GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilikuwa sijui Mkuu na Asante sana kwa hii taarifa. Vipi na kwa Dimpoz nae je, alikuwa Simba SC kwa ajili ya Manara pia au?Huyo mobeto ni Yanga wa kuzaliwa,kipindi kile manara tu ndio alimshawishi akawa kolo
Ommy ni mwajiriwa wa GSM, kwani ukiwa mwajiriwa wa moja ya miradi ya Mo au Bakhressa huruhusiwi kuwa shabiki wa Yanga?Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC kutwa tu Wao wapo na Watu wa Yanga SC ( tena wale Mafia ) kabisa? Hili mmelitathmini kwa umakini?
Hivi kama akina Dimpoz na Mobeto hadi mambo ya Ndani ya Simba SC wanayajua Simba SC yetu itakuwa salama?
Niliona na Nilicheka sana Mkuu.GSM family ni Simba,Manara ni Simba,Ommy Dimpoz na Mobeto ni Simba,hapo wanaotakiwa kuwa na hofu nu Yanga,maana wapo hapo kwa njaa tu,wakishiba wanarudi unyamani,juzi huyo mzungu pori kwenye press kajisahau akasema namnukuu""tofauti yetu sisi na Yanga ni kuwa sisi tuna watu makini""ALivyoona kakosea akazuga kama anajikuna hivi
Ile alijichukia kweli maana kajisahau katoa ya moyoni, na hata akilewa bangi na shisha huwa anasema kuwa "jamani mnisamehe tu kuikandia Simba maana pale nipo mgodini lakini siku nikiondoka nitalipiza haya yote ninayoisema club ya moyo wangu"GSM family ni Simba,Manara ni Simba,Ommy Dimpoz na Mobeto ni Simba,hapo wanaotakiwa kuwa na hofu nu Yanga,maana wapo hapo kwa njaa tu,wakishiba wanarudi unyamani,juzi huyo mzungu pori kwenye press kajisahau akasema namnukuu""tofauti yetu sisi na Yanga ni kuwa sisi tuna watu makini""ALivyoona kakosea akazuga kama anajikuna hivi
Dimpoz simba,manara njaa moto aeleweki,siku anachukua kadi ya Yanga aliomba tawi lolote la simba lithibitishe kama aliwahi kuwa na kadi ya simba,mpaka leo hamna tawi la simba lililoonyesha jina la manara kama alikua mwanachama hapo,ila hata hapo Yanga wanaishi nae kwa akili sanaNilikuwa sijui Mkuu na Asante sana kwa hii taarifa. Vipi na kwa Dimpoz nae je, alikuwa Simba SC kwa ajili ya Manara pia au?
Waulize wanaowajua gsm toka wapo songea,gsm wakati wanaidhamini majimaji simba waliwafuata wawadhamini ila walikataaGSM family ni Simba,Manara ni Simba,Ommy Dimpoz na Mobeto ni Simba,hapo wanaotakiwa kuwa na hofu nu Yanga,maana wapo hapo kwa njaa tu,wakishiba wanarudi unyamani,juzi huyo mzungu pori kwenye press kajisahau akasema namnukuu""tofauti yetu sisi na Yanga ni kuwa sisi tuna watu makini""ALivyoona kakosea akazuga kama anajikuna hivi
Hata Biblia inatuonya wanawake tuishi nao kwa akili sana.Dimpoz simba,manara njaa moto aeleweki,siku anachukua kadi ya Yanga aliomba tawi lolote la simba lithibitishe kama aliwahi kuwa na kadi ya simba,mpaka leo hamna tawi la simba lililoonyesha jina la manara kama alikua mwanachama hapo,ila hata hapo Yanga wanaishi nae kwa akili sana
Hakika mkuuHata Biblia inatuonya wanawake tuishi nao kwa akili sana.
KuKataa ni kwa sababu za kibiashara tuWaulize wanaowajua gsm toka wapo songea,gsm wakati wanaidhamini majimaji simba waliwafuata wawadhamini ila walikataa
Upepo bado upo sana Yanga sio "ulikuwa" umetumia past tense Mkuu, tumeanza na kuzoa tuzo, kisha tunafumua kolo mshono derby ya kariakoo, then kazi inaanza upya kusaka tuzo za mwakani kwa kupiga makonzi kila anaejaa kwenye 18 za uto, hadi mwaka 2050 Mzee Magoma akichukua timu yake, simba tutahakikisha inapendeza huko champions league!!Kama unafikiri Ahmed hawezi kuhamia Yanga au Ali hawezi kwenda Simba basi wewe bado unavaa pampasi ,😂 Hawa machawa ni kama wachezaji wanatafuta pesa na umaarufu Tu. Wenye timu ni Akina Mzee Magoma. Machawa wanapita na upepo. Popote unapovuma wanaelekea. Kwa miaka mitatu upepo ulikuwa Kwa Yanga.
mkuu umenichekesho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ile alijichukia kweli maana kajisahau katoa ya moyoni, na hata akilewa bangi na shisha huwa anasema kuwa "jamani mnisamehe tu kuikandia Simba maana pale nipo mgodini lakini siku nikiondoka nitalipiza haya yote ninayoisema club ya moyo wangu"