Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

Ttcl mtandao unakuja na kukata, mda mwingine unaeza kata hata siku nzima. Sio mtandao wa kuamini kwa wanaotegemea internet fulltime.
Natumia 0733 hilo haijawahi kutokea kwangu. Ninachofahamu mtandao wao hauna masafa marefu sana kivile WABORESHE.
 
Kutokana na matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi ya vifurushi vya Internet. Tarehe 01/08/2022, nilijiunga na kifurushi cha Tsh.1500 (Mb850) na niliamua kuanza kufuatilia na kujipimia matumizi ya vifushi vya Internet kwenye simu yangu kupitia Mobile data usage ambapo nilipata fursa ya kuweka ukomo wa matumizi ya kifushi nilichojiunga kwa siku nisizidishe Mb100.

Lakini cha ajabu niliweza kutumia Jumla ya Mb490 pekee na kuletewa ujumbe kuwa nimetumia kifurushi cha Internet kwa 100%.

Nilishangaa sana na kugundua kuwa kumbe hivi viwango wanavyotuandikia ni Uongo mtupu. Huu mtandao wanafanya utapeli mkubwa sana.

Pamoja na maelezo haya nimeambatanisha screenshot za manunuzi ya kifurushi na matumizi.

Kama kuna mtu anaweza fuatilia pia ajaribu atajionea mwenyewe.View attachment 2316699View attachment 2316700View attachment 2316701
Uko sawa asee hili wiki wamenipuna sana visent vyangu, naunga kifurushi cha wiki, siingii cha insta wala sidownload chochote, na wasap nimezuia isiAutodowload media yoyote, G1 hafiki hata masaa 2 meseji hyo ya 75% ndani ya wiki nmejiunga zaidi ya mara 10.
Wallah hawa jamaa wameanza wizi km walivyokua Tigo
 
Nape uupo tuu anacheza golf bila hofu maana bahasha toka kampuni za simu inaburudisha moyo.
Nimegundua kuwa watoto wa vigogo wa CCM kama Nape, Makamba na Ridhiwani wanafanya kazi bila hofu na kwa mazoea tofauti na vijana kama Hussein Bashe
Waziri wa hovyoo ni Nape yaani wa hovyoo mnooo!!
 
Nape uupo tuu anacheza golf bila hofu maana bahasha toka kampuni za simu inaburudisha moyo.
Nimegundua kuwa watoto wa vigogo wa CCM kama Nape, Makamba na Ridhiwani wanafanya kazi bila hofu na kwa mazoea tofauti na vijana kama Hussein Bashe
Waziri wa hovyoo ni Nape yaani wa hovyoo mnooo!!
 
Kutokana na matumizi makubwa ya fedha kwenye manunuzi ya vifurushi vya Internet. Tarehe 01/08/2022, nilijiunga na kifurushi cha Tsh.1500 (Mb850) na niliamua kuanza kufuatilia na kujipimia matumizi ya vifushi vya Internet kwenye simu yangu kupitia Mobile data usage ambapo nilipata fursa ya kuweka ukomo wa matumizi ya kifushi nilichojiunga kwa siku nisizidishe Mb100.

Lakini cha ajabu niliweza kutumia Jumla ya Mb490 pekee na kuletewa ujumbe kuwa nimetumia kifurushi cha Internet kwa 100%.

Nilishangaa sana na kugundua kuwa kumbe hivi viwango wanavyotuandikia ni Uongo mtupu. Huu mtandao wanafanya utapeli mkubwa sana.

Pamoja na maelezo haya nimeambatanisha screenshot za manunuzi ya kifurushi na matumizi.

Kama kuna mtu anaweza fuatilia pia ajaribu atajionea mwenyewe.View attachment 2316699View attachment 2316700View attachment 2316701
Mimi nilijiunga Mb 850 zilikata within a day

Nilishangaa sana Asee
 
Hawa jamaa wa Airtel naona wana matatizo na hizi settings zao za msg,unajiunga na kifurushi sasa hivi baada ya dk 5 unaletewa ujumbe kuwa umemaliza kifurushi chako lkn wakati huo huo ukifungua data unaendelea kubrowse kama kawaida.

Ya ni kweli nimejiunga jana mchana saa nane GB 1.95 kwa 3000 nashangaa leo wananitumia umetumia asilimia 75% ya GB 1.6
IMG_2995.jpg
 
Siku nyingine kama hauna Voda au Ttcl hela yako ya bando kula machungwa utakuja kunishukuru.

Voda bando zao zimekaaje?
Maana juzi nilisusa kujiunga airtel nkala machungwa ila huwezi kuepuka kuingia mtandaoni
 
Cha wiki ninachojiunga ni 1500/= Mb 800 dkk 10 sms 5 Tsh3000/= Mb 17000 unapatikana kwenye UNi Ofa .
 
Back
Top Bottom