Pre GE2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Makonda ana akili ndogo sana. Yaani anaamini hawa wachache aliowaleta humu JF watabadilisha ukweli wa yeye kuwa jambazi kupindukia. Yaani muuaji, leo aanze kusifiwa kuwa ana kipaji cha uongozi. Hivi kuwa jambazi au muuaji, nayo ni karama?
 
Makonda ana akili ndogo sana. Yaani anaamini hawa wachache aliowaleta humu JF watabadilisha ukweli wa yeye kuwa jambazi kupindukia. Yaani muuaji, leo aanze kusifiwa kuwa ana kipaji cha uongozi. Hivi kuwa jambazi au muuaji, nayo ni karama?
Kama utakumbuka akiwa RC alikuwa na Ofisi ndani ya ''Private Firm'' na akawa na ugomvi na media zingine kwasababu hazikutaka kushiriki habari zake. Ni mtu anayejua media ni muhimu kusafisha na kukuza taswira yake.
Huku mitandaoni kajaza watu wake kila siku wanampamba.

Kwa bahati mbaya hawa Wapambe hawana utaalam au mikakati , ni wasakatonge
Kadri wanavyodhani wanafanya ' publicity ' ndivyo wanavyomchafua kwasababu rekodi yake inavutwa mezani halafu hawana utetezi, wanakimbia. Baada ya wiki inajirudia tena, na kila inapojirudia inamchafua
 
Makonda labda ana kalamu sio karama..

It is a genuine fact huyu mtu ni empty suit.
 
Watu wanampinga Makonda,

Kuna faida gani Kumficha Samia Maovu yanayotekea au Yanayofanywa na watu wa chini yake?
 
No anafeligi tu watu wanakuwa hawampi full trust. Ila nikimpanga walahi next president ni makonda nipo serious sitaki serious nataka kumuelekeza vitu fulani tu atakuja kunishukuru one day
hehe ukimpanga...........,,,,,,,,,haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…