Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

Waorodheshe waliopigwa chini sababu ya dini yao. CCM inakosea kutumia watu wenye changamoto ya afya ya akili kuishambulia CHADEMA
Hili ni tatizo kubwa sana,tena ni hoja ya kizamani zamani,ni propaganda ambayo imepitwa na wakati,propaganda ya hii watu wengine tulianza kuisikia tangu tukiwa wadogo hadi leo tushapita umri wa ujana,jalafu kuna mtu mmoja aniileta upya
 
Chadema chama cha wakiristo wala sembe?
NDIO MAANA MULILUIA Ally Kibao kwa sababu alikataa huo ujinga wa kurudi CCM ili eti aunge mkono juhudi za kidini .
Kwa hiyo Wakristo walioko CCM mtawafukuza maana sio wenzenu .

Huo ubaguzi ndio unaomwaga damu za watu kule Kongo kuwabagua Watusi kwa makabila yao . Sasa Tanzania mnaanza kubaguana kwa dini kwa sababu tu ya madaraka ya Urais .

Hii katiba iliyopo inahitaji kiongozi muadilifu sana lakini kwa hali iliyopo haifai kabisa kuendelea kutumika maana inatoa mwanya kwa Rais kuweka magenge ya hovyo kwa ajili ya kumuunga mkono . Tunaona hata suala la Bandari liligubikwa na itikadi za kidini wakati kuuza mali za nchi .

Watu wanajenga hoja za msingi wanatokea watu waliohongwa pesa na wanaojua kuwa nje ya uongozi wa kihuni hawana nafasi wanaleta hoja za kidini . Hata maoni na dua za mashekhe wa kumwombea Rais aliyepo ashinde yanashangaza sana maana yanaonekana kuna agenda zinatembea chini chini za kidini na kudanganya watu kuwa watu wanaokosoa yule kwa sababu ya dini yake . Eti atashinda kama alivyoshinda suala la kuuza bandari . Hivi suala la bandari lilikua ni suala la uchaguzi au ni maamuzi yaliyojaa Rushwa .

Ni wapo mliona mwekezaji akiwasafirisha mpaka wabunge ,wasanii ,waandishi wa habari na machawa kwenda kupigania uwekezaji usio na maslahi . ?

Mbona Rais wa Bukinafaso watu wote wanaona anavyofanya kwa kutumia rasilimali za nchi yake na sio kuuza kila kitu kwa wageni ?
Mbona amelipa madeni na sio kukopa kama wa kwetu kwenye nchi yenye amani na rasilimali nyingi kama Tanzania . ?
Yaani tunadilishiwe shule kwa nyumba za ibada ndio tunaona tumepata maendeleo ?

Kilaa Rais angeuza mali za umma kwa sababu ya ubinafsi unaojificha kwenye dini hii nchi tungeikuta ikiwa vipande vipande .

Wazungu na waarabu wanatudhatau sana . Wenzetu wanawaza teknolojia na maendeleo sisi tunabaguana na kuendekeza dini zao wakati wao hawana habari nazo linapokuja suala la uchumi . Leo hii kama Saidia Arabia ni Sehemu ya waumini wote basi jaribu kuhamia ukaishi huko uone kama utafurahia dunia kama anavyoishi kwenye ardhi yako aliyokuumbia Mungu ya Afrika . Tunadanganywa wanapotaka kutuibia na kutawala ila kifupi hata Waumini wa Maka hawapendi wageni wasio waarabu zaidi ya kuona wanakuja kama watalii na sio kuwa wanawaza imani maana kinachofanyika pale ni ushirikina .

Ndio maana wakati wa Korona wa alizuia Watalii wasiende maka na Hoja ikazuiwa .

Jiulize kama wanasema ukifika mpaka unaenda peponi moja kwa moja ,sasa nani hataki kwenda peponi?
Tafakari sana na uachane na ubaguzi wa kidini ?
Kama nyie hasikilizi sera za vyama na kuhitaji mabadiliko basi waache Wanaopenda mabadiliko kwa sababu hata Zambia ,Malawi , Zimbabwe ,Kwenye n.k. Kuna wakristo wengi lakini wanafanya uchaguzi na wanapingana kwa hoja na vyama vinaangushwa bila kujali kuwa rais ni mkristo au mpagani .Wanachoangalia ni haki ,maendeleo na usawa na kupinga dhulma zilizojaa watawala wengi kwa uroho wa kujilimbikizia mali na upendeleo wa marafiki na ndugu huku wakitumia nguvu kuficha uovu wao usifahamike kama wanavyomuumiza Dr.Slaa .
Mungu ni wa wote na hana dini bali anataka Haki isimame kwa wote bila kujali dini .
 
Umeandika mengi utumbo mtupu. Swali dogo sana wala halihitaji ukurasa wa kujibu
 
Udini maana yake nini? Lissu anapoenda kwa masheikh kuomba msamaha huwa anafanya udini?
Huna hoja, wewe ni mpuuzi tu ambaye masaa 24 unawaza kumshambulia Lissu tu, ulifanya hivyo wakati wa mchakato wa uchaguzi wa Chadema ukaangukia pua bado hujajifunza tu kuwa kazi uliyoifanya usiku kucha haikuwa na tija yoyote na bado unaendeleza upumbavu huo huo hii ni ishara kuwa una mtindio wa ubongo.
 
Back
Top Bottom