Mtaishia kuzagamuana tu😊#makonda nitafute nikushauri huwa unakoseaga wapi na unatakiwa uweje serious utakuja ni shukuru
Wa kupewa pole ni wewe, yaani pamoja na udhaifu wa Samia ktk uongozi huwezi kumlinganisha na Makonda.Kwako unaona bora Samia kuwa Rais kuliko Makonda?Nakupa pole kwa chuki zako,zisizo na sababu.
Mbio za 2025 kila mtu na fomesheni zake...... Ndani kuna makundi humo...... Jamaa anajua anachokifanyaNi mbaya sana kiongozi mdogo zaidi kuwa maarufu kuliko kiongozi mkubwa zaidi.
Asije akawa anatumika kumvuruga Mama Kizi as inside jobMbio za 2025 kila mtu na fomesheni zake...... Ndani kuna makundi humo...... Jamaa anajua anachokifanya
Anaweza akawa anavuruga au akawa anamtengenezea yote yanawezekana ila hadi ifike 2025 tutajuaAsije akawa anatumika kumvuruga Mama Kizi as inside job
Tanzania bado sana kijana wa leo anaangalia kuwa kuna mtu hajafanya kazi yoyote mbali ya kuwa chawa anakaa katika kamati kuu ya chama cha serikali tawala. Huyu kijana utamwambia aende shule akasome atakubali ? Utamwambia ajitume afanye kazi yeyote hata ya kubeba zege atakubali ? Hivi vitu kama serikali hawavifikirii, kizazi kinateketea. Hii nchi watu wote waliokuwepo hapo juu wapo hapo kisa uchawa na sio kitu kingine. Hawajangalia elimu au uwezo wa uongozi. Wanachoangalia ni kama wanaemteua anafaa kuwa kikaragosi cha Rais.Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi.
Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?.
Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?.
Katibu Mwenezi tu, lakini kazi anayopiga, Uthubutu alonao , kwanini asipendwe ?.
Inawezekana akawa wa Maneno tu, pengine utekelezaji ukawa Mdogo kwakua watekelezaji ndio wanaomkwamisha ..Lakini kitendo Cha Uthubutu wake ,bila kujali nafasi yake, kunatosha kabisa kumpa Sifa ya Ubora wa Uongozi.
Ziara za Makonda, zinaendelea kuonyesha ,nini Wananchi wanataka, watu wanajisikia Amani, wanaona wanajaliwa, wanakua na tumaini .
Laiti kama Kuanzia Wenyeviti wa mitaa , mpaka mawaziri , Watumishi wote wa umma, wangezijua nafasi zao , Ni wazi , Ziara za Makonda zingekutana na malalamiko kidogo.
Mungu akulinde sana Mh Paul Makonda . !!.
Ni vizuri ila kiukweli kwenye kazi nipogi serious sanaMtai
Mtaishia kuzagamuana tu😊
No anafeligi tu watu wanakuwa hawampi full trust. Ila nikimpanga walahi next president ni makonda nipo serious sitaki serious nataka kumuelekeza vitu fulani tu atakuja kunishukuru one dayHadi amefikia hapo karata zake anazicheza vizuri
Kazi ipi wewe maua😃Ni vizuri ila kiukweli kwenye kazi nipogi serious sana
Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi.
Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?.
Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?.
Katibu Mwenezi tu, lakini kazi anayopiga, Uthubutu alonao , kwanini asipendwe ?.
Inawezekana akawa wa Maneno tu, pengine utekelezaji ukawa Mdogo kwakua watekelezaji ndio wanaomkwamisha ..Lakini kitendo Cha Uthubutu wake ,bila kujali nafasi yake, kunatosha kabisa kumpa Sifa ya Ubora wa Uongozi.
Ziara za Makonda, zinaendelea kuonyesha ,nini Wananchi wanataka, watu wanajisikia Amani, wanaona wanajaliwa, wanakua na tumaini .
Laiti kama Kuanzia Wenyeviti wa mitaa , mpaka mawaziri , Watumishi wote wa umma, wangezijua nafasi zao , Ni wazi , Ziara za Makonda zingekutana na malalamiko kidogo.
Mungu akulinde sana Mh Paul Makonda . !!.
Huyu mwamba huyu!
Itoshe tu kusema Mungu amsaidie na kumlinda maana hakuna vita ngumu kama kupambana na mkoloni mweusi a.k.a mafisadi.
Kama unafuatilia ziara ya Katibu Mwenezi wa CCM, Mh. Paul Christian Makonda, utagundua mikutano yake imekuwa inafurika watu wengi sana kutokana na kile anachokifanya. Makonda amejitanabaisha kama mtetezi wa Watanzania wa hali ya chini na wanyonge ambao kwa bahati mbaya sana ndo wengi hapa nchini.
Aidha amekuwa akisisitiza watendaji wa serikali na sekta binafsi hasa wanaoshughulika na wananchi moja kwa moja kuhakikisha wanawajibika ipasavyo kwa akili ya kuwatumikia wanachi hawa wanyonge.
Ni mafisadi tu na wenye roho mbaya ambao watakuwa kinyume na Mh. Paul Christian Makonda kwa hii kazi nzuri anayoifanya.
Japo ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba hawezi na hatoweza kumfikia kila mhitaji katika nchi hii, lakini kwa hiki anachokifanya kwa kweli anastahili pongezi. Ni mfano mzuri na angalau wananchi watapata sehemu ya kukimbilia tena baada ya Rais wao waliyemchagua kwa kura nyingi kuwaacha katika mazingira ya kutatanisha!
Ee Mungu wa Mbinguni, mlinde PCM na umjalie Hekima mtumishi wako anaposhughulika na kuwatumikia watu wako,
Amin.
You are not supposed to be so blind Kwa sababu ya unafiki that you can't face the reality!!.
Ukweli ni Kwamba, Makonda ni Nyota ya Asubuhi.
Uthubutu alonao, licha ya nafasi hiyo , ni wazi kwamba katika Nafasi kubwa, TAIFA LITAJAA HAKI .
..kama tumefikia kuamini Makonda anafaa kuwa kiongozi hapa nchini basi tuna tatizo kubwa sana.
Kwako unaona bora Samia kuwa Rais kuliko Makonda?Nakupa pole kwa chuki zako,zisizo na sababu.
Hawa ni chawa wanaolipwa. Huko anakopita anatisha Watendaji walete watu katika mikutano..kama tumefikia kuamini Makonda anafaa kuwa kiongozi hapa nchini basi tuna tatizo kubwa sana.