Uongozi wa Magufuli umeacha madoa mabaya kwa CCM Taifa

Dom watu sasa hivi wanalia, wote washakimbia huko hakuna hata anayepatamani!
Hayo mengine sijui Stgler, Mfugale n.k mataga na sukuma gang ndiyo mnayojitetea nayo mnaposhindwa kujibu hoja za msingi!
Ilikuwa miradi ya kupigia pesa ya umma
 
Hiyo miradi ilikuwa inampa pesa sn
 
Yaani wewe unamuimbia saa8 ,ama ndiye Ana thamani pekee ,wapo wengi waliopotea kuliko huyo
 
Nyumbu badilikeni, ushabiki maandazi wa hapa JF hautawasaidia. Sasa Magufuli awaue viongozi wa dini ili iweje? Kwa mamlaka ya urais ya nchi kama Tanzania, rais akitaka mtu afe itashindikana kweli? Mimi hata mgambo sijapita ila kuua mtu ni dk 0 sembuse serikali? Nyumbu badilikeni.
 
Uongozi wa kikwete wa awamu ya nne ndo uliichanachana chupi la ccm ,magufuli ndo alikuja na sindano nakushona chupi la ccm na kuipa heshima ya ccm ikaondokana na fedhea ya zomeazomea nzi wa kijani , hao type ya kina mwingira ni zile zile fake pastors na fake nabiis.
 
Ukiwa mwizi hutampenda police hata siku moja.
Hao viongozi wa dini wenye madhambi ndio wenye shida na magufuli na sio wale wenye kujua wajibu wao.
Ukifualilia historia ya huyo mwingira utakuta ana mashambulizi tangu kipindi cha nyuma kwa serikali hata kabla ya magufuli.
Alichofanya Magufuli ni kupiga pini mambo yao ya kifisadi ndio maana walimchukia zaidi.
 
Yani nyie kila anaeanika ubaya wa magufuli mtasema ni mbaya hata papa wa kanisa katoliki akianika ubaya wa gufuli lenu mtasema papa fisadi papa gaidi.
 
Ila yeye kaondoka kawaacha bado wanakula nchi
 
Ajabu wenye hela ndiyo wanalilia kweli! Kweli aliwaambia kama tajiri ulijihisi unaweza kufanya chochote basi kwasasa nawewe utafanywa chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni maisha ya watu wangapi yamepotea/yanapotea kila siku kwa ukosefu/uduni wa miundombinu?

Hautaki kabisa kujibidiisha kujua kwa kujenga miundombinu hiyo ni maisha ya watu wangapi yameokolewa? Ni maisha ya watu wangapi yamekuwa bora zaidi?

#kataawahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…