Uongozi ni akili si mabavu, hongera Rais Samia!

Hakuna kitu serikali imepatia kama kuamua kushusha makato ya 42% ya transactions za miamala ya simu. Kutoa makato ya juu ya 7,000/= mpaka kiwango cha juu kuwa 4,000/=

Hii akili ni ya Makamu Wa Rais, wala sio akili ya Waziri Wa Fedha Mwigulu Mchemba.
Kwamba hujaona ile 3000 kwenye kingamuzi ama ndo umepigwa chenga ya mwili?
 
King'amuzi sio basic need kama transactions na hata hivyo Kodi pale ni Kati ya 1,000-3,000 yaani Kwa mwaka sio zaidi ya 36,000..

Kwenye miamala miwili tuu ilikuwa inazidi hayo makato kwa hiyo ni nafuu..👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220615-092502.png
    Screenshot_20220615-092502.png
    189.4 KB · Views: 6
Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023.

Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha.

Hakika serikali imeonesha nia ya kubana matumizi kwa akili kubwa sana. Jana ndio nilijua hivi kumbe Kuna watu wanalipwa mishahara ambayo hawaifanyii kazi?

Yaani ndani ya halmashauri moja wanaweza kua watu 14 wanalipwa mshahara wa mkurugenzi ilihari sio wakurugenzi eti kisa huko nyuma waliishakua wakurugenzi kisha wakayenguliwa?

Kwahiyo ndani ya wizara moja unaweza kukuta watu zaidi ya 20 wanalipwa mshahara wa katibu mkuu ilihari wako na kazi zingine? Unakuta mhasibu analipwa mshahara wa mkurugenzi?

Nashauri serikali itengue hilo mara moja itasaidia pia mtu kulinda cheo chake kwa kuongeza ufanisi kazini.

Vilevile naafiki swala la kuwakopesha magari watumishi wenye hadhi ya kuwa na magari katika majukumu yao, hii itasaidia kabisa utunzaji wa mali hizo naomba pia hata wale maafisa kilimo watendaji nk hata wao wasipewe pikipiki za serikali isipokua wakopeshwe!

Nawaomba wabunge wote kwa pamoja muipitishe hii bajeti kwa kishindo.

Hongera Rais Samia hongera serikali ya Tanzania
Ndio mkuu. Kuongozwa ki babe ki shamba huwezi kukuta wataalamu wakitumika kudadavua mambo. Akili kubwa zikiwa mali ya raisi na.akaziweka huru kupambanua mambo mbona tutapiga hatua. Ila ile style ya kumsifu na kumuabudu mtu. Tutalizila taifa. Hongera kwa Mhe raisi
 
Hahahah..Magufuli aliondoa wafanya kazi hewa ili kuondoa matumizi ya hovyo. Samia wako anawarudisha.

Ila kazi mnayo.. kupambana na marehemu.
Hatupambani na Mwendazake aneoza huko bali tunapambana na masalia wake mnaoitwa Sukuma gang...

Mwendazake alifukiza watumishi badala ya kufukuza wezi na kukata matumizi ya serikali..

Alitumbua na kuacha watu aliowatumbua anawalipa pesa zile zile..

Aloshindwa kudhibiti upigaji kiasi kwamba alivyoaibishwa na CAG akamfukuza..

Alishindwa kuajirizkupandisha madaraja,kuongezea mishahara,kutoa elimu bure hadi form six na alishindwa kukamilisha miradi aliyoita ya kimkakati..

Narudia tena Samia anazidi kuwaaibisha,miradi ya zamani anaisukima,mipya anaanzisha na sekta zingine zote zinasonga mbele..

Chezea Samia wewe ,wizara ya Kilimo bajeti kutoka bil.290 hadi bil.950 💪💪
 
Attachments

  • Screenshot_20220615-092451.png
    Screenshot_20220615-092451.png
    117.3 KB · Views: 5
King'amuzi sio basic need kama transactions na hata hivyo Kodi pale ni Kati ya 1,000-3,000 yaani Kwa mwaka sio zaidi ya 36,000..

