Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

Uongo upo kila sehem mkuu. Na ndio maana mpaka leo unawatesa hawa wachumia tumbo kwa kujaribu kuirubuni tena baadhi ya misukule yao iliyokata kamba mwaka 2015, na kuamua kuachana na harakati uchwara kwa masilahi ya viongozi wa chama. I mean chama na viongozi wake wamekuwa hawaaminiwi tena kwa chochote wanachosema.

View attachment 1933563

View attachment 1933564

View attachment 1933565

View attachment 1933566
UONGO wa RAIS ni tofauti na Uongo mwingine KUNA NA RAIS MUONGO ni AIBU KWA TAIFA ni Mjinga tu ndio Atafananisha Uongo wa Mbowe na RAIS
 
Jengeni nchi, hayupo sasa miaka miwili, umeme umewashinda, miradi imewashinda mpaka mnaiuza, kawaachia ndege, ukarabati wa viwanja vya ndege, bandari zote, madaraja makubwa, Mradi wa SGR, JKNHP, n.k bila tozo, nyinyi mnafeli wapi.?
Nani katuachia hizo ndege na bandari? Mbona huyo pimbi mmampa umaarufu asiostahili!! Yeye mwenyewe kazikuta taslimali hizo na kaziacha
 
UONGO wa RAIS ni tofauti na Uongo mwingine KUNA NA RAIS MUONGO ni AIBU KWA TAIFA ni Mjinga tu ndio Atafananisha Uongo wa Mbowe na RAIS
Uongo ni uongo tu haijalishi umeongelewa na raisi au kiongozi wa upinzani. Kila jambo lililokatazwa hata na Mungu mwenyewe juwa lina madhara kwa binadamu.

So iwe raisi au kiongozi wa upinzani, yeyote atakaesema uongo dhambi zao ni moja mbele ya Mungu, na sisi wananchi tuna judge hivyo hivyo.
 
Sasa kwa Tanzania hii utamponda hayati magufuli afu umsifie nani mwenye unafuu🤣🤣
 
Mkuu usimuhusishe Mungu kwenye mambo yako! Kumbuka una wazazi, watoto au mke Mungu hadhihakiwi Apandacho mtu ndo atakachovuna! Yeye ametangulia mimi na wewe mda wowote tunamfata usikufuru. Ila kwa vile kila mtu akikosoa anaonekana ni Sukuma gang! Kaeni makini sana na maneno yenu!
Yeye ndiio alitakiwa kuwa makini ii asiende motoni, wafanyakazi hewa ina maana kuna pesa ilikuwa inatafanuwa, ulishasikia kuna mtu kakamatwa kula mishahara ya wafanyakazi hewa ? Makosa yake ndio tunalipa kwa mitozo, Basi angemsamehe Lissu & Co ili njia iwe nyeue , Yeye alikuwa katoliki Sala ya " Baba Yetu " inasema kule mwishoni,,,,,,,,,,utusamehe kama sisi tunavyowaseme waliotukosea ..... kuna kila dalili yule mwamba alikaza uzi mpaka anaondoka, alishtuka tu kumrudishia paspoti yule askofu ili aje amwombee sala ya kumpitisha kimimishe peponi halafu wewe unadanyika anapumzika kwa amani. Yupo motoni. Mungu Ibariki Tanzania. Kumbe Mungu anaipendasana nchi hii.
 
Kwanini unachallenge legacy? Nchi hii imechezewa sana na mafisadi. Au nasema uwongo ndugu zangu?

13. Tanzania ni donor country.
14. Ndani ya miaka mitano tu ya awali awamu ya 5 ilifanikiwa kujenga viwanda zaidi ya 800
 
Masamaki hahahaa, hii nchi Ina wasanii kama nini, JPM alikuwa msanii
 
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!

1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo

2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!

3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo

4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida

5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda

6. Tanzania hakuna Corona

7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo

8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini

9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani

10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!

11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.

