Pre GE2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hongera sana mh. Paul Makonda. Ungekuwa na mamlaka ya juu zaidi, kukatika kwa umeme kusingekuwepo, ubabaisha katika kazi za umma usingekuwepo kama ilivyokuwa wakati wa JPM.

Mungu azidi kukupa nguvu na kukulinda.
This is all chess...

Tuwe na subra 2025 ipite
 
Makonda anajua kushawishi na ana ushawishi kuliko kiongozi yeyote kwa sasa.

Hofu yangu ni kwamba anakiuka miiko ya chama chake na kanuni ya kwamba "never out-shine the master" yaani usifanye ukamzidi mkubwa.

Pia inanikumbusha Mzee wa Monduli ni kijana wa Mjini Born Town. Na sote tunajua what was the end!

Kwa hili la huyu kijana ni ngumu kutabiri yajayo!
 
Kwa jinsi anavyojiamini lazima kuna plan
 
#makonda nitafute nikushauri huwa unakoseaga wapi na unatakiwa uweje serious utakuja ni shukuru
 
Ujuaji mwingi sana je huyo makonda anakufira?
 
Namkubali sana Makonda, yaani ni kiongozi hasa, anajua kuona mbali maana hata Dkt Samia ni yeye aliyemnenea mema na mpaka akawa rais. Kwa ufupi Makonda ni Nabii. Mungu amlinde sana ampe maisha marefu na hatimaye aje kuwa rais wetu wa JMT.
Husimwite tu nabii, mpe cheo cha mh. Mungu itafaa zaidi. Uchawa ni kipaji!! Katenda jambo gani la maana hadi asitahili hizi sifa zote? au kule kuwaita /kuwapigia simu watendaji na viongozi wa serikali majukwaa kunatosha kuonyesha uongozi wa mtu? Vipi kuhusu wale wanaofuatilia uongozi na utendaji wa wateule na kuwaonya au kuwachukulia hatua kimyakimya bila kudhalilisha utu wao, je, hawafai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…