Wachezaji wa zamani wengi walikua na vipaji haswa kama Method Mogela,China,Gaga Nchi ilikua na watu sana wakina Innocent Haule au Selestine Sikinde Mbunga sema ndio hivyo washindani wetu walikua bora zaidi yetu..wapo wachezaji wa kizazi hiki wana viwango sawa na wale ila Mchezaji kama Dube enzi za kina Kizota Yanga hawezi kupata namba au Sanifu Lazaro Tingisha hiyo Simba ilikua na Viungo kama watano Marsha,George Lukas,Michael Paul naironi inabidi wengine wapewe namba saba ili kupata namba mchezaji kama Lunyamila utampata wapi sasa hivi ngoja niishie hapa maana bado wakina Mbui Yondani wa huko Reli ya Morogoro...