Huna akiliNani kakudanganya Adolf hakumbukwi German na chama chake cha nazi?
Hakumbukwi na wahuni wa NATO na vibaraka wao wa kiyahudi ndio sababu hadi wametunga sheria kuzuia watu kumkumbuka lakin bado maarufu
Ikulu kulikuwa na shetani.....by Askofu MwingiraWewe utakuwa na matatizo maana kila posti unaonesha chuki get a life niga Maisha yako hayajengwi na wanasiasa au MTU mwingine nakuona kila posti unaonesha chuki Tu.
shukrani ya nini?...hatukumshikia bakora awe rais wa tz....ni kiherehere chake. atalaumiwa vizazi na vizazi kwa ukatili wake.Mabaya gani? Binadamu hana shukrani.
Nilifikiri utaweka uthibitisho, kumbe porojo tu. 😁KWa Taarifa yako vikija vyombo huru hasa toka nje ni muda mfupi sana ushahidi usioacha shaka utawekwa, au kama ni hapa nchini kufanyike mabadiliko ya kiutawala hasa mapinduzi au chama pinzani kiingie madarakani, hayo yote yanawekwa wazi. Ni hivi, alikuwa ni rais muovu na hilo halina mjadala.
Serikali ya Japan ilikataa kusalimu amri bila masharti.Kwa taarifa yako askari wa Japan walikuwa katili sanaNdio ulivyotenengenezwa kuamini hivvyo bdio sababu Rais wa Marekan alieamuru mabomu ya Nuclear kupigwa kwa Raia wa Japan hayupo kwny orodha yako ya watu katili
Rais wa Marekan alieamuru kuteketeza wanyonge kule Vietnam hayupo kwny orodha ya watu wako katili
Huo ndiyo UJINGA wa Watanzania, unamshukuru Rais kwa kutimiza majukumu ambayo wewe mwananchi ambaye ndiye mwajiri wake ulimtuma atekeleze. Na umempa na kodi zako ndiyo anajengea.Madoa ya Stglers Gauge, Mfugale na kijazi Flyover, Reli ya mwendokasi, kuhamia Dom, Hospital kubwa za kikanda, ukosefu wa mgao wa umeme.nk hayawezi kufutika
Mwendazake ameacha majeraha kwa Watanzania wengi baada ya kuwavurugia mipango yake ya maisha. Legacy yake itakuwa ni Rais wa Tanzania aliyekuwa muuaji, mwizi, mwongo, mkandamizaji wa demokrasia ambaye alikataa uwapo wa COVID19 na akafa kwa hiyo hiyo COVID19.Kuna kitu tu
Maana munajitahidi saana kuchafuwa jina la magufuli
Ili muhinuwe wa kwenu
Ukweli ni kwamba huo mzimu wa magufuli utatowa watu madarakani
Ni macho yetu
Izi zote ni propaganda tu kumchafuwa ili wale walihokuwa na mapenzi ya dhati kwake wa mchukie
Huo ndiyo UJINGA wa Watanzania, unamshukuru Rais kwa kutimiza majukumu ambayo wewe mwananchi ambaye ndiye mwajiri wake ulimtuma atekeleze. Na umempa na kodi zako ndiyo anajengea.
Mbona Marais wengine wamefanya makubwa sana kuliko hayo na hwakuua watu, hawakuzuia uhuru wa habari, hawakuiba chaguzi kizembe hivyo??
Mwendazake ameacha majeraha kwa Watanzania wengi baada ya kuwavurugia mipango yake ya maisha. Legacy yake itakuwa ni Rais wa Tanzania aliyekuwa muuaji, mwizi, mwongo, mkandamizaji wa demokrasia ambaye alikataa uwapo wa COVID19 na akafa kwa hiyo hiyo COVID19.
Kwani akina Mkapa na Nyerere hawachafuliwi bali yeye tu? Msitoe akili nyie misukuleNi propaganda izo magufuli akuua mtu bali ni propaganda za watu kuchafua utawala wake
Au wao ndo walikuwa wanafanya ivyo wanadanganya ni magufuli
Miaka 5 kawapeleka watu Mhakamani na wakashikiliwa rumande. Mpaka anakufa hakuna hata mmoja ambaye Mahakama ilithibitisha kuwa ni fisadi.Sema ameacha majeraha kwa wezi , majambazi, matapeli, mafisadi na wengine wengi kama wewe
Usiseme kwa watanzania
Mambo ambayo mlikuwa mnafanya nini
Mnadanganya magufuli
Ma Rais wote Duniani wanaosifiwa wanasifiwa kwa kutekeleza majukumu yaoHuo ndiyo UJINGA wa Watanzania, unamshukuru Rais kwa kutimiza majukumu ambayo wewe mwananchi ambaye ndiye mwajiri wake ulimtuma atekeleze. Na umempa na kodi zako ndiyo anajengea.
Mbona Marais wengine wamefanya makubwa sana kuliko hayo na hwakuua watu, hawakuzuia uhuru wa habari, hawakuiba chaguzi kizembe hivyo??
Serikali ya Japan ilikataa kusalimu amri bila masharti.Kwa taarifa yako askari wa Japan walikuwa katili sana
Huna akili
Makaburu waliijenga sana SA lakini mpaka Sasa tumeshawasahau sembuse JIwe?Madoa ya Stglers Gauge, Mfugale na kijazi Flyover, Reli ya mwendokasi, kuhamia Dom, Hospital kubwa za kikanda, ukosefu wa mgao wa umeme.nk hayawezi kufutika
2012 alikua ni Magufuli?Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list. Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho tunaiomba serikali kupitia vyombo vyake vya udhibiti watu aina ya magufuli wasipewe milele uongozi wa juu katika taifa letu hasa katika nyakati hizi ambapo hatuna katiba bora.