12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah

13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah

huyu Mzee huyu R.I.P
Ni chuki yako tu dhidi ya Magufuli lakini kwa ufahamu wako ninavyosomaga post zako humu, naamini unajua kwamba serikali zote huendesha nchi kwa propaganda. Propaganda ni mchanganyiko wa facts na uongo. Hivyo JPM hakuwa unique. Hakuna serikali inayoongoza nchi kwa facts tu. Ikifanya hivyo basi itashindwa kuendesha nchi na matokeo yake yanaweza kuwa mabaya sana.
Hivyo orodha yako ina vitu vya kipropaganda na hivyo zingine zilikuwa sahihi na zingine sijui.
Ni muhimu serikali kuamua content itakayotrend katika nchi.
Mwanapropaganda namba moja katila nchi ni Rais wa nchi. Kina Putin, kina Biden, Kina Ruto, kina Al Sisi, kina Raisi, kina Xi Jinping.
 
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!

1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo

2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!

3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo

4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida

5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda

6. Tanzania hakuna Corona

7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo

8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini

9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani

10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!

11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.

12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah

13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah

huyu Mzee huyu R.I.P
Kwani sasa hivi hazipikwi?wewe unaamini kweli kuwa mfumuko wa bei kwa sasa ni 4 na point!
 
Kwanini unachallenge legacy? Nchi hii imechezewa sana na mafisadi. Au nasema uwongo ndugu zangu?

13. Tanzania ni donor country.
14. Ndani ya miaka mitano tu ya awali awamu ya 5 ilifanikiwa kujenga viwanda zaidi ya 800
Gani
 
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!

1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion bila kuweka kwenye hesabu uporomokaji wa thamani ya shilling . Hivyo hata marais wajao watateseka kutaka ama kuendelez uongo huu au wazikusanye kweli kwa kuwatesa wananchi na ma Tozo

2. Growth rate ya uchumi ni 7.2 wakati ukweli ni 4.7 ndo hali halisi ya ukuaji wa uchumi ilivyokuwa!!

3. Laizer Kaokota Tanzanate yenye uzito ambao si kawaida !! Kumbe zinatolewa store anapiga picha na kurejesha ili kuhadaa Kwamba Ukuta wa merelani ndo umeleta mafanikio hayo

4. Kwamba Wafanyakazi hewa walikuwa ni 20,000 wakati waliobainika kutokuwa kazini ni 7400 tu ila 137500 walikuwapo kazini ila majina yalikinzana kwenye vyeti ila kazi walifanya kawaida

5. Tembo wameongezeka mara tatu Tripped tokea ashike nchi Kumbe ni uongo tembo waNa interval kubwa ya kuzaa Kwa muda

6. Tanzania hakuna Corona

7. Air Tanzania inapata faida kumbe uongo

8. Mabeberu wana I tagert Tanzania tu kwakuwa tuna madini

9. Kila tajiri ni mwizi na wanapaswa kuishi Kama Mashetani

10. Kuna Mtanzania ameajiriwa na ametengeneza mrija wa kila dakika inaingia Milion 80 kwenye account yake!

11. Masamaki Ana nyumba 74 na viwanja 200 Dar es salaam.

12. Miradi tunajenga kwa Pesa za ndani Kumbe ni WB na waturuki dah

13. Tuna Viwanda 4000 mpaka sasa dah

huyu Mzee huyu R.I.P
Huu ndiyo UWONGO wa Magufuli ambao wajinga wa Tanzania wanamuita shujaa au mwamba. STUPID
 
Yaan mkiona Serikali ya mama yenu inayumba kiuchumi ,mnakuja kumtaja JPM.Tafadhali tunaomba ,endeleeni kupambana na uchumi sio kumsingizia Marehemu.
 
Nchi iko vizuri na Rais Samia, huyo Magu aliye jehanam aendelee kuungua na moto tu
 
Wewe mwenyeji huko Jehanam? Maana unashadadia nchi iko vizuri sijui nchi gani? Machawa mmekuwa mataahira siku hizi!
 
Back
Top Bottom