Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Unamfahamu vipi yaani...Kwa wasiomjua wataona Yuko sawa but in reality yupo na matatizo Kwa maana anatumia mihadarati. Nina mfahamu hapa kabla ya kujiunga na waasi wa SPLM 2 na Machel mpaka baada ya mazungumzo ikabidi apewe uwaziri ili waahirikiane na serikali ya Salva kirr. Namfahamu tangu akiwa Nairobi.