GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC kutwa tu Wao wapo na Watu wa Yanga SC ( tena wale Mafia ) kabisa? Hili mmelitathmini kwa umakini?
Hivi kama akina Dimpoz na Mobeto hadi mambo ya Ndani ya Simba SC wanayajua Simba SC yetu itakuwa salama?
Hivi kama akina Dimpoz na Mobeto hadi mambo ya Ndani ya Simba SC wanayajua Simba SC yetu itakuwa salama?