Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Asante ngoja nilifanyie kazi hiliCha wiki ninachojiunga ni 1500/= Mb 800 dkk 10 sms 5 Tsh3000/= Mb 17000 unapatikana kwenye UNi Ofa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante ngoja nilifanyie kazi hiliCha wiki ninachojiunga ni 1500/= Mb 800 dkk 10 sms 5 Tsh3000/= Mb 17000 unapatikana kwenye UNi Ofa .
Mimi airtel nimewakimbia kuna mahali nipo nacheki cheki kwanza naona kama panafaa.Voda bando zao zimekaaje?
Maana juzi nilisusa kujiunga airtel nkala machungwa ila huwezi kuepuka kuingia mtandaoni
Mtandao gani huo?Mimi airtel nimewakimbia kuna mahali nipo nacheki cheki kwanza naona kama panafaa.
HalotelMtandao gani huo?
Uko pia utakimbia mda sio mrefu maana na wao ni walewaleHalotel
Siku hizi mbona kawaida tu, bando la wiki ila linaisha siku moja tu.!
Umenikumbusha c++,Matlab, and the like.Hiki kitu nilishawaambiaga humu, unanunua 1GB ila kimsingi unaungwa na qouta ya O.6GB, kwa sisi wenye uelewa kidogo na system zinavyofanya kazi ni rahisi tu, una edit statement tu ya ku display ujumbe unaandika uongo.
Mfano:
if (qouta ==O.6) {
print = "Umefanikiwa kujiunga na kifurushi cha week cha 1GB toka Airtel";
}
Ambacho utaona wewe ni huo ujumbe wa 1GB ila system imekuachia O.6GB kiuhalisia so unakuwa umepigwa 4OOMB bila kujua.
Yeah mzeeUmenikumbusha c++,Matlab, and the like.
Mkuu nipe udau basi naishije nayoThor vpn droid apk ni zaidi ya kulamba asali
Umepigwa aisee kama hutumii instagram au youtube, mie 1.1GB yangu ina siku ya 4 leo 😂😂😂Ya ni kweli nimejiunga jana mchana saa nane GB 1.95 kwa 3000 nashangaa leo wananitumia umetumia asilimia 75% ya GB 1.6 View attachment 2317316
Ziko mbona sahizi sema uwe na 5Ok ya uhakikaKungelikua na wifi unlimited hii mitandao yao tungeachananao kitambo
Hamna tofauti kabisaa afadhali tigo aiseeeHalotel
Ziko mbona sahizi sema uwe na 5Ok ya uhakika
Ndio TTCL wanakuunga kwa 5Ok mkuu 10mbps unlimited ya fibre optic. Kama upo karibu na nguzo ya Tanesco tu hapa mjini unaungwa fastaKwa hapa bongo mkuu?
Ndio TTCL wanakuunga kwa 5Ok mkuu 10mbps unlimited ya fibre optic. Kama upo karibu na nguzo ya Tanesco tu hapa mjini unaungwa fasta
Fanya kuwacheki mkuuBasi sawa mkuu Extrovert , ahsante sana