Kwenye miamala miwili tuu ilikuwa inazidi hayo makato kwa hiyo ni nafuu..👇
Akili yako bana.

Mbona wakati sisi tunalalamikia tozo wewe unaashangiliatu?, Ulikuwa umeweka wapi kichwa?.

Hata sasa hiyo bado kubwa mno.
 
Sijawahi laumu hizo transactions kwa sababu Kwangu zimeleta tija zaidi kuliko hasara..

Hata hapa serikali imeshusha sio kwa sababu ya kuwaletea nyie unafuu bali kwa ajili ya kuvutia watumiaji wengi zaidi na kukusanya Kodi zaidi...

Kwa sababu hata wakiwaachia hizo miamala ambazo mtu anafanya sio zaidi ya mara 3 Kwa mwezi ukiacha manunuzi ya vocha hazitawasaidia kitu chochote tofauti na Serikali ikozikusanya zimeleta tija kama barabara,vituo vya afya nk...

Wewe ukiachiwa utakuta uko track miamala mwaka mzima hata 150,000 haifiki Sasa hii itakusaidia nini wewe?
 
Hakuna kitu serikali imepatia kama kuamua kushusha makato ya 42% ya transactions za miamala ya simu. Kutoa makato ya juu ya 7,000/= mpaka kiwango cha juu kuwa 4,000/=

Hii akili ni ya Makamu Wa Rais, wala sio akili ya Waziri Wa Fedha Mwigulu Mchemba.
Mwakeye! wewe utakuwa muha. Ndugu yake Yamungu Kayanzabila.
 
Hakuna kitu serikali imepatia kama kuamua kushusha makato ya 42% ya transactions za miamala ya simu. Kutoa makato ya juu ya 7,000/= mpaka kiwango cha juu kuwa 4,000/=

Hii akili ni ya Makamu Wa Rais, wala sio akili ya Waziri Wa Fedha Mwigulu Mchemba.
Hiyo elfu 3 wameihamishia kwenye kisimbusi!

Watz ni mataahira
 
Sijawahi laumu hizo transactions kwa sababu Kwangu zimeleta tija zaidi kuliko hasara..

Hata hapa serikali imeshusha sio kwa sababu ya kuwaletea nyie unafuu bali kwa ajili ya kuvutia watumiaji wengi zaidi na kukusanya Kodi zaidi...

Kwa sababu hata wakiwaachia hizo miamala ambazo mtu anafanya sio zaidi ya mara 3 Kwa mwezi ukiacha manunuzi ya vocha hazitawasaidia kitu chochote tofauti na Serikali ikozikusanya zimeleta tija kama barabara,vituo vya afya nk...

Wewe ukiachiwa utakuta uko track miamala mwaka mzima hata 150,000 haifiki Sasa hii itakusaidia nini wewe?
Ukiona serikali nafanya maamuzi leo afu kesho inabadili afu inabadili tena ujue haina mwelekeo.

2025 TUNAANDIKA Tanzania is SOLD (imeuzwa).. mwaka huu budget ya mkopo Trillion 13,.. mara miaka mmne ijayo 52,
 
Hakuna kitu serikali imepatia kama kuamua kushusha makato ya 42% ya transactions za miamala ya simu. Kutoa makato ya juu ya 7,000/= mpaka kiwango cha juu kuwa 4,000/=

Hii akili ni ya Makamu Wa Rais, wala sio akili ya Waziri Wa Fedha Mwigulu Mchemba.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Sijawahi laumu hizo transactions kwa sababu Kwangu zimeleta tija zaidi kuliko hasara..

Hata hapa serikali imeshusha sio kwa sababu ya kuwaletea nyie unafuu bali kwa ajili ya kuvutia watumiaji wengi zaidi na kukusanya Kodi zaidi...

