Uongozi siyo sura. Fuateni nyayo za waziri wa Sudan Mobior Garang

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Mobior Garang mtoto wa rais wa kwanza wa Sudan Kusini, alikuwa waziri wa maji na alifanikiwa sana kuhakikisha kila mahali nchini kwake Kuna maji.

Hapa bongo kwa muonekano wa huyu mshikaji hata ubalozi asingepewa na angeozea jela.

1671117917178.jpg

1671117926695.jpg

1671117932976.jpg
 
Hapa bongo kwa muonekano wa huyu mshikaji hata ubalozi asingepewa na angeozea jela. kwanini mkuu😂😂
 
Uwaziri aliupataje? Alipiga kampeni Kama wafanyavyo wakwetu huku? Ungekuwa unaombwa kura ungemchagua?
 
Huyo hata Sudan Kusini ameshawahi kuondolewa kwenye vikao vya baraza la mawaziri mara nyingi tu kisa aina ya uvaaji na pia ameshawahi kutuhumiwa kuwa anatumia madawa ya kulevya. Kiufupi bangi haiwezi kumuacha mtu salama.
 
Uwaziri aliupataje? Alipiga kampeni Kama wafanyavyo wakwetu huku? Ungekuwa unaombwa kura ungemchagua?
Ni mtoto wa baba wa taifa la Sudan kusini mzee John Garang aliefariki kwa ajali ya helicopter nchini Uganda
 
Kwa wasiomjua wataona Yuko sawa but in reality yupo na matatizo Kwa maana anatumia mihadarati. Nina mfahamu hapa kabla ya kujiunga na waasi wa SPLM 2 na Machel mpaka baada ya mazungumzo ikabidi apewe uwaziri ili waahirikiane na serikali ya Salva kirr. Namfahamu tangu akiwa Nairobi.
 
... ila kuna kaukweli; hawezi kuwa normal 100%; muonekano tu he seems to have problems.
 
Kwa wasiomjua wataona Yuko sawa but in reality yupo na matatizo Kwa maana anatumia mihadarati. Nina mfahamu hapa kabla ya kujiunga na waasi wa SPLM 2 na Machel mpaka baada ya mazungumzo ikabidi apewe uwaziri ili waahirikiane na serikali ya Salva kirr. Namfahamu tangu akiwa Nairobi.
Taarifa za tajiri muulize mlalahoi[emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom