Uongozi wa Simba SC na wa wana Simba SC wote tafadhali tuwaangalieni kwa Jicho la Umakini sana hawa akina Ommy Dimpozi na Hamisa Mobeto

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC kutwa tu Wao wapo na Watu wa Yanga SC ( tena wale Mafia ) kabisa? Hili mmelitathmini kwa umakini?

Hivi kama akina Dimpoz na Mobeto hadi mambo ya Ndani ya Simba SC wanayajua Simba SC yetu itakuwa salama?
 
Ommy ni mwajiriwa wa GSM, kwani ukiwa mwajiriwa wa moja ya miradi ya Mo au Bakhressa huruhusiwi kuwa shabiki wa Yanga?

Ova
 
GSM family ni Simba,Manara ni Simba,Ommy Dimpoz na Mobeto ni Simba,hapo wanaotakiwa kuwa na hofu nu Yanga,maana wapo hapo kwa njaa tu,wakishiba wanarudi unyamani,juzi huyo mzungu pori kwenye press kajisahau akasema namnukuu""tofauti yetu sisi na Yanga ni kuwa sisi tuna watu makini""ALivyoona kakosea akazuga kama anajikuna hivi
 
Niliona na Nilicheka sana Mkuu.
 
Kama unafikiri Ahmed hawezi kuhamia Yanga au Ali hawezi kwenda Simba basi wewe bado unavaa pampasi ,😂 Hawa machawa ni kama wachezaji wanatafuta pesa na umaarufu Tu. Wenye timu ni Akina Mzee Magoma. Machawa wanapita na upepo. Popote unapovuma wanaelekea. Kwa miaka mitatu upepo ulikuwa Kwa Yanga.
 
Ile alijichukia kweli maana kajisahau katoa ya moyoni, na hata akilewa bangi na shisha huwa anasema kuwa "jamani mnisamehe tu kuikandia Simba maana pale nipo mgodini lakini siku nikiondoka nitalipiza haya yote ninayoisema club ya moyo wangu"
 
Nilikuwa sijui Mkuu na Asante sana kwa hii taarifa. Vipi na kwa Dimpoz nae je, alikuwa Simba SC kwa ajili ya Manara pia au?
Dimpoz simba,manara njaa moto aeleweki,siku anachukua kadi ya Yanga aliomba tawi lolote la simba lithibitishe kama aliwahi kuwa na kadi ya simba,mpaka leo hamna tawi la simba lililoonyesha jina la manara kama alikua mwanachama hapo,ila hata hapo Yanga wanaishi nae kwa akili sana
 
GSM family ni Simba,Manara ni Simba,Ommy Dimpoz na Mobeto ni Simba,hapo wanaotakiwa kuwa na hofu nu Yanga,maana wapo hapo kwa njaa tu,wakishiba wanarudi unyamani,juzi huyo mzungu pori kwenye press kajisahau akasema namnukuu""tofauti yetu sisi na Yanga ni kuwa sisi tuna watu makini""ALivyoona kakosea akazuga kama anajikuna hivi
Waulize wanaowajua gsm toka wapo songea,gsm wakati wanaidhamini majimaji simba waliwafuata wawadhamini ila walikataa
 
Dimpoz simba,manara njaa moto aeleweki,siku anachukua kadi ya Yanga aliomba tawi lolote la simba lithibitishe kama aliwahi kuwa na kadi ya simba,mpaka leo hamna tawi la simba lililoonyesha jina la manara kama alikua mwanachama hapo,ila hata hapo Yanga wanaishi nae kwa akili sana
Hata Biblia inatuonya wanawake tuishi nao kwa akili sana.
 
Kama unafikiri Ahmed hawezi kuhamia Yanga au Ali hawezi kwenda Simba basi wewe bado unavaa pampasi ,😂 Hawa machawa ni kama wachezaji wanatafuta pesa na umaarufu Tu. Wenye timu ni Akina Mzee Magoma. Machawa wanapita na upepo. Popote unapovuma wanaelekea. Kwa miaka mitatu upepo ulikuwa Kwa Yanga.
Upepo bado upo sana Yanga sio "ulikuwa" umetumia past tense Mkuu, tumeanza na kuzoa tuzo, kisha tunafumua kolo mshono derby ya kariakoo, then kazi inaanza upya kusaka tuzo za mwakani kwa kupiga makonzi kila anaejaa kwenye 18 za uto, hadi mwaka 2050 Mzee Magoma akichukua timu yake, simba tutahakikisha inapendeza huko champions league!!
 
Ile alijichukia kweli maana kajisahau katoa ya moyoni, na hata akilewa bangi na shisha huwa anasema kuwa "jamani mnisamehe tu kuikandia Simba maana pale nipo mgodini lakini siku nikiondoka nitalipiza haya yote ninayoisema club ya moyo wangu"
mkuu umenichekesho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom