Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hawa ni chawa wanaolipwa. Huko anakopita anatisha Watendaji walete watu katika mikutano
Kwa mfano, hivi Mganga mkuu wa Mkoa anakuwaje katika mkutano wa CCM!
Pili, hivi si alikuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM. Kipi alichofanya kikafanikiwa!
-Wanaume walazimishwe kupima tezi dume! utterly stupid
Orodha inaendelea
- Wanawake wataje waliowapa mimba ! Hatujui iliishia wapi
- Idadi ya wauza Unga- hakuna hata mmoja aliyepigwa faini ya Tsh 20/=
Kubwa zaidi, atuambie walipo watu wetu na wale wa Viroba ni akina nani
Makonda ana akili ndogo sana. Yaani anaamini hawa wachache aliowaleta humu JF watabadilisha ukweli wa yeye kuwa jambazi kupindukia. Yaani muuaji, leo aanze kusifiwa kuwa ana kipaji cha uongozi. Hivi kuwa jambazi au muuaji, nayo ni karama?