Kwa sababu hata wakiwaachia hizo miamala ambazo mtu anafanya sio zaidi ya mara 3 Kwa mwezi ukiacha manunuzi ya vocha hazitawasaidia kitu chochote tofauti na Serikali ikozikusanya zimeleta tija kama barabara,vituo vya afya nk...

Wewe ukiachiwa utakuta uko track miamala mwaka mzima hata 150,000 haifiki Sasa hii itakusaidia nini wewe?
Ukiona mtu anajiangalia yeye kimaslahi basi yeye ni mchawi, kwako zemeleta tija lakini sio kwa majority
 
Sijawahi laumu hizo transactions kwa sababu Kwangu zimeleta tija zaidi kuliko hasara..

Hata hapa serikali imeshusha sio kwa sababu ya kuwaletea nyie unafuu bali kwa ajili ya kuvutia watumiaji wengi zaidi na kukusanya Kodi zaidi...

Kwa sababu hata wakiwaachia hizo miamala ambazo mtu anafanya sio zaidi ya mara 3 Kwa mwezi ukiacha manunuzi ya vocha hazitawasaidia kitu chochote tofauti na Serikali ikozikusanya zimeleta tija kama barabara,vituo vya afya nk...

Wewe ukiachiwa utakuta uko track miamala mwaka mzima hata 150,000 haifiki Sasa hii itakusaidia nini wewe?
Mimi kwangu na hata ndugu zangu 1000 inatosha mlo mmoja.
 
Yaani unamaanisha kufuta ada ya 70,000 na kuweka kodi siyo rasmi kwa kila raia nchini siyo - yaani tutamsajili bodaboda na tutamtaka kwa siku atupatie walau trip moja tu ya buku mbili kati ya trip 15 zake kwa siku tu kupitia TIN yake, vivyo hivyo mama ntilie naye atupatie nusu sahani ya wali yaani 1000 kati ya 10 anazouza kwa siku.

Kama tuna bodaboda nchi nzima wapo 5,000,000 piga hesabu mzee kwa siku
Kama tuna mama ntilie 1,000,000 nchi nzima piga hesabu.

Kweli hiki ni chanzo kipya tena cha uhakika.

Kweli hii ni akili kubwa !!
 
Ukiona serikali nafanya maamuzi leo afu kesho inabadili afu inabadili tena ujue haina mwelekeo.

2025 TUNAANDIKA Tanzania is SOLD (imeuzwa).. mwaka huu budget ya mkopo Trillion 13,.. mara miaka mmne ijayo 52,
Unaelewa maana ya budge plan ya kila mwaka? Wewe ni mweupe kichwani ndio maana unaropoka vitu usivyovojua eti inabadilisha kila mwaka kwa hiyo haina muelekeo 😄😄

Vyovyote utakavyoandika hakuna utakachobadili,unajihangaisha tuu..Rais ni Samia hadi 2030 keshafunika legacy.

Pili uliwahi kuona Nchi ipi ambayo imeendelea bila mikopo? Harafu hiyo 13T umeitoa wapi? Nionyeshe hapa kwenye summary ya Mapato na matumizi ya Serikali maana mikopo kuna 8.8T👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220614-224601.png
    Screenshot_20220614-224601.png
    48.5 KB · Views: 4
Wewe ni kajinga na hopeless Sana,kwa hiyo vituo vya afya na barabara na maji ni maslahi binafsi?
Sijawahi ona akili ya kingese kama yako, nanukuu umesema zimekuletea tija kohoro wewe, ni kwanini watu wenye kipato cha chini ziwaumize kwenye tozo wakati vyanzo vya mapato vipo vingi tu, unafanyaje kuweka ugumu wa mzunguko wa pesa ndani ya jamii, madini yameleta manufaa gani hasa tangu sheria za uchimbaji zimepitishwa mjinga wewe
 
Back
Top Bottom