Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
UONGO wa RAIS ni tofauti na Uongo mwingine KUNA NA RAIS MUONGO ni AIBU KWA TAIFA ni Mjinga tu ndio Atafananisha Uongo wa Mbowe na RAISUongo upo kila sehem mkuu. Na ndio maana mpaka leo unawatesa hawa wachumia tumbo kwa kujaribu kuirubuni tena baadhi ya misukule yao iliyokata kamba mwaka 2015, na kuamua kuachana na harakati uchwara kwa masilahi ya viongozi wa chama. I mean chama na viongozi wake wamekuwa hawaaminiwi tena kwa chochote wanachosema.
View attachment 1933563
View attachment 1933564
View attachment 1933565
View attachment 1933566