatizo liliendelea kuwepo muda wote!!

But on top of that, ripoti hapo inaonesha, TANESCO walikuwa wanapigwa STOP kufanya maintenance pale Ubungo II kwa sababu hatukuwa na hifadhi ya kutosha ya umeme kwenye Grid ya Taifa.

Hofu ikawa kwamba, kutokana na kutokuwa na hifadhi ya kutosha, kama mitambo ingezimwa kwa ajili ya maintenance, basi huenda tungelazimika kuingia kwenye mgao!!

Sasa kama tulikuwa tunaogopa kuzima Ubungo II ambayo umeme unaotoka pale is ONLY 105MW, nini kinaweza kutokea kukiwa na upungufu wa maji ambapo, total power generated from hydro, ni 574MW?!

View attachment 2016047

Kama unakataa nchi haipo kwenye ukame, basi tatizo hili la sasa ni la kutegenezwa na mafisadi na wapinzani wa Bwawa la Nyerere, huku sie vibaraka wao tukikesha kuwapanga watu!

Akili za kuambiwa, changanya na zako!

Lakini itoshe tu kusema kwamba, ushabikiwa kijinga unaliangamiza taifa!!!
dawa ni kununua dreamliner kumi mpyaaaa!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Hizo nchi nyingine ambazo umeme huwa haukatiki hovyo inamaana huwa mashine zao hazifanyiwi maintenance??

What a lame reason.

Haya ndio matatizo ya kuwapa watu wenye uwezo mdogo kuendesha nchi.

Mambo yapo juu ya uwezo wao wanaanza kutoa sababu ambazo hazina mantiki kabisa.
 
Wizi wa kutumia namba, simple logic inamaliza utapeli wa hizo namba.
 
Baada ya maelezo yako marefu, je wanatuhakikishia kuwa kwa vile sasa wanaweza kufanya matengenezo inavyotakiwa Tanzania haitakuwa na tatizo la upungufu wa nishati ya umeme? Je, matengenezo ya muda na kiasi gani yataondoa tatizo la mgao?
wapi mtoa mada amesema kuna umeme wakutosha?
 
Hizo nchi nyingine ambazo umeme huwa haukatiki hovyo inamaana huwa mashine zao hazifanyiwi maintenance??

What a lame reason.

Haya ndio matatizo ya kuwapa watu wenye uwezo mdogo kuendesha nchi.

Mambo yapo juu ya uwezo wao wanaanza kutoa sababu ambazo hazina mantiki kabisa.
Ccm hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi, wananchi wakitaka kubadili uongozi nyinyi mnafanya mapinduzi kwa kupinduwa matokeo, matokeo yake mnalaaniwa kama hivi.

Ccm wote ni ukoo wa panya.
 
Huyu mwanzisha mada sijui alifanywa nini na JPM!

Kwa ufupi, hatukuwa na tatizo la umeme la kiwango hiki na hili wewe mtu mmoja huwezi kutufundisha! Wananchi wanajua!

Kama issue ni mitambo kutofanyiwa maintenance toeni schedule tuone toka mmeanza kufanya maintenance tuone improvements otherwise ni porojo.

Upungufu wa maji umesababishwa na nini? Mbona for 5 good yrs ilishafutika? Au JPM alifichaje yaani?
Moja ya hoja za kipumbavu kabisa...

Mimi nimejadili taarifa ya CAG na Wizara ya Nishati!

Sasa suala la eti sijui Magufuli alinifanya nini linatoka wapi?

Hivi nyie watu mbona wapuuzi hivi?! Yaani watu wasijadili issues zinazohusisha utawala wake, kisa?!

Kwamba eti tatizo liliisha, umeshawahi kujiuliza lililisha vipi?!

Bomba la Mtwara, ambalo umeme wake ulianza kutumika October 2015, linachangia zaidi ya 400MW!

Alipoingia JPM, TANESCO wakatengeneza plan ambayo, kwa mujibu wa CAG, inasema:-

TANESCO TARGET.png

Je, unaweza kutuambia zimezalishwa MW ngapi out of 4,915 MW walizokusudia kuzalisha?! Unaweza kutaja mradi mpya ulioanzishwa over the past 5 years ambao tayari umeme wake upo kwenye grid ya taifa?
 
Back
Top Bottom